Zaidi ya Viongozi 100 wa Dunia waahidi kukomesha ukataji miti ifikapo mwaka 2030, ikiwa ni makubaliano makubwa ya kwanza kwenye Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabianchi
Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, ambaye ni Mwenyeji wa Mkutano ametaja Makubaliano...
Kwa sababu ni makomandoo huenda wangeweza.
Nakuuliza hivi,
Wangetumia mapanga ya kawaida au mapanga maalumu?
Au wangetumia mashine za kukatia miti?
Je, Mabwana misitu wangewaacha tu?
Au wangekuwa wanakata huku wamevalia mavazi ya mabakamabaka kw a hiyo mabwanaisitu wangewaogopa?
Je, Wangekua...
Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mama!
Kwanza nikupongeze kwa Mafanikio makubwa yanayoonekana kwenye suala la kuwahamisha Machinga na kuwapeleka maeneo rasmi. Na furaha nchi sasa imeanza kupendeza hasa majiji yetu! Nimepita Posta mpya leo na Kweli nimeiona Posta niliyoijua...
Huu uzi nmebase kwenye gari zote ambazo ECU (Control box) ipo upande wa engine ambapo zaidi ya asilimia 90 ya gari za Ulaya na Marekani zinaingia hapo.
Ingawa zipo gari nyingi tu za Asia ambazo control box imefungwa upande wa engine mfano kuna nissan moja nimesahau tu model yake ila ina engine...
Katika kijiji cha Kitewele Wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe hali sio hali, kwani hakuna huduma ya za afya karibu, Wananchi wanalazimika kutembea zaidi ya km 30 kufuata huduma katika kituo cha afya.
Pamoja na kukosekana huduma ya kitutua cha afya barabara katika kijiji hicho hazipitiki iwe kwa...
Wadau nahitaji kupanda miti kuzunguka eneo langu inayolua haraka, Nahitaji miti inayokwenda juu mfano Miashoki (isiwe ya kitambaa na kuhitaji pruning ya mara kwa mara).
Nimewaza kununia mihashoki lakini sijui kama inawahi sana kurefuka. Hivo naomba kama kuna mtu ana experiencena speed ya ukuaji...
Wadau nahitaji kupanda miti kuzunguka eneo langu, Nahitaji miti inayokwenda juu mfano Miashoki (isiwe ya kitambaa na kuhitaji pruning ya mara kwa mara).
Nimewaza kununia mihashoki lakini sijui kama inawahi sana kurefuka. Hivo naomba kama kuna mtu ana experience na speed ya ukuaji wa miashoki...
KILA MTU DUNIANI ANA MITI 400
Unashangaa? Unajiuliza hiyo miti iko wap?
Ni hivi hadi 2020 dunia ilikuwa na miti trillion 3.04
Kwani ukiigawa kwa watu billion 7 inamaana kila mtu ana Uhakika wa kupata miti 400
Kama ulikuwa hujui ni hivi dunia Nzima ina ukubwa wa eneo...
Siku moja nilituma text kwa njia ya kawaida nilikuwa namtumia mshkaji wangu wa kike. Msg ilikuwa mbaya yaani kiufupi haikuwa na heshima.
Bahati mbaya sana ile text ilienda kwa Wife na si unajua kwenye text kawaida hakuna "Delete for everyone" [emoji3]
Basi bhana baada ya kuona tu kuwa nimesha...
Kumekuwa na mkakati mkali wa BAVICHA na BAWACHA kupata fedha na kuwalipa vijana wa vijiweni mikoa yote ili waandike maneno MBOWE si GAIDI kwenye mawe na miti mikubwa mikubwa pembezoni mwa barabara kama alivyofanya Mwigulu wakati akitafuata Urais wa nchi hii mwaka 2015.
Hii mbinu ninaona italeta...
PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero.
Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti.
Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
askofu
askofu gwajima
daraja
gwajima
habari
kwanza
mambo
mamlaka
mbunge
miradi
miti
mlimba
morogoro
msingi
nchi
picha
tanzania
tarura
ujenzi
uvccm
wataalam
Mpaka mtoto afikishe miaka miwili + ndiyo anaweza kutambua kuwa anahitaji haja kubwa au ndogo hapa ndipo anafundishwa kujistiri.
Enzi tuna vaa magome ya miti watoto walitunzwaje ili kinyesi kisitapakae? Hali kadhalika babu zetu walihimili vipi baridi bila kuwa na mavazi?
Asili ya miti au zao hili ni Asia, Waarabu na wafanyabiashara walileta zao hili Tanzania miaka ya 1600-700. Minazi ya asili hi chukua miaka 10 tangu kupanda mpaka kuvuna au kuangua Nazi. Mti wa mnazi hustaamili ukame na una maisha ya miaka 100 tangu kupandwa.
Kilimo cha minazi kiliwafaa...
Habari za mchana ndugu wana JF
Nilikuwa napenda kuuliza kuhusiana na gharama za mashamba ya miti ya mbao kwa mikoa ya Iringa na Njomba hekari moja yenye miti yenye umri wa miaka mitatu mpaka minne kwa hivi sasa inaweza ikawa imefikia shilingi ngapi?
Habari za majukumu ndugu zangu. Ninatafuta suluhisho la kudumu la miti midogo yenye miiba shambani. Hii mimea imekuwa kero kubwa kwangu kwani kila nikipanda shamba, hiyo miiba huchipua.
Hata ung'oe mizizi yake, bado hujiotea tena. Kwa mwenye uzoefu wa kutatua tatizo hili la kilimo naombeni...
Wakuu habarini,binafsi nimewaza sana kuhusu hii project ya miti.ningependa kuifanya katika wilaya ya kiteto mkoa wa manyara.je ni aina gani ya miti ambayo itastawi vizur kutokana na hali ya hdwa ya kiteto?Kumbuka nahitaji miti kwa ajili ya mbao.
Kwa sasa kinachoendelea ni utambulisho wa viongozi ikiwemo wizara na idara za serikali. Waliokuwepo kwa uchache ni Dkt. Damass Ndumbaro, Medadi Kalemani ambae ni mbunge mwenyeji na waziri wa nishati, Dotto Biteko ambae ni waziri wa madini, Elias Kwandikwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kuzindua Shamba la Miti Chato kesho Januari 27, 2021 katika eneo la Butengo, Wilaya ya Chato, Mkoani Geita.
Wananchi maeneo husika pamoja na wananchi wote mnakaribishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.