Uchaguzi 2020 TRIANGLE ATTACK: Joseph Mbilinyi (Sugu) atikisa Kata kwa Kata Mbeya Mjini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,649
218,105
Hii hapa ni kata ya Iganzo, huyu mtu anasafisha mji kwa kushirikiana na watenda kazi wa hapohapo Mbeya akiwemo mtu mzito, John Mwambigija .

KATA kwa KATA...DAY 9_ ASANTENI sana KATA ya IGANZO, ni MAHABA ya DHATI _100__100_ ... ( 480 X...jpg


Ufafanuzi kwa wageni na wengine, hii TRIANGLE ATTACK au Pembe tatu ndio mfumo mpya wa CHADEMA kwenye mashambulizi ya uchaguzi huu unaowafanya wengine wachanganyikiwe, ni mfumo unaoharibu mfumo wa kumbukumbu za mamluki, ambapo hoja nzito wao wanaziita matusi.

Nadhani mnaanza kuona hadi maofisa wa Tume ambao ni walezi wa vyama vyote wameanza kuokoa jahazi, japo wamepuuzwa.
 
Tulia kalishwa matango pori.

Kwenye mkutano anaweka audio eti akiwa bungeni aliwaombea umeme na maji. akisahau yeye aliteuliwa kama mbunge wa Dar...

Hoja yake kubwa ni kuwa alianza kuwasaidia kabla hajawa mbunge.. (yale yale ya Lowassa na mafuriko)..

Kwa mtu aliyepo Mbeya atakubaliana na mimi kuwa Bettina ana hali mbaya.. kila akienda anasomba vijana ila bado hamfikii hata robo muhuni Sugu.
 
Back
Top Bottom