mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jeshi la Polisi linawashikilia wanachama watatu wa CHADEMA kwa kughushi barua za chama cha SAU ili wachukue fomu za Ubunge!

    Polisi mkoani Morogoro inawashikilia wanachama watatu wa Chadema walioghushi barua za utambulisho wakijifanya ni wanachama wa chama cha SAU na kutaka kuchukua fomu za kugombea ubunge kwa njia ya udanganyifu. ------ Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbrod Mutafungwa, alisema jeshi hilo...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Morogoro Mjini: Abood apitishwa kuwa Mgombea pekee. Wenzake wakosa vigezo

    Abdulazizi Abood (CCM) amepitishwa kama mgombea pekee katika Jimbo hilo baada ya wagombea wa upinzani kukatwa kwasababu ya makosa yaliyobainika kwenye ujazaji wa fomu Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Morogoro mjini amewafutilia mbali wagombea wote wa vyama vya upinzani akiwemo Devotha Minja wa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Kazi imeanzaWagombea ubunge wa upinzani morogoro mjini wakatwa

    Msimamizi wa uchaguzi morogoro mjini sheila lukuba amewakata wagombea ubunge wa vyama vya upinzan kutokana na makosa mbalimbali katika fomu zao,hivo mgombea pekee abdulaziz abood wa ccm amepita bila kupingwa
  4. JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Musoma mjini hodi kwenu

    Habarini wakuu leo naingia Musoma mjini hapo mpaka sasa ndio nipo Igoma Mwanza nategemea kuingia saa 3 hivi nipo na private car Naomba kuelekezwa Hotel nzuri za kulala bajeti yangu 40,000/=na mabaharia karibuni mniambie machimbo mazuri
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Hekima na Busara za John Madale Shibuda: Kongamano la maombi na maridhiano ya amani leo Mjini Dodoma

    Kongamano la Maombi,Dua Na MARIDHIANO ya Amani Kuelekea Uchaguzi Wa Oktoba 2020. Hakika Alichokihubiri Mzee John Magalle Shibuda Akiwakilisha Vyama 19 vya siasa nchini,kitabaki kuwa Ni MANENO YA DHAHABU Leo,Kesho na Milele. Shibuda Anabaki Ni Alama Ya Kutukumbusha kuwa TAIFA Hili litabaki hata...
  6. JamiiForums Tanzania Kuwasili kwa treni ya abiria jijini Arusha kwa mara ya pili baada ya miaka 30

    Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole leo anazindua Huduma ya usafiri wa treni kati ya Moshi na Arusha. Mkoa mzima umetulia kimya na watu wote wameelekea stesheni kushuhudia treni ya kwanza ya TRC iliyobeba makada wa CCM ikianza safari ya kihistoria.
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

    Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu Uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi. Huyu Mwanyika ndo Rais aliyetutangazia kuwa amawasiliano na wanasiasa wa upinzani ili wamuhujumu hadi kutoa ile kauli yake...
  8. JamiiForums Tanzania OCD Mbeya mjini acha chuki binafsi kwa SUGU, kuwa makini usiuletee mji matatizo. Jifunze!

    Wasalaam wajumbe humu! Leo hii kila jimbo ambapo CCM wamechukua form za ubunge na udiwani maeneo mengi nchini wameandamana kwenda ofisi za NEC.Lakini huyu OCD wa mji wa Mbeya sijui kaishia darasa la ngapi, nimeona live akiongea maneno yaliyojaa chuki dhidi ya SUGU eti akidai ana heshima gani...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

    1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini 2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini 3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe 4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka . Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge jimbo la Tabora Mjini kupitia CUF, Mirambo Camill akabidhiwa fomu ya uteuzi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora Mjini Mhe. Mirambo Camill amekabidhiwa fomu ya uteuzi na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tabora Mjini mapema leo
  11. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Tundu Lissu, mjini Morogoro leo

    Mikumi kata ya Ruaha
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha ya wagombea ubunge chama cha ACT Wazalendo

    Majina ya waliopitishwa kugombea ubunge ACT Wazalendo
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Wana Arusha tumrudishieni Dkt. John Magufuli asante ya kufikisha usafiri wa treni Arusha, kwa kuifuta CHADEMA hapa mjini

    Hapo vipi! Ni kwa muda mrefu Arusha imezorota kimaendeleo,mpaka vimikoa vidogo vinakua kasi ukilinganisha na Arusha yenye fursa nyingi za kiuchumi. WanaArusha nyie ni mashaidi juu ya kupwaya na kulala kwa fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa wa Arusha. Arusha kama miaka kumia imegeuzwa na...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA, Mungu - Yehova anawapenda. Matukio ya Arusha na Hai ni taarifa njema kwenu.!!

    It sounds awkward, lakini ndivyo ilivyo. Kwamba iweje ofisi kuchomwa moto iwe ni jambo jema? Iweje msafara wa mgombea Urais Tundu Lissu ushambuliwe mbele ya macho ya polisi liwe jambo jema? Iweje Tundu Lissu ashambuliwe kwa Risasi za kivita za SMG na AK47 iwe ni jambo jema? Well. Tufutane ili...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Victor Njau mtia nia ubunge Arusha Mjini (CCM) aokotwa akiwa hana fahamu na majeraha mwilini, alazwa hospitali ya Mt. Meru

    Mgombea ubunge wa Arusha mjini kupitia CCM Victor Njau ameokotwa akiwa na majeraha huku amepoteza fahamu. Hivi karibuni Njau aliwatuhumu wagombea wenzake kuwa wametoa rushwa iliyotukuka kwenye zoezi la kura za maoni. Victor Njau amelazwa katika hospitali ya Mt. Meru.
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu alakiwa na Maelfu ya Wakazi wa Bunda Mjini, Wajaza fomu za Udhamini

    Kutoka Kushoto: Salum Mwalim Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania(CHADEMA), Tundu Lissu Mgombea Urais wa Tanzaniana(CHADEMA) Esther Bulaya Mgombea ubunge Jimbo la Bunda Mjini Kupitia CHADEMA Mgombea Urais wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea mwenza Mhe. Salum Mwalim...
  17. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Musoma yarindima Lissu akilakiwa kwa Shangwe kubwa, fomu za dhamana zajazwa

    Hali ya hewa siyo rafiki Musoma Mjini Kuna mvua inanyesha tangu saa moja asubuhi. Huwezi amini watu wamefika na mvua hiyo, na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hajafika, bado yuko Mwanza. Haijapata kutokea! Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ameingia Musoma kwa Shangwe...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

    Ni Kama vile shughuli zimesimama katika mji wa Kibiashara wa Kahama. Mamia kwa Mamia ya wakazi wa mji wa Kahama wako majiani wakisubiri ujio wa kipenzi chao Tundu Antipass Lissu anayetarajia Kuwasili hapa wakati wowote kuanzia sasa Kuna idadi kubwa ya vijana wa bodaboda wameondoka kwenda...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Tujengewe Chuo Kikuu mjini Singida kwa maendeleo ya mji

    Mji wa Singida uko katika ya Inchi lakini kitu cha ajabu sana ni kwamba hakuna hata chuo kikuu kimoja. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Pombe John Makufuli anapotangaza kuwa anatoa mikopo kwa zaidi ya Wanafunzi 100,000, kwa mwaka ni pesa nyingi sana inalipwa. Katika pesa hii...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nyerere 1995 Mjini Iringa: Rais mchagueni Mhe. Mkapa lakini Mbunge chagua Mgombea atakayewafaa Jimboni

    Sabato ya leo nimejikuta najikumbusha kizungumkuti cha Uchaguzi Mkuu wa 1995 katika jimbo la Iringa Mjini. Wagombea wetu walikuwa Ben Mkapa ( CCM) vs Lyatonga Mrema ( NCCR mageuzi) kwa urais. Mwalimu wa Kemia Mfalamagoha Kibassa ( NCCR mageuzi) vs Kachero mbobezi Dr Hassy Kitine ( CCM) kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…