CHADEMA yaiteketeza CCM Musoma Mjini, nyayo za Magufuli zafutiliwa mbali

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,122
214,237
Hii ni baada ya Julius Mwita kuzindua kampeni za ubunge, hii hapa habari kamili

Subpost 2 - Mh Jullius Mwita Mgombea Ubunge Wa Jimbo la Musoma Mjini akihutubia  ( 479 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Mh Jullius Mwita Mgombea Ubunge Wa Jimbo la Musoma Mjini akihutubia  ( 479 X 640 ).jpg
 
Too early to declare. Njoo baada ya uchaguzi utoe mrejesho.
Hapana mkuu mi ni mzaliwa wa Musoma miongoni mwa Mikoa inayojielewa na Mara pia ni miongoni mwao, Chadema itashinda jimbo hilo maana lina historia ya kuongozwa na miaka mitano ccm miaka mitano upinzani Matayo anaondolewa mapema sana...
Jimbo lingine ambalo laweza kwenda CHADEMA ni RORYA maana hapa pana kimgogoro cha kuikabila, Bunda unaelewa, Tarime mjini, kijijini unaelewa vizuri.
 
Tena huyo Matayo David mapema sana abebe virago vyake
 
Hapana mkuu mi ni mzaliwa wa Musoma miongoni mwa Mikoa inayojielewa na Mara pia ni miongoni mwao, Chadema itashinda jimbo hilo maana lina historia ya kuongozwa na miaka mitano ccm miaka mitano upinzani Matayo anaondolewa mapema sana...
Jimbo lingine ambalo laweza kwenda CHADEMA ni RORYA maana hapa pana kimgogoro cha kuikabila, Bunda unaelewa, Tarime mjini, kijijini unaelewa vizuri.
Usipime mambo kwa kutumia historia. Inawezekana umezaliwa Musoma lakini huna habari na yanayoendelea hapa kwakuwa huishi Musoma. Mimi nimezaliwa Iringo, na kwa sasa naishi kwangu Mtakuja, siasa za Musoma nazifahamu vyema. chadema hawana chao mwaka huu Musoma.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom