mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mteule Arusha Mjini, Mrisho Gambo(CCM) awashukuru wapiga kura kijiwe cha kahawa soko kuu Arusha

    Tushukuru kwa kila jambo.
  2. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio SI Units za kujipatia mapenzi motomoto mjini

    Baada ya pepo mmbaya kukatiza katika mahusiano mengi mwezi wa 9 na wa 10 hapo natumai wahanga wanaendelea vizuri ila ningependa tukumbushane mambo muhimu kidogo. Wazee SI Units za mapenzi motomoto hapa mjini ni kama ifuatavyo: 1.Pesa, Penenge, Mpunga, Ngawira, Mtonyo, Shekeli, Mshiko. 2...
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Wananchi wa Dodoma Mjini wamkataa Mavunde wadai hawajamchagua

    Mavunde wa Dodoma mjini akifukuzwa na wananchi mara baada ya kuiba kura na kutangazwa mshindi.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Arusha: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Arusha. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Arusha una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni; Arusha Mjini: Mrisho Gambo (CCM) - Kura...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe apoteza jimbo la Kigoma Mjini

    Mgombea wa CCM jimbo la Kigoma mjini, Kilumbe Ng'enda ametangazwa mshindi baada ya kupata kura 27, 688 huku Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo akipata kura 20, 600. Akitangaza matokeo hayo msimamizi wa uchaguzi, jimbo hilo Mwailwa Pangani amesema kura zilizopigwa ni 50268. Zitto: Licha ya kuingiza...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wamevuna walichopanda; wengi waliishi mjini na kuyatelekeza majimbo. Hadi sasa hakuna mpinzani aliyeshinda

    Nafuatilia utangazaji wa matokeo kupitia runinga pendwa ya EATV na hadi sasa matokeo ya majimbo 20 yameshatangazwa na yote yametwaliwa na CCM. Kwa ufupi mtangazaji anasema hadi sasa Upinzani hawajashinda udiwani katika kata yoyote huku CCM ikizoa kata kibao. Upinzani itabidi wajilaumu wenyewe...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kilimanjaro: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kilimanjaro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Kilimanjaro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 9. Walioshinda katika hayo majimbo ambayo ni...
  8. mawaridi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Tulia atangazwa mshindi Mbeya Mjini, Sugu apoteza kiti chake cha Ubunge

    Aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge lililopita, Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM ametangazwa kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 75,225. Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi (Sugu) ametangazwa kupata kura 37,591 katika nafasi ya pili. PIA SOMA = > Uchaguzi...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Shukrani za dhati kwa wote walioshiriki kusambaza taarifa za Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu tangu mwanzo hadi mwisho

    Wakuu, poleni sana na Majukumu yenu ya kila siku, Naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote mliochangia kusambaza taarifa zote za uchaguzi za Chadema ikiwa ni pamoja na kusambaza kampeni kali za kiwango cha juu za Tundu Lissu Mgombea Urais wa Chadema, ambaye anatajwa kama Mgombea bora kabisa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Dodoma Mjini: Mdahalo kati ya Antony Mavunde vs Aisha Madoga

    ..Aisha Madoga ni mgombea wa Chadema. ..Antony Mavunde ni mgombea wa CCM. ..Wagombea wote wameonyesha weledi kutetea hoja zao.
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yashindwa kuzitolea majibu Rufaa 16 za Wagombea udiwani wa CHADEMA Mbeya Mjini, Wananchi watinga kwa DED kuulizia

    Niliwahi kuuliza humu JF kuhusu Wasifu wa Dkt. Mahera ambaye ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , lengo la swali lile lilikuwa kufahamu uwezo na weledi wake na nadhani sasa mmeanza kujua maana ya maswali kama haya tunayouliza humu mitandaoni. Sasa ni dhahiri kwamba Wilson Mahera hana...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kijijini nilidhani siwezi kumshinda alieko mjini kwenye mtihani!!

    Hizi zilikua akili zangu nikiwa mdogo kule kijijini Ndolezi. Mawazo haya yalitokana na changamoto kubwa sana tuliyokua nayo pale kijijini kwetu katika uzungumzaji wa lugha ya kiswahili. Mara zote niliwaonea shauku wanafunzi wa mijini nilidhani kwamba uwezo wao wa kukimudu vizuri kiswahili...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mpwa usije Mjini. Najua hutanielewa lakini ndo ukweli

    Meseji uliyonitumia mpwa nmeipata.unasema unataka kuja mjini. Mwaka jana ulisema hivyo nikakueleza kuwa subiri kwanza. Naona unasisitiza nikuelekeze home uje mjini. USIJE MJINI. hizo picha unazoniona nmepiga na kurusha kule insta asilimia kubwa siyo maisha ninayoishi. Nielewe tu. Huku kazi...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Tanga

    Huku siku zikizidi kuyoyoma kwa kasi kubwa kuelekea tarehe ya kupiga kura , Mh Lissu naye anaendelea kuchanja mbuga hapa na pale ili kuomba kura kwa wananchi . Leo anaendelea na mikutano yake Mkoani Tanga ambapo kutapigwa mikutano kadhaa kwenye maeneo mbali mbali ikiwemo Korogwe , Muheza na...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mwana FA & AY - Usije Mjini

    Mwana FA na AY baada ya kujitoa ECT walikua wanaachia pini juu ya pini kali tupu. Mfano hii Pini ya Usije Mjini, dah ilikua inanikosha sana kuanzia biti hadi AY anavoimba na FA kuchana. Kuna mstari verse ya kwanza FA alisema: "... huku huku kwenye ufisadi, waliopo hawataki kurudi, ata mbunge...
  16. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chief kalumana Mgombea Ubunge wa CHADEMA Bukoba mjini akamatwa, Mabomu yapigwa uapishwaji wa Mawakala

    Chief kalumana inasemekana amakamatwa na polisi akiwa eneo la kuapishwa mawakala na mawakala wa chadema hawajaapishwa hadi sasa. ===== Jeshi la polisi mkoani Kagera limelazimika kutumia nguvu kuwatawanya wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na mgombea ubunge jimbo...
  17. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Moshi mjini: Mkutano wa Kampeni wa mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. Magufuli. Asema atafufua viwanda vilivyolala

    MAGUFULI: Nawashukuru viongozi wa dini kwa Dua na Sala zao. Ninajua wagombe wenzangu wa ubunge wameeleza yote na mikakati mbalimbali ya chama cha mapinduzi kama ilivyofafanuliwa kwenye Ilani. Nchi yetu imebarikiwa kwa mambo mengi sana, binadamu wa kwanza, mti mrefu, mlima mrefu kuliko yote...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Oktoba 28: Mgombea ubunge wa CHADEMA Mbeya Mjini aendelea na Kampeni maeneo ya Itezi

    Kuna kila dalili kwamba Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ambaye pia huitwa 'Rais wa Mbeya' huenda akavunja rekodi aliyoiweka mwenyewe 2015, ya kuwa mbunge aliyechaguliwa kwa kura lukuki kuliko wote. Hebu angalia hapa Kata ya Nsalanga leo, Eneo la Itezi Mashariki.
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video : Maalim Seif apokelewa kwa kishindo Moshi Mjini

    Jabali Maalim Seif akiingia kwenye mkutano wa Kampeni za Tundu Lissu Moshi Mjini
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

    Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati. Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni Kongwa anakotokea aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai. Kuna Maandalizi makubwa ya mapokezi...
Back
Top Bottom