Ukitaka uishi maisha yenye furaha kwenye mahusiano...

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Kwanza hakikisha unatafta mwenza (well for men only)
1. Mpite miaka zaid ya 10
2. Elimu yake kibongo bongo awe La saba or form4 or six
3. Awe hana kazi inayoeleweka yaan wewe ndio mtaftie mchongo hapo mjini or else asiwe na kazi yoyote ile
4. Hakikisha anakusikiliza wewe kwa lolote yaani wewe ndio director wa maisha yake

Lastly, provide her with everythng yaani muhudumie kwa asilimia zote. Mwanamke wa hivyo akitaka gari mpe, akitaka gold mpe. Yaani chochote, aktaka macho ma3 mpe.

Aisee! utaishi maisha ya amani sana duniani yaani wanawake wa hivi huamini kuwa wanapendwa na waume zao, hata akufumanie atajua tu huyu kateleza. Halafu mzalishe kuanzia watoto wa4.

Dah! Ndugu yangu utaishi kama malaika

Ila hawa wengne ambao mnamaliza chuo kwanza gpa kakupita..mdada katoka familia baba kamlea kushindana na wanaume well ni sawa kwa wellbeing yao wanawake kwamba ndio hivyo karne mpya lazima waende sawa nini na nini

Ila ndugu yangu mashindano kwenye mahusiano yatakua meng sana.labda huyo dada akupende sana. Well kama hutoweza ushauri huu basi wekeza kwenye mwanamke ambaye atakupenda sanaa

Sasa hao wanaopenda sana, sasa wengi chura hawana hahah. Wazuri wazuri sababu wanatongozwa sana basi huwa na viburi na huwa hawapend kiviiile. Atakupenda ila hatokuonyesha, akuonyeshe wewe nanii, haha. Wakati anatongozwa kwa siku mara 8

1622193730842.png

Kumbe hawa wenzetu sasa imeshafahamika wanataka nini na imeshajulikana namna ya kuishi nao? Basi tufute ile misemo yote ya zamani kuwa wanawake hata wenyewe sometimes hawajui wanataka nini na basi tufute kale ka mstari kwenye biblia kuwa inabidi kuishi nao kwa akili tuchague tu wasiosoma kisha tunawanunulia macho matatu full stop
 
This is not true bana.

Kwa hiyo mwanamme maisha yake ni kumpambania mwanamke?

Point ya tatu na hiyo ya mwisho nitapingana nayo kabisa.

Kwa mtoto wa kike, Akishamaliza shule so akae tu kitaa. Adumaze akili? Azurure tu na wanaume wamuangalie tu? Nitamuendeleza binti yangu na kuhakikisha Ana maisha yake kabla hajaingia kwenye ndoa.

Hataingia kwenye ndoa akawe mzigo kwa mume wake. Hataingia kwenye ndoa bila ujuzi wowote zaidi ya kutunza ndoa. Hatakaa nyumbani tu bila kipato awe tu goli kipa, no way. Absolutely no way.

On the other hand, Mtoto wangu wa kiume hataenda mbio kusaka maisha huku mkewe amekaa ndani anasubiri kuletewa. That will not happen.

Mke na Mume lazima washirikiane kusogeza gurudumu la maisha. Maisha ya kukaa kusubiri kupewa yalishapitwa na wakati. Kasi ya maisha ipo juu sana.

Mwanamme usiumize kichwa kisa hili wimbi la wanawake manungayembe ambao walishakata tamaa na maisha yao Kazi ni chuma ulete tu.

Tafuta mwanamke msikivu ambae atakuheshimu na kukusikiliza. Mfundishe mapenzi muongoze katika system Yako unayoona itakupelekea kuwa na maisha bora na familia bora then muweke ndani anza maisha.
 
Huu ndio ukweli wenyewe sasa...
 
Huu ndio ukweli wenyewe sasa...
Subutu yake.

Tusiishie tu kushabikia ya mitandaoni.

Unaweza kuwatoa wanao shuleni wake nyumbani tu kwa sababu at the end of the day mwanaume atawaweka ndani na kuwagharamikia kila kitu? Dunia ya sasa?

Halafu ya Mungu mengi, akutangulie mbele ya haki akamuacha mke na watoto wataishije na walishazoea kupewa?

Are you serious?
 
"Tangu umri wangu usogee kidogo najikuta naamini kuwa sitakiwi ku share hovyo hovyo "USB" yangu na watu tofauti tofauti zaidi ya yule "Shareholder wangu pekee"

Lakini pia nimegundua ku share USB hovyo hovyo kunaleta virus, demage na mikosi ya ajabu ajabu inayopelekea umasikini"
 
Subutu yake.

Tusiishie tu kushabikia ya mitandaoni.

Unaweza kuwatoa wanao shuleni wake nyumbani tu kwa sababu at the end of the day mwanaume atawaweka ndani na kuwagharamikia kila kitu? Dunia ya sasa?

Halafu ya Mungu mengi, akutangulie mbele ya haki akamuacha mke na watoto wataishije na walishazoea kupewa?

Are you serious?
Nilikuwa naamanishaa kuwaa ulichokisema ni sahihi kabisaaa...lazima tuwafunze watoto wetu kuwa na vyao kwanza na sio kuwa tegemezi ndani ya ndoa...kwani hayo maisha yalisha pitwa na wakati...I real appreciate your comment madam🙏🙏
 
Back
Top Bottom