Kampeni za upandaji miti Kitaifa ziliishia wapi?

Kampeni za upandaji miti Kitaifa ziliishia wapi?

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,840
Reaction score
3,909
Miaka fulani kulikua na kampeni ya Kitaifa upandaji miti January Mosi ghafla ikahamishiwa Aprili ghafla ikapotea. Tumetoka mbali ndugu zangu
 
Ilipotea baada ya magufuli kufariki na makonda kuamishwa mji
 
Back
Top Bottom