Kwanza nikiri, Mimi siitambui hii Serikali kama Serikali Halali , na hii inanipa ugumu wa kushauri kwakua sitaki nitaje neno 'Serikali'.
Lakini pia, Andiko hili ningemtaja Waziri Gwajima, ila kwakua siitambui Serikali hii, na huyu Mama Waziri ni Mama Smart aliyendani ya Genge la Wahuni...
Hivi karibu katika ulimwengu wa kidijitali, imekuwa ni kawaida watu kuzungumza kama bile wamekatwa vichwa. Mitandao imekuwa ji mahali ambapo ukweli unapigwa kwa sababu ya kulinda hisia za mtu na ambapo mantiki inaonekana kama ni adui.
Hivi sasa, ukiingia TikTok au Instagram, hutakutana tu na...
Ilinishangaza kidogo
wale wanaojiita Polisi wanaofanya doria mitandaoni walishindwa kabisa kujua hili
wachina juzi walifikishwa mahakamani wakidaiwa kukutwa na minoti kwenye masandarusi huko MASAKI tena kwa washua kabisa.
inadaiwa wachina hao walikuwa wakiiba pesa toka kwenye ATM usiku yaani...
Kama Polisi walishasema ushahidi tulionao wananchi ni "AI", ninyi mnataka mpewe nini tena?
Hebu nendeni kwanza kwa Muliro akawaambie alijuaje huo ushahidi uliotumwa kwa Larry Madowo ni AI, akiwapa jibu na mkajiridhisha siyo AI ndipo mje kuomba ushahidi kwa wananchi!
Acheni kutujazia simu buree!
Nimeona humu jukwaani na huko mitandaoni, machawa pro max wa wauaji wakipambania kampuni yao ya mauaji (CCeM). Wapo maprofesa uchwara, wanahabari, watu maarufu na viongozi.
Machawa wa humu tunawafahamu, na wamekuwa wakishambulia kila hoja inayotolewa kuhoji na kukosoa serikali wamekuwa mstari...
1: JORDAN PETERSON
https://youtube.com/shorts/bUynwmuTZA0?si=eoQeDd8uByUwS1ar
2: BEN SHAPIRO
https://youtube.com/shorts/fBLCnVkJ5vY?si=7Y48SE_E2PL9sukM
3: CHARLIE KIRK (RIP)
https://youtube.com/shorts/dl8azReaeks?si=CAUenD-4wRm84pm3
4: JOE ROGAN...
Vijana wa sasa sijajua au ndio kizazi chenu cha wakati.
Ila sisi wakubwa wenu mnavyo jionesha kuwa mnashindwa kutafutana mtaani mpaka kwenda kwenye media yani niliona kijana mmoja kuna kipindi kimoja mpaka nika jisikia vibaya sana.
Umfahamu wala hakufahamu mnaenda kuokotana kama madanguro...
Utaona hilo kwenye comments walizotoa kwenye picha zilizopostiwa jana wakati rais Samia anazungumza na wakuu wa Kamandi na viongozi wengine wa jeshi. Why?
Je, wananchi wamepoteza imani na jeshi lao lililokuwa tegemeo kwenye maandamano ya Mo29 au D9?
Hii ni project ya kimya kimya sana inayouma na kupuliza lakini ukifuatilia posts au habari zao unanusa nia ovu nyuma yake.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Chunguza kuanzia Jf , X , IG na kwengineko ni watu ambao hawana uvumilivu na lugha nzuri katika majadiliano una weza ukaandika mada mtu anakuja na matusi moja kwa moja sasa usiombee mpishane mitizamo katika hoja unaambulia matusi au wanakublock.
Mimi binafsi naona mtu anayekimbilia matusi kwa...
Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi, hakuna uwajibikaji
Utawasikia wapumbavu
"Halafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake.
Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea"
Sasa...
Usiseme hutafikiwa, bali jiulize utafikiwa lini kwakuwa hata waliokaa kimya walifikiwa zile siku 5 za giza nene Tanganyika..
Ukiliangalia hili jambo kimwili unaweza usipate majibu ya kuridhisha sana! Litazame kiroho.. Lina kina kirefu, giza zito na majibu ya kutisha sana!
CCM iko madarakani...
Watu mbalimbali duniani wanasema hawaamini kama Tanzania ingefikia hatua hii ya kutisha na mauwaji yanayoendelea hovyo.
Wanahoji je nchi haina jeshi, inamaana jeshi lililo uwa watanzania ni hili hili la Tanzania, kwenye baadhi ya mijadala watu wanasema jeshi lilikuwa lockdown, na kulikuwa na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Awali ya "Saint Clemence" ndugu Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni "A" Jijini Mbeya kwa tuhuma za uchochezi.
Mtuhumiwa alikamatwa mnamo Novemba 21, 2025 saa 5:20 asubuhi maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya akitoa na kusambaza...
Mbunge mteule wa Isimani (CCM), Mkoa wa Iringa, William Lukuvi amekanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge.
Lukuvi ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 11, 2025 wakati akitoa maelezo baada ya kuteuliwa kuongoza uchaguzi wa Spika wa Bunge nafasi aliyoipata...
Kabla ya maandamano ya MO29 kulikuwa na propaganda nyingi hasa kutoka kwa chawa wa mama kuwa hakuna mtanzania atakayejitokeza siku ya maandamano kwa kuwa Watanzania ni waoga.
Propaganda hizo ziliendelea hadi siku yenyewe, asubuhi mida ya saa 4 kwenye mitandao walianza kubeza 'mbona hatuwaoni'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.