Habarini wakuu polen na pilika za kampeni hizi zinafurahisha na kuhuzunisha pia .
Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada naomba kujuwa kwa uhitaji wa huduma za IT kwa mkoa huu ikiwemo kufanya programing na networkng soko lake likoje na vipi kuhusu mazingira ya huko na vyumba vya kupanga kwa...
NCHI HII INAHITAJI RAIS MCHUMI NA MWENYE HURUMA NA WATANZANIA MKINICHAGUA KUWA RAIS NTAFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF.LIPUMBA"
IRINGA MJINI
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha...
Mcheza kwao hutunzwa.Ndivyo tunavyoweza kuelezea mapokezi ya Tundu Lissu hapo Jana alipokanyaga Ardhi aliyozaliwa.
Leo Mgombea huyo anayepewa nafasi kubwa zaidi ya kushinda atafanya kampeni zake katika Jimbo la Mkalama na baadaye Singida Mjini.
Tundu Lissu ameandika historia mpya ya Mgombea...
Juzi nimeona clip ya Lissu akiwa Kariakoo akinunua maparachichi pilipili hoho na nyanyachungu, nikajiuliza hivi kweli mtu unatoka Kimara kwenda Kariakoo kununua parachichi na nyanyachungu? Huko Kimara hakuna soko? Hakuna genge? Nikajiuliza inawezekana akina Lissu wako wengi mjini wanatoka...
Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam.
===
MAGUFULI: Mkataba ulikuwa umalizike mwezi wa saba, leo ni mwezi wa kumi na waziri alikuwa...
Naomba tusaidiane kimawazo hii kodi ya kibali cha kuingia mjini kwa wenye pikipiki imewekwa kwa ajili ya kuleta maandeleo kwa Dar es Salaam au imewekwa kwa ajili ya matumbo ya watu binafsi au kumkandamiza Mwananchi?
Inawezekana vipi mtu ananunua usafiri wake kisha analipia bima, sumatra, nenda...
Hiko cha kwenye msingi wa jiwe
Chenye bamba 1129
Hicho ktkt ya hiyo duara
Ukubwa sqm 611
Ni km 3 tu kutoka City Centre(katikati ya jiji)
Kipo mtaa wa Chinyoya kata ya kilimani Dodoma mjini
Price: 6 million (negotiable)
Contact ; 0715354693 au 0759395908
Kulingana na Sera ya wizara ya afya juu ya matibabu ya wazee,watoto na wajawazito kutibiwa bure,,lakini katika hiki kituo imekua balaa watoto chini ya miaka mitano hulipia bila hela ahudumiwi au mpaka ukanunue gloves ndo unahudumiwa, Sio hvo tu isitoshe wajawazito kujifungua huambiwa waandae...
Kulingana na Sera ya wizara ya afya juu ya matibabu ya wazee,watoto na wajawazito kutibiwa bure,,lakini katika hiki kituo imekua balaa watoto chini ya miaka mitano hulipia bila hela ahudumiwi au mpaka ukanunue gloves ndo unahudumiwa, Sio hvo tu isitoshe wajawazito kujifungua huambiwa waandae...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, anatarajia kuongea na wananchi wa Kigoma mjini hii leo Oktoba 01, 2020.
Rais Maganja atakua sambamba na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini ndugu Wiston Andrew Mogha ambaye anatajwa...
Watu wenye vifijo na bashasha za kila aina wamemsubiri Tundu Lissu tangu asubuhi uwanja wa Mashujaa. Hawataki kunyamazishwa na mtu waimba rais, rais, rais duh Lissu ni ana mvuto.
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/09/2535222_BdH_lQCAKL9EjZkc.mp4
Ratiba ya mkutano wa mgombea Uraisi wa CHADEMA asubiliwa mkutanoni viwanja vya Mashujaa hadi saa kumi na mbili na nusu jioni.
Inasemekana msafara wake toka Rombo umekuwa ukisimamishwa njiani na wananchi.
Habari yako, husika na kichwa cha habari hapo juu.
Ni muda sasa wa zaidi ya wiki mbili nimekuwa nikitafakari juu ya kutaka kuondoka hapa DSM na kurudi kijijini mkoani Iringa. Hapa mjini nilikuja kwaajili ya masomo nikafikia kwa mama mdogo na sasa nimeshamaliza tayari masomo.
Nimekuwa...
Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya
Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui.
Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili hapa uwanjani.
=========
MAGUFULI: Mwaka 2015 tulipita hapa kuwaomba kura wana-Mbeya, mlitusikiliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.