mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chief kalumana Mgombea Ubunge wa CHADEMA Bukoba mjini akamatwa, Mabomu yapigwa uapishwaji wa Mawakala

    Chief kalumana inasemekana amakamatwa na polisi akiwa eneo la kuapishwa mawakala na mawakala wa chadema hawajaapishwa hadi sasa. ===== Jeshi la polisi mkoani Kagera limelazimika kutumia nguvu kuwatawanya wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na mgombea ubunge jimbo...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Moshi mjini: Mkutano wa Kampeni wa mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. Magufuli. Asema atafufua viwanda vilivyolala

    MAGUFULI: Nawashukuru viongozi wa dini kwa Dua na Sala zao. Ninajua wagombe wenzangu wa ubunge wameeleza yote na mikakati mbalimbali ya chama cha mapinduzi kama ilivyofafanuliwa kwenye Ilani. Nchi yetu imebarikiwa kwa mambo mengi sana, binadamu wa kwanza, mti mrefu, mlima mrefu kuliko yote...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Oktoba 28: Mgombea ubunge wa CHADEMA Mbeya Mjini aendelea na Kampeni maeneo ya Itezi

    Kuna kila dalili kwamba Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ambaye pia huitwa 'Rais wa Mbeya' huenda akavunja rekodi aliyoiweka mwenyewe 2015, ya kuwa mbunge aliyechaguliwa kwa kura lukuki kuliko wote. Hebu angalia hapa Kata ya Nsalanga leo, Eneo la Itezi Mashariki.
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Video : Maalim Seif apokelewa kwa kishindo Moshi Mjini

    Jabali Maalim Seif akiingia kwenye mkutano wa Kampeni za Tundu Lissu Moshi Mjini
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

    Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati. Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni Kongwa anakotokea aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai. Kuna Maandalizi makubwa ya mapokezi...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

    Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa Sumbawanga mjini na wilaya zake

    Habarini wakuu polen na pilika za kampeni hizi zinafurahisha na kuhuzunisha pia . Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada naomba kujuwa kwa uhitaji wa huduma za IT kwa mkoa huu ikiwemo kufanya programing na networkng soko lake likoje na vipi kuhusu mazingira ya huko na vyumba vya kupanga kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Nauza vitunguu Maji, Shamba lipo Arusha 17km kutoka Arusha Mjini, Cash customer anicheki Kwa namba 0717329393

    Mjini, Cash customer anicheki Kwa namba 0717329393
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Iringa Mjini: Nchi hii inahitaji Rais mchumi na mwenye huruma na watanzania, mkinichagua kuwa nitafuta umasikini

    NCHI HII INAHITAJI RAIS MCHUMI NA MWENYE HURUMA NA WATANZANIA MKINICHAGUA KUWA RAIS NTAFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF.LIPUMBA" IRINGA MJINI Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri Mapokezi ya Tundu Lissu jimboni Mkalama na Singida Mjini

    Mcheza kwao hutunzwa.Ndivyo tunavyoweza kuelezea mapokezi ya Tundu Lissu hapo Jana alipokanyaga Ardhi aliyozaliwa. Leo Mgombea huyo anayepewa nafasi kubwa zaidi ya kushinda atafanya kampeni zake katika Jimbo la Mkalama na baadaye Singida Mjini. Tundu Lissu ameandika historia mpya ya Mgombea...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Watu jamii ya Lissu wako wengi mjini

    Juzi nimeona clip ya Lissu akiwa Kariakoo akinunua maparachichi pilipili hoho na nyanyachungu, nikajiuliza hivi kweli mtu unatoka Kimara kwenda Kariakoo kununua parachichi na nyanyachungu? Huko Kimara hakuna soko? Hakuna genge? Nikajiuliza inawezekana akina Lissu wako wengi mjini wanatoka...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Rais Chakwera waweka jiwe la msingi Kituo Kikuu cha mabasi Mbezi, Rais Magufuli ataka Wakandarasi walipe fidia ya kuchelewesha mradi

    Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam. === MAGUFULI: Mkataba ulikuwa umalizike mwezi wa saba, leo ni mwezi wa kumi na waziri alikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Video: OCD Shinyanga adaiwa kuja na bango la CCM lililochanwa nyumbani kwa mgombea wa ubunge Shinyanga Mjini kupitia CHADEMA ili kumkamata

  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Kata kwa Kata: Joseph Mbilinyi aendelea kuomba kura Mbeya Mjini

    Hii hapa ni Kata ya Maendeleo , Soko Matola
  15. JamiiForums Tanzania Style Mpya ya nguo kwa wanaume Mjini

  16. M

    JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu hiki kibali cha kuingia mjini kwa wenye pikipiki?

    Naomba tusaidiane kimawazo hii kodi ya kibali cha kuingia mjini kwa wenye pikipiki imewekwa kwa ajili ya kuleta maandeleo kwa Dar es Salaam au imewekwa kwa ajili ya matumbo ya watu binafsi au kumkandamiza Mwananchi? Inawezekana vipi mtu ananunua usafiri wake kisha analipia bima, sumatra, nenda...
  17. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa Dodoma mjini

    Hiko cha kwenye msingi wa jiwe Chenye bamba 1129 Hicho ktkt ya hiyo duara Ukubwa sqm 611 Ni km 3 tu kutoka City Centre(katikati ya jiji) Kipo mtaa wa Chinyoya kata ya kilimani Dodoma mjini Price: 6 million (negotiable) Contact ; 0715354693 au 0759395908
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kinachofanyika kituo cha Afya Bweri cha serikali(musoma mjini) ni uvunjaji wa sera ya Afya kwa watoto,wajawazito na wazee

    Kulingana na Sera ya wizara ya afya juu ya matibabu ya wazee,watoto na wajawazito kutibiwa bure,,lakini katika hiki kituo imekua balaa watoto chini ya miaka mitano hulipia bila hela ahudumiwi au mpaka ukanunue gloves ndo unahudumiwa, Sio hvo tu isitoshe wajawazito kujifungua huambiwa waandae...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kinachofanyika kituo cha Afya Bweri cha serikali(musoma mjini) ni uvunjaji wa sera ya Afya kwa watoto,wajawazito na wazee

    Kulingana na Sera ya wizara ya afya juu ya matibabu ya wazee,watoto na wajawazito kutibiwa bure,,lakini katika hiki kituo imekua balaa watoto chini ya miaka mitano hulipia bila hela ahudumiwi au mpaka ukanunue gloves ndo unahudumiwa, Sio hvo tu isitoshe wajawazito kujifungua huambiwa waandae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…