miti

  1. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Kila Mtu Duniani ana Miti 400

    KILA MTU DUNIANI ANA MITI 400 Unashangaa? Unajiuliza hiyo miti iko wap? Ni hivi hadi 2020 dunia ilikuwa na miti trillion 3.04 Kwani ukiigawa kwa watu billion 7 inamaana kila mtu ana Uhakika wa kupata miti 400 Kama ulikuwa hujui ni hivi dunia Nzima ina ukubwa wa eneo...
  2. thebosskissima

    JamiiForums Tanzania Siku isiyo ya kufa nyani wala miti haitelezi

    Siku moja nilituma text kwa njia ya kawaida nilikuwa namtumia mshkaji wangu wa kike. Msg ilikuwa mbaya yaani kiufupi haikuwa na heshima. Bahati mbaya sana ile text ilienda kwa Wife na si unajua kwenye text kawaida hakuna "Delete for everyone" [emoji3] Basi bhana baada ya kuona tu kuwa nimesha...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Staili ya Mwigulu ya kuchora majina yake kwenye mawe na miti kutumika na CHADEMA kumtetea Mbowe

    Kumekuwa na mkakati mkali wa BAVICHA na BAWACHA kupata fedha na kuwalipa vijana wa vijiweni mikoa yote ili waandike maneno MBOWE si GAIDI kwenye mawe na miti mikubwa mikubwa pembezoni mwa barabara kama alivyofanya Mwigulu wakati akitafuata Urais wa nchi hii mwaka 2015. Hii mbinu ninaona italeta...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero. Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti. Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Meza ya kulia kutumia miti iliyo shambani kwako

    Unaweza kutumia muembe au mfenesi ulio shambani kwako. Kumbuka kupanda miti miwili kabla hujakata mmoja.
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Enzi tunavaa magome ya miti watoto walitunzwaje?

    Mpaka mtoto afikishe miaka miwili + ndiyo anaweza kutambua kuwa anahitaji haja kubwa au ndogo hapa ndipo anafundishwa kujistiri. Enzi tuna vaa magome ya miti watoto walitunzwaje ili kinyesi kisitapakae? Hali kadhalika babu zetu walihimili vipi baridi bila kuwa na mavazi?
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Minazi ni miti iliyo hatarini kupotea, dalili zinaonekana

    Asili ya miti au zao hili ni Asia, Waarabu na wafanyabiashara walileta zao hili Tanzania miaka ya 1600-700. Minazi ya asili hi chukua miaka 10 tangu kupanda mpaka kuvuna au kuangua Nazi. Mti wa mnazi hustaamili ukame na una maisha ya miaka 100 tangu kupandwa. Kilimo cha minazi kiliwafaa...
  8. yongpal

    JamiiForums Tanzania Gharama za kununua mashamba ya miti ya mbao

    Habari za mchana ndugu wana JF Nilikuwa napenda kuuliza kuhusiana na gharama za mashamba ya miti ya mbao kwa mikoa ya Iringa na Njomba hekari moja yenye miti yenye umri wa miaka mitatu mpaka minne kwa hivi sasa inaweza ikawa imefikia shilingi ngapi?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kutokomeza miti ya miiba shambani

    Habari za majukumu ndugu zangu. Ninatafuta suluhisho la kudumu la miti midogo yenye miiba shambani. Hii mimea imekuwa kero kubwa kwangu kwani kila nikipanda shamba, hiyo miiba huchipua. Hata ung'oe mizizi yake, bado hujiotea tena. Kwa mwenye uzoefu wa kutatua tatizo hili la kilimo naombeni...
  10. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha miti kiteto

    Wakuu habarini,binafsi nimewaza sana kuhusu hii project ya miti.ningependa kuifanya katika wilaya ya kiteto mkoa wa manyara.je ni aina gani ya miti ambayo itastawi vizur kutokana na hali ya hdwa ya kiteto?Kumbuka nahitaji miti kwa ajili ya mbao.
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

    Kwa sasa kinachoendelea ni utambulisho wa viongozi ikiwemo wizara na idara za serikali. Waliokuwepo kwa uchache ni Dkt. Damass Ndumbaro, Medadi Kalemani ambae ni mbunge mwenyeji na waziri wa nishati, Dotto Biteko ambae ni waziri wa madini, Elias Kwandikwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga...
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa shamba la miti Chato kesho, Rais Magufuli kuwa mgeni Rasmi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kuzindua Shamba la Miti Chato kesho Januari 27, 2021 katika eneo la Butengo, Wilaya ya Chato, Mkoani Geita. Wananchi maeneo husika pamoja na wananchi wote mnakaribishwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru, bado tunaning'iniza watoto kwenye miti kuwapima uzito

    Hii habari nimesoma twitter, habari inayosema watoto wadogo wanapimwa uzito kwa kuning'inizwa kwenye mti huko wilayni Tarime mkoa wa Mara(kuna picha ikionyesha tukio hilo). Hakika nimeshangazwa sana na hii habari, ila inaelekea hali hii ni ya kawaida tu kwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu huku...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Geita: Mwanafunzi wa Kidato cha 2 auawa baada ya kutuhumiwa kuiba kuni kwenye Shamba la Miti

    Jesshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia Said Shabani (39) kwa kosa la kumuua Naomi James (17) mwanafunzi wa kidato cha pili, Shule ya Sekondari Kivukoni, mkazi wa Mtaa wa Nyatorotoro B, Kata ya Nyankumbu wilayani Geita Mkoani Geita kwa kumutuhumu kuiba kuni. Akizungumza tukio hilo leo...
  15. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  16. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kwani TANROAD barabarani wasipande miti ya matunda kuliko hii ya sasa

    Wadau nakumbuka kipindi cha zamani posts kulikuwa na miti ya mikungu kila kona mpaka maeneo ya Osterbay hadi baadhi sehemu za Masaki. Ukienda Morogoro kuna barabara ina miembe dodo pande zote yaaani kulikuwa na miti ya matunda barabarani kwanini hii isiwe moja ya taratibu kuliko hii miti ya...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa kukata miti pembeni ya nyumba anahitajika

    Wana Jf, Ninahitaji mtaalam ambaye anauwezo wa kukata miti iliyooitiliza urefu pembeni ya nyumba mi ashoki imekuwa mirefu unajua iko pembeni ya nyumba inahitaji utaalam naomba mwenye ujuzi huo napatikana Tabata Kinyerezi tuwasiliane anifanyie hiyo kazi.
  18. Whitney Houston

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mimea, huu ni mmea gani?

    Wadau, kwema?,naomba kwa anayefaham mmea huu anisaidie unaitwaje
  19. L

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI fuatilieni Wakurugenzi wa Halmashauri zote kuhusu ajira mpya za Waalimu kuna urasimu mkubwa

    Sote tunafahamu kwamba Katibu Mkuu wa TAMISEMI alitangaza majina ya waalimu wapya mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu. Akatoa maelekezo kwa waajiriwa wapya kwenda kuripoti kwenye Halmashauri walizopangiwa kuanzia tarehe 1 hadi 14 Desemba. Katibu Mkuu huyu alikwenda mbali zaidi na kuwaelekeza...
  20. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Baadhi ya mahitaji ya wadau: Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani. Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
Back
Top Bottom