Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,425 Jun 21, 2021 #1 Unaweza kutumia muembe au mfenesi ulio shambani kwako. Kumbuka kupanda miti miwili kabla hujakata mmoja.
Unaweza kutumia muembe au mfenesi ulio shambani kwako. Kumbuka kupanda miti miwili kabla hujakata mmoja.
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 13,481 Reaction score 26,392 Jun 21, 2021 #2 Hii ndiyo unaambiwa, ^Alinunua Nyerere mpaka Always Happi anaitumia^ 🙂
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,185 Reaction score 103,521 Jun 21, 2021 #3 Hiyo inaitwa ..."anakalia kigogo yulee"...!😝😝😝😝
M Maikoel JF-Expert Member Joined Mar 9, 2019 Posts 1,452 Reaction score 2,188 Jun 22, 2021 #4 Yani unakula chakula chako kizuri kitamu halafu ukae kwenye magogo Kama unakunywa pombe za kienyeji!? Aaa waapi!!!
Yani unakula chakula chako kizuri kitamu halafu ukae kwenye magogo Kama unakunywa pombe za kienyeji!? Aaa waapi!!!
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,425 Jun 22, 2021 Thread starter #5 Maikoel said: Yani unakula chakula chako kizuri kitamu halafu ukae kwenye magogo Kama unakunywa pombe za kienyeji!? Aaa waapi!!! Click to expand... Haina gharama kubwa kama kutengeneza viti. Au unapenda kulia kwenye mkeka?
Maikoel said: Yani unakula chakula chako kizuri kitamu halafu ukae kwenye magogo Kama unakunywa pombe za kienyeji!? Aaa waapi!!! Click to expand... Haina gharama kubwa kama kutengeneza viti. Au unapenda kulia kwenye mkeka?
Kiporo kipya JF-Expert Member Joined Nov 30, 2017 Posts 401 Reaction score 388 Jun 22, 2021 #6 Hii meza kama yakwangu vile