mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nima_

    Miradi ya ujenzi wa nyumba mitandaoni

    Kuna jamaa wanaitwa Fine Homes wana miradi ya kujenga nyumba kwa bei nzuri sana na nyumba zao ni za kisasa kwelikweli kwa mujibu wa picha zinavyoonyesha kwenye instagram. Kuna mtu ambaye ameshafaidika na miradi hii ili kutupa uhakika wa uhalali wa miradi hii?
  2. M

    David Kafulila: Wananchi lazima wafahamu miradi yote ya ubia nchini ni mali yao,mbia ataimiliki kwa ubia na Serikali kwa kipindi flani tu cha Mkataba

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia wa Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) David Kafulila amesema Serikali inapofanya Ubia haimaanishi inahamisha umiliki, na kwamba miradi ya Ubia ni mali ya Umma kabla ya Ubia, wakati na hata baada ya Ubia huo...
  3. Right Marker

    Ukweli kuhusu video ya huyu mwanamke iliyokuwa ikisambaa mitandaoni

    UKWELI KUHUSU VIDEO YA MWANAMKE ILIYOKUWA IKISAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII. 1. Hii ni video nzima. 2. Video ya awali ilikatwa na wahuni. 3. Si mtoto, ni mtu mzima. 4. TAZAMA VIDEO NZIMA👇
  4. M

    Wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli; CHADEMA badala wapenyeze agenda ya mabadiliko walikuwa bize wanasherekea mitandaoni

    Chadema chama ambacho ni kama kijiwe cha kupiga story kisichokuwa na strategy yeyote ile Namna chadema wasichojua wanachopigania angalia hiki kisa "kifo cha magufuli- baada ya tetesi za kuwepo kwa kifo cha magufuli week moja na nusu kabla haijatangazwa pale waziri mkuu kashitisha ziara mbeya...
  5. NESARA1952

    Biashara za upatu mitandaoni

    BAADA YA KUSOMA ANDIKO HILI,NAAMINI HATO KUWEPO TENA ATAKAYE IBIWA MTANDAONI LABDA WEWE UAMUE Kwa siku za karibuni kumekuwa na mifumo mbali mbali ya kigigitali Ambayo imekuwa iki jinasibu kutoa fedha kwa watu,kwa kuweka fedha kidogo na Kupata fedha kubwa,huku waki jinasibu kuwa hakuna hasara...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kutoa siri za familia ya mwenzako mitandaoni je kisheria ni sawa?. Nawazungumzia Baba Levo na Mwijaku chawa Promax

    Huwa sipendelei kuchunguza maisha ya watu lakini hapa kuna kitu cha kujifunza kidogo hasa kisheria hii ni kutokana na hawa jamaa wawili walio jitoa fahamu. Kwangu huwa nawaona kama moja ya wanaume wapumbavu kuwahi kutokea chini ya jua! Nikianza na baba levo amewahi kuwa diwani kabisa akiongoza...
  7. MK254

    Iran yapokea mashambulizi makali ya mitandaoni - cyber attack

    Mambo mengi muda mchache, yetu macho ila Mosad bana... ================ Iran repelled a large cyber attack on its infrastructure on Sunday, said the head of its Infrastructure Communications Company, a day after a powerful explosion damaged its most important container port and another round of...
  8. Nusratt

    Wanawake Msijidanganye, Mahusiano ya kweli hayapatikani Mitandaoni

    Mitandaoni utaishia kuchorwa tu. Wanawake wenzangu tutafute pesa zetu za halali, wanaume watatufuata wenyewe. Wabillahi Tawfiq Nusratt M.
  9. Allen Kilewella

    Kama kupambana mitandaoni ni udhaifu mahakama nayo ni dhaifu!?

    CCM husema CHADEMA ina "keyboard warriors" kwa ivo Ina watu dhaifu wasioonekana kwenye harakati halisi mitaani? Leo Serikali inataka kesi kati yake na Lissu iendeshwe kwa kutumia mahakama mtandao. Jee na Serikali nayo ni dhaifu kutaka kutumia mtandao kuendesha kesi dhidi ya Lissu?
  10. DR HAYA LAND

    CHADEMA wapo mitandaoni , je hao Chadema walipo mitandaoni ni maroboti sio WATU ?

    Sisiemu huwa hawakubali kuwa hapendwi na kukubalika. Mfano watakuambia kuwa Chadema wapo mitandaoni Sana. Hii hoja mufulisi Ina maana watu waliopo mitandaoni ni maroboti.?
  11. M

    Wananchi Mitandaoni wameanza kuzungumza kulipa visasi-Hivi Samia anatupeka wapi?

    Nimekuwa nikisoma mitandao ya kijamii, maneno ya wananchi yameanza kuniogopesha na kwa kweli kama hili jambo halitafanyiwa kazi hii nchi inaenda kubaya, tena inaenda kubaya kwelikweli. Nchi hii matendo ya mauaji ya watu kama (Mzee Kibao), Kutekwa kwa watu kama vijana (Deusdedith Soka)...
  12. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini maelezo ya Heche yamepuuzwa na wanachadema hususani mitandaoni?

    Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao? Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye...
  13. kipara kipya

    Wafuasi wa CHADEMA wanasikika mitandaoni wakimdhihaki mtu. Jisaidie, jiokoe, wewe si mwanasheria? Jitetee

    Hizi sauti ukipita mitandao yote unasikia sauti hizo za wanafiki. Mwingine kaenda mbali Simba na Yanga zifutwe baada ya kuona umma umepuuza matarajio tulijua mapema hawa keyboard warrior hawana mpango ona sasa. Eti wanategemea kanisa liwasemee, ubalozi wa nje uwasemee. Wameanza upuuzi wa...
  14. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuendelea Kutoa Elimu kwa Waandishi wa Habari Mitandaoni

    SERIKALI KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA WAANDISHI WA HABARI MITANDAONI "Je, Serikali imejipangaje kuhakikisha ongezeko la vyombo vya habari mtandaoni haliathiri maadili na utamaduni wa Taifa letu" - Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge wa Jimbo la Mpendae "Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano...
  15. Last_Joker

    Kupata ‘Likes’ au Kujenga Mahusiano Halisi? Kazi ya Muda Mrefu Mitandaoni

    Siku hizi, likes, views, na followers zimekuwa kama vipimo vya thamani ya mtu. Unapigwa selfie moja kali, unaweka filter, unachapa caption yenye vibes, na boom! 💥 Unapata likes mia tano kwa muda wa dakika chache! 🎉 Lakini hebu fikiria… ni bora kuwa na ‘likes’ nyingi au kuwa na mahusiano halisi...
  16. GENTAMYCINE

    Hii Sauti inayosambaa Mitandaoni ya Kiongozi wa Yanga SC kumwambia Kipa wa Tabora United aachie Leo TAKUKURU hawajaisikia au nao wameshanunuliwa?

    Ni Aibu kubwa mno na ni Kashfa pia katika Soka la Tanzania. TAKUKURU (PCCB) mmenunuliwa nao au nanyi mnaaogopa?
  17. Fbn

    Hivi hawa wanaotangaza wanatafuta wachumba mitandaoni wajaona njia ambayo sahihi kama hizi:

    kama muislamu au mkristo ukifika eneo lako la ibada ukitangaza kuwa unataka kuoa au kuolewa watajitokeza wengi na utafanya kuchagua. Kama unaangaishwa nenda kijijini kwenu huko kuna watu wapo tayari kuoa au kuolewa wakisubiri. Kwenye maharusi,misibani na sheree za ccm mnaweza kuwapata kibao...
  18. Nobunaga

    Aibu kuu kwa nchi, CCM inalipia matangazo mengi ya mitandaoni kuwachafua upinzani, nchi zingine nguvu kubwa imeelekezwa katika kuzitangaza nchi husika

    Huu upuuzi unapatikana Tanzania tu, ukiingia mitandaoni hasa Twitter, Instagram, Threads utakutana na "Ads" nyingi za CCM kuichafua CHADEMA kuliko "Ads" zinazoitangaza nchi kwa mambo mbalimbali. "Ads" za nchi zingine kama Kenya, Rwanda na South Africa zimejikita kwenye kutangaza vivutio vya...
  19. P

    PreGE2025 Nafuatilia mwenendo wa siasa mitandaoni na mitaani: haya hapa ni maoni yangu

    Disclaimer: Mimi ni mwanachama wa CCM. Siasa zinagusa maisha ya kila siku ya mwanadamu kwani sera zinazotungwa au maamuzi yanayofanywa na wanasiasa yana athiri moja kwa moja maisha ya kila mtu. Mtu unaweza ukadhani kuwa Watanzania wengi hawafuatilii siasa; sio kweli, watu wanafuatilia siasa...
  20. GENTAMYCINE

    Naomba kujua faida ambayo Upuuzi wa Mwijaku kutamba Mitandaoni huku akionyesha Dola Feki kila mara

    Najua hawezi Kuguswa kwakuwa tayari anatumika na Myemeni, ila endeleeni tu Kulea huo Upuuzi wake mtanikumbuka!!!!
Back
Top Bottom