Mjadala huru: Zipi hisia zako unapoona ambulance?

Mjadala huru: Zipi hisia zako unapoona ambulance?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
372,753
Reaction score
863,635
Unawaza nini?

Unakumbuka nini?

Je unakuogopesha?

Je inakuumiza?

Je inakuogopesha?

Binafsi nina shuhuda zangu nitashare kwenye comments

Karibuni kwa mjadala

Ambulance kwangu huwa naiita MATUTA AU PENATI KWAHIYO NIKIONA MTU KAINGIA KATIKA AMBULANCE HUWA NAFANYA JAMBO MOJA I GIVE IT GOD

(NAMUACHIA MUNGU)

MWAKA 2020 BABU YANGU ALITOLEWA BUKOBA NA AMBULANCE MPAKA MWANZA NA HIYO NDO ILIKUWA SAFARI YAKE YA MWISHO. R.IP ALLAHAJ

IT WAS A SAD MOMENT
 
Unawaza nini?

Unakumbuka mini?

Je unakuogopesha?

Je inakuumiza?

Je inakuogopesha?

Binafsi nina shuhuda zangu nitashare kwenye comments

Karibuni kwa mjadala

Unawaza nini?

Unakumbuka mini?

Je unakuogopesha?

Je inakuumiza?

Je inakuogopesha?

Binafsi nina shuhuda zangu nitashare kwenye comments

Karibuni kwa mjadala
Huwa linanikumbusha maumivu makali sana.
Nakumbuka mamaangu alipozidiwa na ikatakiwa tumuhamishe hospital tuliambiwa tusubiri Ambulance imepeleka mgonjwa wilaya nyingine irudi ndipo na sisi tumsafirishe mgonjwa wetu.Tulisubiri masaa sita mpaka pale liliporudi ndipo tukapewa sisi tumpeleke mgonjwa hospital ya rufaa.Nakumbuka nilipanda mimi,Nesi na mzee wangu na mimi nilitakiwa kumpakata mamaangu akiwa na drip mkononi.Dah, hizi barabara zetu na ile ambulance haikuwa na kitanda zaidi ya siti zakukunja tulipata sana shida, hadi tunafika hospital kiukweli mama alikuwa hajiwezi.
Alilazwa wiki moja na alifariki dunia mwanzoni mwaka 2024 tu.
So, nikizionaga Ambulance namkumbuka mamaangu tu.Inauma ila ndo huwezi kupita wiki hujakutana nazo barabarani. Upumzike kwa amani Mama🙏🙏🙏😔😔😔
 
Hasa iwe usiku halafu barabara inamopita kuwe na foleni,mchana huwa sihisi hatari yoyote kwa sababu ni wakati ambao huduma zote au akihitajika yeyote kwa msaada anapatikana kiwepesi,kichwani huwa nawaza tu ni baba au mama wa familia ameingia kwenye mgogoro wa kiafya.

Nafsini huwa nahisi mahangaiko ya waliobaki nyumbani,mawazo yao kama ni baba anawaza kwa hali ile ya mke wangu nabaki na watoto peke yangu kama mwanamke hivyo hivyo,ni mtihani sana ni vile hatuna namna.Mungu atulinde sote na hatari mbaya.
 
Huwa linanikumbusha maumivu makali sana.
Nakumbuka mamaangu alipozidiwa na ikatakiwa tumuhamishe hospital tuliambiwa tusubiri Ambulance imepeleka mgonjwa wilaya nyingine irudi ndipo na sisi tumsafirishe mgonjwa wetu.Tulisubiri masaa sita mpaka pale liliporudi ndipo tukapewa sisi tumpeleke mgonjwa hospital ya rufaa.Nakumbuka nilipanda mimi,Nesi na mzee wangu na mimi nilitakiwa kumpakata mamaangu akiwa na drip mkononi.Dah, hizi barabara zetu na ile ambulance haikuwa na kitanda zaidi ya siti zakukunja tulipata sana shida, hadi tunafika hospital kiukweli mama alikuwa hajiwezi.
Alilazwa wiki moja na alifariki dunia mwanzoni mwaka 2024 tu.
So, nikizionaga Ambulance namkumbuka mamaangu tu.Inauma ila ndo huwezi kupita wiki hujakutana nazo barabarani. Upumzike kwa amani Mama🙏🙏🙏😔😔😔
Kuna watu hawana hizi experience.. Ila zimebeba kumbukumbu mbaya na maumivu mengi
 
huwa sipendi kusikia mlio wake (king'ora) ama kukutana nayo nikiwa na ma mkubwa wangu

maana huwa anaanza kukumbuka mwanae alibebwa huko na hakurudi mzima

utamsikia akiongea kwa masikitiko kwamba wengine huwa wana bebwa na kurudi wazima kwa nini mwanae hakurudi

kinacho fuata ni kimya cha majonzi
 
Back
Top Bottom