Taratibu zote za Kuchoma mkaa na kuusafirisha kwa ajiri ya biashara

PD_Magumba

JF-Expert Member
Apr 2, 2021
688
2,174
Habari Wana JF.

Nina shamba langu wilayani Biharamulo mkoa wa Kagera lenye ukubwa wa ekari 34 na lina miti mingi ya asili kama vile mibanga, minazi, misindo n.k.

Nahitaji kuivuna na kuichoma mkaa na kwa makadirio zitapatikana takribani junia(gunia) 400.

Sasa naomba mwenyekujua gharama zote za leseni, vibari na usafirishaji anijuze hapa.

Nimepitia website ya tfs lakini sikuona walipo bainisha gharama zao.

Nahitaji kuuleta hapa Dar es salaam.

Naomba elezea as if sijui chochote.
 
Binafsi sijui ghalama hizo na utaratibu wake. Ila ningependa kukuuliza swali tafadhari;

Shamba la miti kwa ajili ya mkaa inakua ni miti ya kupandwa kama yalivyo mazao mengine au ni pori tu unakata eneo na kulifanya shamba?

Na kama ni la kupanda, huchukua muda gani mpaka kufikia hatua ya kuvuna?

Natanguliza shukrani.
 
Siyo completely pori. Ila lina miti mingi sana ya asili. Siyo artificial mkuu.
Nataka takribani asilimia 85 lilimike mahindi, tofauti na sasa linalimika asilimia 40
 
Habari Wana JF.

Nina shamba langu wilayani Biharamulo mkoa wa Kagera lenye ukubwa wa ekari 34 na lina miti mingi ya asili kama vile mibanga, minazi, misindo n.k.

Nahitaji kuivuna na kuichoma mkaa na kwa makadirio zitapatikana takribani junia(gunia) 400.

Sasa naomba mwenyekujua gharama zote za leseni, vibari na usafirishaji anijuze hapa.

Nimepitia website ya tfs lakini sikuona walipo bainisha gharama zao.

Nahitaji kuuleta hapa Dar es salaam.

Naomba elezea as if sijui chochote.
Acheni kumaliza misitu, ipo siku itatucost vibaya mno, time will tell.Njoo na idea ya nushati mbadala ambayo unaweza oiga bingo saba na ukawa funded. Tusimalize miti kwa kutafuta pesa, majanga yakianza hatutapona kamwe.

Watawala wana majumba yao Ulaya Marekani, South Africa na Dubai huko so hawajali hili la ukataji miti hovyo.
 
Binafsi sijui ghalama hizo na utaratibu wake. Ila ningependa kukuuliza swali tafadhari;

Shamba la miti kwa ajili ya mkaa inakua ni miti ya kupandwa kama yalivyo mazao mengine au ni pori tu unakata eneo na kulifanya shamba?

Na kama ni la kupanda, huchukua muda gani mpaka kufikia hatua ya kuvuna?

Natanguliza shukrani.
ni Miti poli mkuu, binafisi huwa nasikitaka sana kila nionapo mkaa, make ipo day tutajuta sana. Binafisi na waza kuja na idea ya mkaa au kuni mbadala zisizo hitaji kukata miti
 
Acheni kumaliza misitu, ipo siku itatucost vibaya mno, time will tell.Njoo na idea ya nushati mbadala ambayo unaweza oiga bingo saba na ukawa funded. Tusimalize miti kwa kutafuta pesa, majanga yakianza hatutapona kamwe.

Watawala wana majumba yao Ulaya Marekani, South Africa na Dubai huko so hawajali hili la ukataji miti hovyo.
Nahitaji palimike mkuu. No way kilimo kitakua efficient kama miti hiyo itabaki ilivyo.
Natambua uhifadhi wa mazingira na nitaiacha baadhi.
 
ni Miti poli mkuu, binafisi huwa nasikitaka sana kila nionapo mkaa, make ipo day tutajuta sana. Binafisi na waza kuja na idea ya mkaa au kuni mbadala zisizo hitaji kukata miti
Sahihi mkuu, ukataji wa mkaa sio rafiki kabisa kwa mazingira. Nadhani wakataji wangejaribu hata kidogo kuweka roho ya pesa pembeni na kutanguliza utu. Miti ni muhimu sana kwa maisha yetu
 
ni Miti poli mkuu, binafisi huwa nasikitaka sana kila nionapo mkaa, make ipo day tutajuta sana. Binafisi na waza kuja na idea ya mkaa au kuni mbadala zisizo hitaji kukata miti
Asante kwa majibu. Lakini stori inasikitisha pale nikifikiria mapori yanazidi kukatwa katika hali hii ya hewa inayozidi kua mbaya
 
Habari Wana JF.

Nina shamba langu wilayani Biharamulo mkoa wa Kagera lenye ukubwa wa ekari 34 na lina miti mingi ya asili kama vile mibanga, minazi, misindo n.k.

Nahitaji kuivuna na kuichoma mkaa na kwa makadirio zitapatikana takribani junia(gunia) 400.

Sasa naomba mwenyekujua gharama zote za leseni, vibari na usafirishaji anijuze hapa.

Nimepitia website ya tfs lakini sikuona walipo bainisha gharama zao.

Nahitaji kuuleta hapa Dar es salaam.

Naomba elezea as if sijui chochote.
Ni afadhali ungefikiria kufanya nao kitu kingine huo msitu, lakini siyo kuchoma mkaa. Hiyo ni biashara ya laana na haijawahi kumnufaisha yeyote.

Kuanzia roli litakalobeba huo mkaa, hadi banda litakalouzia litakufa bila faida ya kuliendeleza. Epuka hiyo biashara ikiwa una malengo ya kustawi.

Ova
 
Asante kwa majibu. Lakini stori inasikitisha pale nikifikiria mapori yanazidi kukatwa katika hali hii ya hewa inayozidi kua mbaya
Sasa wapendwa nifanyeje ikiwa shamba nalihitaji kwa ajiri ya kilimo? Hata chakula ni mhimu.
Au shamba langu ndo liwe pori tengefu?
 
Ni afadhali ungefikiria kufanya nao kitu kingine huo msitu, lakini siyo kuchoma mkaa. Hiyo ni biashara ya laana na haijawahi kumnufaisha yeyote.

Kuanzia roli litakalobeba huo mkaa, hadi banda litakalouzia litakufa bila faida ya kuliendeleza. Epuka hiyo biashara ikiwa una malengo ya kustawi.

Ova
Mkuu unataka nikose mazao ya chakula ila nitunze miti??
 
Back
Top Bottom