mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Aibu kuu kwa nchi, CCM inalipia matangazo mengi ya mitandaoni kuwachafua upinzani, nchi zingine nguvu kubwa imeelekezwa katika kuzitangaza nchi husika

    Huu upuuzi unapatikana Tanzania tu, ukiingia mitandaoni hasa Twitter, Instagram, Threads utakutana na "Ads" nyingi za CCM kuichafua CHADEMA kuliko "Ads" zinazoitangaza nchi kwa mambo mbalimbali. "Ads" za nchi zingine kama Kenya, Rwanda na South Africa zimejikita kwenye kutangaza vivutio vya...
  2. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nafuatilia mwenendo wa siasa mitandaoni na mitaani: haya hapa ni maoni yangu

    Disclaimer: Mimi ni mwanachama wa CCM. Siasa zinagusa maisha ya kila siku ya mwanadamu kwani sera zinazotungwa au maamuzi yanayofanywa na wanasiasa yana athiri moja kwa moja maisha ya kila mtu. Mtu unaweza ukadhani kuwa Watanzania wengi hawafuatilii siasa; sio kweli, watu wanafuatilia siasa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida ambayo Upuuzi wa Mwijaku kutamba Mitandaoni huku akionyesha Dola Feki kila mara

    Najua hawezi Kuguswa kwakuwa tayari anatumika na Myemeni, ila endeleeni tu Kulea huo Upuuzi wake mtanikumbuka!!!!
  4. U

    JamiiForums Tanzania Google, kuinunua kampuni ya mayahudi ya WIZ inayohusika na usalama mitandaoni cybersecurity kwa rekodi ya kushangaza ya Dola bilioni 32

    Wadau hamjamboni nyote? Tukisema mayahudi wanazuoni akili kubwa sana msibishe Kampuni mama ya Google, Alphabet, imekubali kununua kampuni ya usalama wa mtandao Wiz, iliyoanzishwa Israel, kwa kiasi cha dola bilioni 32, kwa mujibu wa ripoti ya Financial Times. Hii ni dili kubwa zaidi katika...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Makinika: Maudhui ya ngono na utupu mitandaoni ni mkakati maalumu wa Ibilisi, si kitu cha kawaida

    Kulingana na Biblia kuna vitu viwili huondoa akili ya mtu navyo ni 1. Pombe na 2. Uzinzi. Wakati huu ni wakati wa mwisho au dakika za nyongeza, watu kama wangetumia vizuri akili walizopewa na Mungu wangeona kuwa sasa ni wakati wa mangojeo. Si wakati wa kuhangahikia mali na fedha na kushangilia...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nicole kufikishwa Mahakamani kwa Utapeli wa Mitandaoni

    Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema kuwa idadi ya Watu wanaojitokeza wakidai kutapeliwa na Msanii Joyce Mbaga maarufu kama Nicole inaendelea kuongezeka huku kiwango cha fedha kilichotapeliwa nacho kikiongezeka pia. Soma: Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Miaka ya 1990 hadi 2000 video za watu kuchinjwa zilienea sana mitandaoni

    Mwisho wa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa 2000, intaneti ilikua jukwaa la video za kutisha za mauaji, ikiwemo vichwa vya watu wa Magharibi kama wazungu na wamarekani vikichinjwa. Video hizi zilitengenezwa na kusambazwa na mashirika ya kigaidi yanayoendesha operesheni katika Mashariki ya Kati...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mbinu zilizotumika kuzuia Uzimwaji wa Mitandaoni katika Nchi za Bara la Asia na Oceania. Tanzania tunachakujifunza hapa

    Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na "Indo-Pacific Center for Civil Society Resilience" jumla ya nchi 7 katika bara la Asia na Oceania (Indo - Pacific region) zilipitia changamoto ya kuzimwa kwa mtandao na kuminywa kwa Uhuru wa kujieleza Mtandaoni kwa mujibu wa ripoti ya "Freedom of the Net"...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kisa tu ulitoka familia duni halafu haukusoma then ukapata vijisenti sasa huko mitandaoni unabwekea watu "eti kwanini mnasoma?"

    Hii yote ni kujitafutia acceptance katika dunia inayoongozwa na literates. Kuna wajinga maarufu bongo hii wakisha shiba vihela vya kupaisha majina ya wanaume wenzao wengine baada ya kusambaza yas zao huwa wanatukana watu waliosoma eti wanapoteza muda. Utafikiri kila mtu ambaye hakusoma sasa...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tuzo ya Wachekeshaji. Serikali na wadau iandae Tuzo za waandaji bora wa Maudhui Mitandaoni.

    BAADA YA TUZO YA WACHEKESHAJI. SERIKALI NA WADAU IANDAE TUZO ZA WAANDAJI BORA WA MAUDHUI MITANDAONI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Niwapongeze waandaji wa Tuzo za Wachekeshaji 2025, serikali na Wachekeshaji wote walioshinda Tuzo hizo. Mimi ni mdau wa vichekesho hasahasa Standup Comedy...
  11. pombe kali

    JamiiForums Tanzania KERO Nimekoma kukopa mitandaoni, wanagawa namba yangu kwa watu ili wanipigie

    Aisee nilipata dharula nikakopa kwenye moja ya hizi app siku ya marejesho, sikuwa na kiasi husika. Walichokifanya wamegawa namba zangu kwa watu hata siwafahamu kwa siku, napigiwa simu hata Mia na watu tofauti. Kisha wamewapigia ndugu zangu wa karibu waliopo kwenye contact list yangu. Dah...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Kwenu JF wajuaji, katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na haya meneno "CHUDAI" na "WATAA" yana maana gani?

    CHUDAI na WATAA ni maneno yanashika kasi sana kwenye pages mbalimbali za social media Nimekutana nayo sana huko mjini X nimeyaona tena usiku huu Hebu tusioyajua tueleweshwe tuache kupretend tunajua Yana maana gani hayo maneno?
  13. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Andaeni mdahalo kati za Mzee Wassira na Heche. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni

    Wahusika andaeni mdahalo kati ya Heche na Mzee Wassira. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni. Chief odemba uwepo. Watiane spana vizuri Mdahalo uzungumzie 1. Masuala ya vijana 2. Hali ya kiuchumi 3. Ukosefu wa ajira 4. Nyingine muongezee
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa Watanzania unavyofanya wanatapelewa mitandaoni Kila siku !!

    Maisha yanaenda Kasi, Kila MTU Kila siku anatafuta namna ya kuishi. WACHINA Kila siku wanakuja na Gunduzi za Kila aina , Gunduzi zao zinawekwa mitandaon , zipo Gunduzi zinazowekwa mitandaoni lakn zinakua restricted kutumika kwenye Nchi zao tu . WABONGO MATAPELI, na vile tuna TCRA ya kudeal...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Changamoto na matangazo ya mitandaoni

    Inakuwaje au unajisikiaje unapolipia tangazo alafu watu wanabofya bofya tu ila hawana nia ya kununua bidhaa zako mtu anaulizia singsung s23 shingapi unampa bei anapotea hata kurudiaha jibu hapana yaani unaweza kupokea message hata 20 halafu majamaa ukiyajibu yanakaa kimya hakuna kurudiaha jibu...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Ukongwe / legend inakujaga pale msanii au producer anapotea sokoni na kazi zake hazisikiki redioni wala kutrend mitandaoni, hii ni mifano bongo fleva

    Ukongwe unakujaga pale unapopotea sokoni & husikik Radion wala mitandaoni, Lakini kama bado msanii anatoa ngoma zenye impact ni ngumu kuitwa mkongwe (mfano kwa Ali Kiba na Diamond walioanza kuhit kabla ya 2010 na bado wapo). Mifano ya legends / wakongwe Wasanii. 20 Percent Lady Jay Dee Ray C...
  17. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Ya Kikwete na Mkapa wa 1995, kujirudia Chadema 2025?

    Wakuu salam, Wakati huko mitandaoni watu wanataka kuuwana na kuchukia wengine, siku zote wanasiasa ni wale wale Kwa miaka takribani 30 sasa, Chadema inaenda ku set a very new political pathway kwa vyama vyote vya upinzani kufuata.. Nawashangaa sana vijana wanaopasuana kwa matusi mitandaoni...
  18. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Walimu jiongezeni maarifa mitandaoni kabla ya kuingia Darasani maana wanafunzi wenu wanawaona vilaza mkijongea hapo ubaoni na kushika chaki

    Kwa kizazi hiki cha kidigitali, kama mwalimu unaendelea kufikiri kwa mtazamo wa kianalogia, ni wazi kwamba wanafunzi wako watakudharau sana. Fikiria, unawafundisha kuwa kuna sayari tisa, lakini wao wakigoogle wenyewe wanagundua kuwa zipo zaidi ya 1,000. Unategemea watachukulia masomo yako kwa...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama

    The difference is clear. Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele. As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako...
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa kwa maoni mitandaoni, Karibu 90% wanamtaka LISSU ambebe sura ya chadema mpya.

    Wafia Chadema mitandaoni karibu wote wako upande wa LISSU. Watu wanaoikosoa Serikali bila kuwa na mlengo wa chama wako na Lissu. Inaonekana picha ya Upinzani mitandaoni ni chama kisicho na ukaribu kabisa na watawala. Yaani ule wa kupinga na kuponda. Chochote nje ya hapo unahesabika ni CCM au...
Back
Top Bottom