Gari analotumia "Makonda" lazua mjadala mitandaoni

Gari analotumia "Makonda" lazua mjadala mitandaoni

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,908
Reaction score
3,231
Gari hiyo aina ya Bentley Flying Spur lenye kibao cha namba W HUSM linalodaiwa kutumiwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda limezua mjadala hasa katika mtandaow a X, ambapo watu mbalimbali wamehoji kiongozi wa Serikali kutumia gari aina hiyo.

Kwa mujibu wa akili mnemba ya X (Grok), gari hilo lina thamani ya kati ya TZS 650 milioni hadi 1.1 biliona kulingana na bei za mwaka 2026.

385aaf89-9c4b-4e54-aa7d-54e972dbba31.jpg

8123ae1e-ff10-4c0b-b386-f5254e17b4be.jpg

b3c6cedc-fa2b-4bbb-89ed-9cab0d383339.jpg
4acd2de1-6229-439c-b077-6b86028a4703.jpg
808f2b95-b299-48a7-b6ab-4d0ec3d21028.jpg
3eaea181-0845-4ef8-aafe-2844dc6f1697.jpg
 
Gari hiyo aina ya Bentley Flying Spur lenye kibao cha namba W HUSM linalodaiwa kutumiwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda limezua mjadala hasa katika mtandaow a X, ambapo watu mbalimbali wamehoji kiongozi wa Serikaloi kutumia gari aina hiyo.

Kwa mujibu wa akili mnemba ya X (Grok), gari hilo lina thamani ya kati ya TZS 650 milioni hadi 1.1 biliona kulingana na bei za mwaka 2026.

View attachment 3543638
View attachment 3543639
View attachment 3543642View attachment 3543643View attachment 3543644View attachment 3543645
 
Makonda atakuja kufanya mauji ya halaiki hapa Tanzania. Tunzeni huu uzi wandungu. Someni historia ya Hitler na Mussoloni walivyoingia madarakani, na walichokuja kukifanga walipokuwa madarakani.
 
Naona ni wanachama wa chadema na wanaharakati uchwara kuweka namba kuna nini zaidi namba hutolewa dk zero au nyie ndio washamba

USSR
 
Kwa muonekano wa taa za mviringo zilizo na LED ndani, grill kubwa ya chrome na muundo wa bumper ya chini, hii inaonekana kuwa:
Bentley Flying Spur
Makadirio ya mwaka:
Kati ya 2019 – 2023
Hii ni kizazi cha tatu (third generation) kilichoanza kutolewa mwaka 2019, na ndicho kina muonekano huu wa kisasa zaidi na taa zenye muundo wa crystal effect.
Bei yake:
Mpya kabisa: karibu USD 220,000 – 300,000
Tanzania inaweza kufika TSh 650M – 900M kutegemea ushuru na specs (V8 au W12).
Ukitaka nijaribu kukadiria kama ni V8 au W12 kwa muonekano wa badge au exhaust
Gari lililo mbele kwenye picha ni Bentley Flying Spur

Sifa zake kwa ufupi:

Ni sedan ya kifahari (luxury saloon)
Injini kubwa (V8 au W12 kulingana na toleo)
Muonekano wa kifahari sana na grill kubwa ya chrome
Ndani huwa na ngozi na mbao za hali ya juu

USSR
 
Hakuna chochote atafanywa nchi ishajichokea. Shabiby alisema ufisadi wa awamu hii ni kiboko. Kama mtu kama DAB ananunua Bentley flying spurs gari ya 1B na bado RC analalmika mkoa wake wanafunzi wanakaa chini.... Shame on you to all whom it may concern.
 
Hawakufanya mauaji kwa bahati mbaya ili wabaki madarakani.
 
Hakuna chochote atafanywa nchi ishajichokea. Shabiby alisema ufisadi wa awamu hii ni kiboko. Kama mtu kama DAB ananunua Bentley flying spurs gari ya 1B na bado RC analalmika mkoa wake wanafunzi wanakaa chini.... Shame on you to all whom it may concern.
Na kwakuweka namba ya serekali kwenye gari binafsi, hapo ndio ujue tuna mifumo mfu.
 
Kwa Tz mtu au kiongozi anachukuliwa hatua pale tu anapokuwa anaisimanga serikali/dola au viongozi wake.

Simbachawene alitumbuliwa kwa kuwasema polisi watende haki na waache kukamata watu hovyo kwa staili ya kuteka na usiku wa manane.

Kwa hili la Makonda kwa sababu hajaenda kinyume na mamlaka yake iliyomteua,nyie hata mpige kelele vipi hafanywi chochote.

Ndiyo kwanza siku bimkubwa akija na hotuba siku za usoni atatusimanga sisi tunaopiga kelele kuhusu uadilifu na uongozi.

Makonda hapa anatunyooshea dole la kati kimoyomoyo. Anatuona tunabweka tu maana hakuna kitu kitatokea.

Nchi ngumu sana hii.
 
Huyu juzi juzi tu Mange kamuanika kanunua viwanja vya B na zaidi huko Arusha hata mwaka haujaisha anatamba na chuma ya nusu B.Tutaimbiwa kazi na utu ,tukija kuamka nchi imebaki shelf tu.
 
Mbali na hayo, nyinyi kikundi cha Abduli ndiyo mashetani wakubwa pamoja na huyo Bi kizee wenu, mnapaswa kunyongwa

Magufuli hawezi kulinganishwa uovu wake na ushetani wenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom