mjadala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  2. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kama Tume inapewa maagizo mchana kweupe ni jibu tosha. October 29 yalikua ni maagizo tufunge Mjadala

    MUNGU ni mkubwa sana kama kuna mtu anaweza kukaa anasubilia majibu ya tume kwamba yanaweza kuja na kitu cha maana huyo inatakiwa kuwahi Mirembe hospital mara moja na kupata matibabu.
  3. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watu maarufu chukueni hii code. Kinachotafutwa sasa ni kuzima mjadala wa mauaji ya October 29 sasa sikieni

    Haijalishi wewe ulikuwa chawa au ulikuwa nani kinachotafutwa na tukio la mtu maarufu mwenye jina apate tukio mitandao ije imzungumzie wamejaribu kwa mwenzenu hapo juzi mmeona kijana mpole ila wamepita naye sasa kazi kwenu D9 tokeni acheni ushamba
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Kikao cha Bunge leo wakosa wachangiaji JF

    GT inshangaza tangu saa 3 asubuhi hadi sasa sakumi kuna views 158 na replies 6 tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mpina shuka hilo basi, tunakuhitaji kwenye mjadala wa Kitaifa

    Watu wa karibu na Mpina, mwambieni/mshaurini ajitenganishe na Zitto na ACT haraka sana. Tarehe 30 tutahitaji kuunda baraza jipya la mageuzi kwa ajili ya mustakabali wa Tanganyika, waliojihusisha na Uchaguzi kwa kiwango kikubwa wanatumika na hili kundi ambalo wengi wao watakuwa kizuizini. Jana...
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ahadi za CCM zinavyobua mjadala

    Tangu Chama cha Mapinduzi (CCM) kilipozindua kampeni zake za uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2025 katika uwanka wa Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, kumekuwa na mijadala kuhusu ahadi zinazotolewa na mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan. Miongoni mwa ahadi zilizotolewa na...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Joash Onyango Ajiunga na Kenya Police FC, Umri Wake Wazua Mjadala

    Beki mkongwe mwenye jina kubwa katika soka la Afrika Mashariki, Joash Onyango, amezua gumzo mara baada ya kujiunga rasmi na kikosi cha Kenya Police FC akitokea timu ya Dodoma Jiji ya Tanzania. Onyango, ambaye amewahi kung’ara na miamba wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC na Singida Black Stars...
  8. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  9. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Press ya Kwanza ya Polepole: Amevuta ushawishi, ameweza kujenga hoja, amefungua mjadala

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya. Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi wa maelfu ya watu kupitia mitandaoni kumfuatilia. Huenda huu ni ushindi mkubwa sana kwake kisiasa...
  10. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa press ya kwanza ya Polepole: Amevuta ushawishi, ameweza kujenga hoja, amefungua mjadala

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya. Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi wa maelfu ya watu kupitia mitandaoni kumfuatilia. Huenda huu ni ushindi mkubwa sana kwake kisiasa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Dogo Patten na Mjini FM yazua mjadala Mitandaoni, ya muiuibua Haji Manara

    Wakuu! Baada ya msanii chipukizi wa Singeli, Dogo Patten, kususia mahojiano kwenye kipindi cha Gen Talk cha Mjini FM, gumzo limeibuka mitandaoni likihusisha watangazaji na mashabiki. Tukio hilo limezua hisia kali baada ya vipande vya mahojiano kuonyesha watangazaji wakimshinikiza msanii huyo...
  12. rushanju

    JamiiForums Tanzania Mjadala halisi wa wabunge la Ulaya kuhusu demokrasia za Afrika

    Hapa unaweza kujionea mwanzo mwisho wa kilichodiliwa jana kuhusu demokrasia za nchi zetu. https://www.youtube.com/live/UKi9Fg-SmT8?si=kWlHqF6ElFu-bIDb
  13. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Mjadala: WAAJIRI(HRs) KWA TANGAZO KAMA HILI MNATAKA NINI KWANI?

    Hebu soma hizi kelele MASHARTI NA VIGEZO KIBAO NA VIKUBWA VISIVYO NA UHALISIA na UONE JINSI LINAVYOFOKA (kuwa utajitegemea kwa kila tu)...Kumbe ni VOLUNTEER tu... Internship and Volunteer Opportunities at ECSA-HC The ECSA Health Community (ECSA - HC) is pleased to announce internship and...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Je ni heri kutoboa ujanani, ukubwani au uzeeni

    Kutoboa kwa maana ya kujipata.. Ni umri upi sahihi? Faida zake ni zipi? Hasara zake ni zipi? Je una mifano hai? Karibuni kwa mjadala huru..!
  15. Afisa_Nkai

    JamiiForums Tanzania Yapi ni maoni yako kwenye mjadala huu!

    wakuu Niko salama sijui ninyi huko! Huu ni mjadala unaoendelea huko je ni yapi maoni yako
  16. S

    JamiiForums Tanzania Hili la waziri mkuu kupumzika halikupaswa hata kuwa mjadala; Waandishi tafteni mambo ya msingi ya kujadili acheni kupiga ramli

    Nawashangaa sana waandishi wa habari siku hizi sijui kwanini mmekuwa kama waganga wa kienyeji! Mnapiga ramli chonganishi kwenye kauli za viongozi! Mnatufikishia wananchi habari ambazo wala hazitusaidii sana! Tunayotaka mtueleze hamsemi; Yasiyo na maana ndiyo mnatufikishia. Kauli ya waziri...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha akili kwa mtanzania ni mjadala wa mechi ya dabi

    Yaani tangu May 8 wanasema hawachezi Kwa msisitizo,wamekuja na matakwa yao manne yatimizwe lakini hakuna hata Moja lililotekelezwa, Leo maamuzi ya rais ya 25 June mechi ichezwe mashabiki yote ya yanga yanafurahi sijui ni kipi kimetekelezwa,yamepost Hadi mitandao yao yote lakini simba wako kimya...
  18. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kuna mjadala kuhusu mfalme wa saudia kuingia AlKaaba kavaa viatu

  19. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Ubia sio ubinafsishaji: Usikose mjadala huu ni ndani ya dakika 45 ITV saa tatu kamili usiku, 09|06|2025

    KAFULILA: UBIA SIO UBINAFSISHAJI. NDANI YA DAKIKA 45 KESHO NDANI YA ITV SAATATU KAMILI USIKU 09||06||2025. == Ni Mjadala mkali kati ya mtangazaji machachari wa kituo cha runinga cha ITV Ms Farhia Medley atahenyeshana Kwa hoja nzito nzito na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini...
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Seneta wa Kenya Edwini Sifuna asema leo Bunge la Kenya mjadala utakuwa kwa Kiswahili ili Watanzania waelewe Somo

    Hii vita naona ikifika mbali na huenda steling akafia kwenye bustani ya maua. Hii ni kwa ajili ya Msukuma
Back
Top Bottom