miundombinu

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Urejeshaji wa Miundombinu ya Barabara Katika Mji wa Katesh Wafikia 75%

    UREJESHAJI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KATIKA MJI WA KATESH WAFIKIA ASILIMIA 75 Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya amesema hadi sasa urejeshaji wa miundombinu ya barabara na makalvati iliyokuwa imeharibiwa na maporomoko ya matope na mawe yaliyotokea Disemba 3, 2023 kwenye mji wa...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ruvuma: Sinema na siasa vilivyoingia kwenye sakata la miundombinu ya Shule ya Msingi Magomeni (Tunduma)

    Wiki mbili baada ya mwandishi wa habari wa Gazeti la Nipashe kuzungumza na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kutaka kujua kwanini Shule ya Msingi Magomeni ina madarasa mawili yaliyojengwa kwa nguzo za miti na kuezekwa kwa nyasi, madarasa hayo sasa yamebomolewa. Oktoba 27, 2023, Mwandishi wa Habari...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuendelea Kuboresha Miundombinu ya Viwanja vya Ndege Nchini

    Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kujenga na kupanua Miundombinu ya Viwanja vya Ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi Jirani Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo...
  4. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Miundombinu Mibovu Njia za Treni Kupelekea Ajali Nyingi

    Ajali zinazotokea Mara kwa Mara Zikihusisha Njia za treni, Wengi wanatupia lawama wahanga lakini tunaacha kuongelea miundombinu ya njia ya Treni. Tukiangalia nchi za wenzetu wanawekaga Taa au geti, pale ambapo treni inapita basi vitu hivyo vinakupa ishara ya tahadhari, tukijaKwetu hapa bongo...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Muonekano wa Shule ya Msingi Kugulunde, miundombinu yake ni hatari kwa Wanafunzi na Walimu

    Huu ndio muonekano wa Shule ya Msingi Kugulunde iliyopo katika Kitongoji cha Mahande, Kata ya Mtii, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro. Shule hii ya Serikali haina miundombinu inayoridhisha kuendeleza harakati za utoaji wa elimu, kwani tangu ilipopatwa na maporomoko yaliyotokana na mvua kubwa...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama aagiza kuimarishwa Miundombinu ya mawasiliano Dar

    Serikali kupitia ofisi ya Rais TAMISEMI imeahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 20 ili kuimarisha kivuko cha cha Magole/Mwanagati kilichopo katika kata ya Mzinga Halmashauri ya Ilala mkoani Dar es salaam ili kiweze kupitika muda wote. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri...
  7. Exile

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Mvua zimeleta athari katika miundombinu ya umeme

    TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu. Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kushughulikia miundombinu ya shule za umma liangaliwe upya

    Hujambo ndugu? Nimetafakari kwa kina uamuzi wa serikali kuziweka shule za umma chini ya usimamizi wa TAMISEMI hususan miundombinu yao ninaona ni uamuzi unaohitaji kupitiwa upya. Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mujibu wa ibara 1415 na 146 za Katiba ya JMT (nimenakili hapa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Umeweza kufanya shughuli zako vizuri katika kipindi hiki cha mvua?

    Wakuu, Shughuli zako za kila siku zimeweza kufanyika vizuri bila tatizo lolote? Una la kuwaambia serikali kuhusu hali ya miundombinu kipindi hiki cha mvua? Hali iko shwari huko ulipo? Maji yanapita bila shida yoyote?
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya Miundombinu ya Barabara na Maji hapo Mtaani, Utamchagua tena Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wako?

    Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 ambapo kwa mujibu wa Muongozo, Serikali za Mitaa zimeanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 145 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka madaraka kwa wananchi...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Hali ya miundombinu baadhi ya majengo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

    Awali niliona uzi humu JF kuhusu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja iliyopo Unguja, Zanzibar, sikuamini kama ni kweli, lakini juzi(Novemba 13, 2023) nilifika hospitalini hapo ukweli ni kuwa hali ya miundombinu katika baadhi ya maeneo si nzuri. Nilishindwa kupiga picha lakini miundombinu mingi haipo...
  12. Ikulu T

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

    Miundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha. Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo. Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

    Acha ukweli usemwe DSM ni mkoa wa kimaskini sana, kelele kibao lakini uhalisia ground maisha ni mabovu sana DSM, watu wana stress, maisha duni ndio mana DSM ni mkoa unaongoza katika idadi ya ufukara na vifo katika ngazi ya kaya ama familia. Matajiri wachache wanaibeba DSM, ila watu wanateseka...
  14. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Kuhusu El niño Je athari za Mivua hizo Ni za wananchi Peke yake ? je miundombinu ya serikali Kama Madaraja na Tanesco wamejiandaaje?

    Hakuna Haja ya Salaam Maana naona kama hili swala halijakaa sawa sana.. Kila nikifungua TV au Redio nasikia nakuona Serikali ikieleza Athari za Mvua ya Elnino na Athari zote zikielekezwa kwa Wananchi.. Na serkali ikifika mpaka kutishia wananchi wanaoishi Bondeni kwamba hakutakuwa na Malipo wala...
  15. MANKA MUSA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunaendelea kuimarisha miundombinu ya barabara na madaraja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea na juhudi mbalimbali za kuimarisha miundombinu ya Barabara na Madaraja Nchini kwani ndio kilio cha wananchi kwa sasa. Rais Samia amesema hayo wakati akizungumza na wananchi...
  16. Bull Bucka

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Iringa shughulikieni ukosefu wa miundombinu ya vyoo Soko la Machinga

    Wafanyabiashara katika Soko la Machinga, lililopo kata ya Mlandege, mkoani Iringa, wanakabiliana na changamoto kubwa ya kukosa miundombinu ya vyoo. Hali hii inawalazimu kutumia eneo la nyuma ya soko, ambalo ni la makaburi, kama sehemu ya kujisaidia. Hii ni hali ya hatari kwa afya, kwani eneo...
  17. President of China

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Urusi, Ulaya na Marekani wanaiogopa (Miundombinu, Utamaduni, Viwanda, Uchumi na Maliasili)

    BWANA YESU ASIFIWE Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa mara kwa mara na kuleta taarifa sahii zenye uchunguzi wa kina kuhusu nchi mbalimbali na kisha watu waweze kuelewa undani wake. NImefanya utafiti wangu kwa miaka mitano kuhusu nchi ya Urusi. Leo hii nitawaletea hali halisi ya nchi hii...
  18. President of China

    JamiiForums Tanzania Ijue Miji, Majiji na Miundombinu ya China - Je, Ulaya na Marekani imefunikwa?

    TUMSIFU YESU KRISTU. Kumekuwa na watu wengi kubeza, kuzomea na kubwatuka maneno ya hapa na pale kuhusu china. Lakini leo nimeamua kuwapitisha katika miji na majiji yaliyopo china huku tukilinganisha na miji iliyopo Ulaya na Marekani. China kwa sasa inajenga majiji yake na miji yake kisasa...
  19. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania TANESCO kufanya ukarabati na Maboresho ya Miundombinu ya umeme kwenye baadhi ya Maeneo ya Dar es Salaam, Septemba 1 na 3, 2023

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa kutakuwa na ukarabati na maboresho ya miundombinu kwenye njia kuu ya kusafirishia Umeme ya Msongo wa Kilovoti 132 Mbagala - Dege na Kurasini siku ya ljumaa, tarehe 01 Septemba ,2023 na Jumapili, tarehe 03 Septemba, 2023 kuanzia...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TCCA Yatoa Semina kwa Kamati ya Miundombinu

    TCAA YATOA SEMINA KWA KAMATI YA MIUNNDOMBINU Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Selemani Kakoso akitoa maelekezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), Mhe. Atupele Mwakibete, Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire na Wataalam wa Mamlaka ya Viwanja...
Back
Top Bottom