“Ukitumia mitandao vibaya sheria ipo na mamlaka na vyombo vipo vitakupata, sasa wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma nikisema mnasema Msigwa ametusemea maneno makali, lakini ninachosema ni kwamba vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa kwasababu ukifanya makosa...
Utapeli mitandaoni kupitia phishing link na jinsi unavyoweza kujilinda.
Siku hizi karibu kila kitu kiko mtandaoni kutoka kwa mitandao ya kijamii, benki, hadi mawasiliano ya kila siku. Lakini pamoja na hayo, kuna watu wanaotumia mtandao kwa ajili ya udanganyifu. Moja ya njia wanazotumia sana ni...
Jiji la Dodoma leo limenishangaza hakika. Sijawahi ona watu wanaoipenda Chadema kama watu wa Dodoma.
Mwanzo nilidhani Mwanza na Kanda ya Ziwa, Kuna wakati nilidhani Kanda ya Nyasa na Kanda ya Kaskazini. Ila kwa hakika leo naweza kusema, Dodoma ni ngome mpya ya Chadema. Hata Tone Tone ya leo...
Nguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe
Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi
Tunaona, hata miswaada mingi kwenye mabunge, huamriwa na nguvu ya hoja na kuungwa mkono na watu wengi ndipo inapita, na ikishindikana hivo...
Kama kweli watanzania tuna nia ya mabdiliko ya kweli ya uchaguzi, ili kura zetu zithaminiwe na wabunge watuheshimu sisi wapiga kura na tusiitwe tena kenge,
ili bunge linapoona kuna sitofahamu katikati ya jamii ya kitanzania na mamlaka husika kuwa kimya kama ilivyo sasa basi liweze kupaza...
Watz wamevamia posts za Rais Samia kama nyuki. Namuona akifunga comments kwa posts ijayo
Msigwa anatukana watu huku amefunga comments
Post yeyote ya public figure watu wanavamia kama manyigu na NRNE, wapo mpaka pages za Simba na Yanga. Hawa watu mimi sijui wametokea wapi. Insta inatisha...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni raha na kuna raha kubwa sana pale unapoishi mioyoni mwa watu,pale unapoleta furaha na tabasamu machoni na mioyoni mwa watu,pale unapoonekana tumaini la watu,pale unapoonekana jawabu la matatizo ya watu,pale unapoonekana faraja kwa Maisha ya watu,pale unapoonekana...
Nimecheka sana,
Mdogo wangu yupo Chuo Kikuu Dodoma kaniambia muda huu vijana wa CCM vyuoni wameelekezwa kuingia kwenye pages za Samia, Ikulu Mawasiliano na CCM kutuma jumbe nyingi kuonesha Samia na CCM inaungwa mkono. Jumbe hizo ni pamoja na za kumsifia na kuonesha kuwa anapendwa na atapigiwa...
Nchi nyingine, watu maarufu na Mastaa usimama na Wannchi linapokuja swala au jambo la maslahi ya wananchi kwa ujumla. Huko South Africa, Nigeria hata hapo kwa majirani zetu Kenya wasanii wengi husimama na raia na mara zote wamekuwa mstari wa mbele kuwapigania au kuwazungumzia wananchi endapo...
Nimejaribu kupitia comments katika mtandao wa Instagram nimeona kwenye kila post za watu maarufu na vyombo vya habari mbalimbali huwezi kukosa comment ya #NoReformNoElection najiuliza kwanini ? 🤔
Ni kweli wananchi wameelewa Hiyo kampeni ?
Ni kweli watu hawatashuiriki Uchaguzi Mkuu?
Tume huru...
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii
Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma...
Baada ya Gwaji boy kutupa jiwe gizani kupitia mkutano wake na waandishi wa habari , ambapo hoja zake zilienda moja kwa moja katika kuhoji uwajibikaji wa taasisi ya Raisi kufuatia kuongezeka kwa matukio ya utekaji , uteswaji na hata unyanyasaji wa kijinsia wa raia wa Tanzania na hata wale...
Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.
1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka.
2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya...
Jamani freedom is coming tomorrow, nawaombeni WATANZANIA wenzangu vijana tushirikiane kuliokoa hili Taifa kutoka mikononi mwa watu wachache wenye Nia ovu juu ya Taifa letu.
Sambamba na hilo tuone jinsi gani tunaweza kuilinda amani yetu kwasabab ni kazi ngumu sana kuitafuta tena.
Hata hivyo, ni...
Huko kwenye mtandao wa X, Wakenya wamekuja juu na lugha kali ambazo nahakika watawala walikuwa hawajazizoea na sidhani kama wanaweza kuvumilia kusoma yanayoandikwa juu yao.
Kwa kifupi, kama kuna watu huwa wanasema watanzania huwa wanaandika lugha chafu mitandaoni, basi wakajifunze kwa Wakenya...
Kila siku habari kuu na mijadala iliyopo mtandaoni ikiwepo hapa JF ni kuhusu Chadema kuliko vyama vingine, ni kama ambavyo CCM inapata airtime kubwa kwenye TV na Radio ila kwenye social medial ni Chadema zaidi pamoja na kuwa na kundi kubwa la watu wenye ushawishi na majina wakiwepo wasanii...
Kuna jamaa wanaitwa Fine Homes wana miradi ya kujenga nyumba kwa bei nzuri sana na nyumba zao ni za kisasa kwelikweli kwa mujibu wa picha zinavyoonyesha kwenye instagram. Kuna mtu ambaye ameshafaidika na miradi hii ili kutupa uhakika wa uhalali wa miradi hii?
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia wa Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) David Kafulila amesema Serikali inapofanya Ubia haimaanishi inahamisha umiliki, na kwamba miradi ya Ubia ni mali ya Umma kabla ya Ubia, wakati na hata baada ya Ubia huo...
UKWELI KUHUSU VIDEO YA MWANAMKE ILIYOKUWA IKISAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII.
1. Hii ni video nzima.
2. Video ya awali ilikatwa na wahuni.
3. Si mtoto, ni mtu mzima.
4. TAZAMA VIDEO NZIMA👇
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.