Uchaguzi 2020 Robert Kisinini, Mgombea Ubunge wa Iringa Mjini kupitia NCCR-Mageuzi

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,275
24,142
14 September 2020
Iringa Mjini

MGOMBEA UBUNGE IRINGA MJINI ROBERT KISININI "AFUMANIWA" AKIFANYA HAYA



Mwaka 2020 huu yupo NCCR-MAGEUZI akitumaini kuchaguliwa kuwa mbunge

HISTORIA MWAKA 2015 aligombea Uspika

Mgombea Uspika DP Mhe. Robert Kisinini aahidi kurudisha imani ya kweli kwa wananchi Juu ya mwenendo wa Bunge zima.

 
Inatakiwa wagombea wa CCM Mpya wawe relaxed hivi katika mchezo huu wa kisiasa usiohotaji hasira. Sasa sana mwanasiasa mwenzetu kijana kwa kujiamini, somo tosha kwa wale kina Kheri James mwenyekiti wa UVCCM.
 
Back
Top Bottom