mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lighton

    JamiiForums Tanzania TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

    Huyu jamaa aliwahi kunifundisha Tuition pale kwa Demtatuzi( naye ni marehem) boma Kama unaenda msimbazi. jamaa alikuwa anafundisha physics na chemistry tu, alikuwa akisema hawezi kufundisha somo rahisi Kama pure mathematics😄 Alikuwa TO mwaka 2006, akaenda chuo pale UDSM akadisco(inasemekana...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Just imagine kama Mwafwere yuko mahali salama anasoma haya yanaendelea mitandaoni kumhusu

    Hawa watu walishatupanga sana tu.. Tena! Si mara moja tuu bali tena na tena! Ila asilimia 99 ya mara zote walizotupanga ni kuhusiana na kifo Ni asilimia moja hivi ndio imehusika na mahusiano, ugoni/fumazini, kufilisika nk! Hili la Mwafwere linaweza kuwa la kwanza kwenye medani za kupangwa...
  3. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Lugha gongano TFF(shirikisho la mpira) wabadili jina, watu wanawachanganya na TFF waasi, huko mitandaoni, kichekesho

    Katika pita ZANGU mitandaoni, nikakuta HABARI ya TFF WAASI kuhusika na mambo ya mauaji, Sasa kilicho niacha hoi ni comments za waja. HABARI inasema, kiongozi wa kikosi cha TFF waasi adai kuhusika na mauaji mbeya, MTU ana comment hivi, 1. Heee, Walace karia NAE ana kikosi KAZI, hi Isha kuwa...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Gari analotumia "Makonda" lazua mjadala mitandaoni

    Gari hiyo aina ya Bentley Flying Spur lenye kibao cha namba W HUSM linalodaiwa kutumiwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda limezua mjadala hasa katika mtandaow a X, ambapo watu mbalimbali wamehoji kiongozi wa Serikali kutumia gari aina hiyo. Kwa mujibu wa akili mnemba...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nikimwona mtu mitandaoni au mahali popote anamtukuza Magufuli najua tu kichwani hamnazo au alikuwa mnufaika kwenye utawala wake

    Bahati mbaya kwakuwa sasa maendeleo aliyoyafanya Samia yako wazi kabisa wanaomtukuza Magufuli wanaishia tu kusema angekuwa hai mpaka sasa tungekuwa mbali sana. Ahahaha 😂 😂 😂 😂 Huu ni uwendawazimu kabisa. Ukimchallenge kidogo tu anaweza kukupiga kirungu kichwani. Jamaa mmoja kutoka Kanda ya...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ?

    Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ? Maana mnaenda kinyume na wale wanaopinga vitendo hivyo vya kuuliwa na kutekwa je mnapiginia haki za kutekwa? au mna magonjwa ya akili ? katika utafiti wangu mimi sielewi hawa watu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

    Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana. Sasa sijui ndiyo masharti ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi ya amani, serikali isikilize kilio cha haki kwa raia wake. watu wakichoka kukemea mitandaoni kitachofuata ni vikundi vya "TIT FOR TAT"

    Tunakoelekea sasa tunaweza kuja kushuhudia Tanzania ambayo hatujawahi kuvidhania kabisa.
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hivi BASATA,TCRA , Waziri , haya ya Mitandaoni mmeamua kuyaacha yaharibu Watoto na Generation ? Nmeshindwa kabisa hata kuyatungia Sheria?

    Kwanza nikiri, Mimi siitambui hii Serikali kama Serikali Halali , na hii inanipa ugumu wa kushauri kwakua sitaki nitaje neno 'Serikali'. Lakini pia, Andiko hili ningemtaja Waziri Gwajima, ila kwakua siitambui Serikali hii, na huyu Mama Waziri ni Mama Smart aliyendani ya Genge la Wahuni...
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tiktok na Instagram: Mijadala ya Kizuzu Mitandaoni

    Hivi karibu katika ulimwengu wa kidijitali, imekuwa ni kawaida watu kuzungumza kama bile wamekatwa vichwa. Mitandao imekuwa ji mahali ambapo ukweli unapigwa kwa sababu ya kulinda hisia za mtu na ambapo mantiki inaonekana kama ni adui. Hivi sasa, ukiingia TikTok au Instagram, hutakutana tu na...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabongo hawaweki wazi bei ya bidhaa zao mitandaoni?

    Nimeona huku Twitter watu wanalalamika. Hili pia nimeliona sana mtandaoni. Shida nini?
  12. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Polisi wa doria mitandaoni, mlikuwa wapi wakati Wachina wanakwapua Bl 6 kutoka kwenye Akaunti za watu?

    Ilinishangaza kidogo wale wanaojiita Polisi wanaofanya doria mitandaoni walishindwa kabisa kujua hili wachina juzi walifikishwa mahakamani wakidaiwa kukutwa na minoti kwenye masandarusi huko MASAKI tena kwa washua kabisa. inadaiwa wachina hao walikuwa wakiiba pesa toka kwenye ATM usiku yaani...
  13. The Magnifico

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya "Kipindi cha Uchaguzi" acheni kutusumbua na "SMS" za kila siku, ushahidi umejaa tele huko mitandaoni

    Kama Polisi walishasema ushahidi tulionao wananchi ni "AI", ninyi mnataka mpewe nini tena? Hebu nendeni kwanza kwa Muliro akawaambie alijuaje huo ushahidi uliotumwa kwa Larry Madowo ni AI, akiwapa jibu na mkajiridhisha siyo AI ndipo mje kuomba ushahidi kwa wananchi! Acheni kutujazia simu buree!
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania Je threads na posts za machawa wa CCM mitandaoni zitamuokoa Chura Kiziwi na wenzake kwenye mkono wa ICC

    Nimeona humu jukwaani na huko mitandaoni, machawa pro max wa wauaji wakipambania kampuni yao ya mauaji (CCeM). Wapo maprofesa uchwara, wanahabari, watu maarufu na viongozi. Machawa wa humu tunawafahamu, na wamekuwa wakishambulia kila hoja inayotolewa kuhoji na kukosoa serikali wamekuwa mstari...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kijana kama unataka ujijenge katika misingi ya masculinity na kutokubebeka na itikadi za kufikirika na za kisasa, basi fatilia madini ya watu hawa

    1: JORDAN PETERSON https://youtube.com/shorts/bUynwmuTZA0?si=eoQeDd8uByUwS1ar 2: BEN SHAPIRO https://youtube.com/shorts/fBLCnVkJ5vY?si=7Y48SE_E2PL9sukM 3: CHARLIE KIRK (RIP) https://youtube.com/shorts/dl8azReaeks?si=CAUenD-4wRm84pm3 4: JOE ROGAN...
  16. Fbn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana haya mambo ya kutafuta wachumba mitandaoni na kwenye media mnatuzalilisha wakubwa zenu

    Vijana wa sasa sijajua au ndio kizazi chenu cha wakati. Ila sisi wakubwa wenu mnavyo jionesha kuwa mnashindwa kutafutana mtaani mpaka kwenda kwenye media yani niliona kijana mmoja kuna kipindi kimoja mpaka nika jisikia vibaya sana. Umfahamu wala hakufahamu mnaenda kuokotana kama madanguro...
  17. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi waTanganyika hasa mitandaoni wanawaona JWTZ kama WASALITI?

    Utaona hilo kwenye comments walizotoa kwenye picha zilizopostiwa jana wakati rais Samia anazungumza na wakuu wa Kamandi na viongozi wengine wa jeshi. Why? Je, wananchi wamepoteza imani na jeshi lao lililokuwa tegemeo kwenye maandamano ya Mo29 au D9?
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari iangalie sana mwenendo wa wanaojiita CitizenTv mitandaoni

    Hii ni project ya kimya kimya sana inayouma na kupuliza lakini ukifuatilia posts au habari zao unanusa nia ovu nyuma yake. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  19. Chizi Maarifer

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapambania haki Mitandaoni wana lugha Kali sana na matusi kwa wengine?

    Chunguza kuanzia Jf , X , IG na kwengineko ni watu ambao hawana uvumilivu na lugha nzuri katika majadiliano una weza ukaandika mada mtu anakuja na matusi moja kwa moja sasa usiombee mpishane mitizamo katika hoja unaambulia matusi au wanakublock. Mimi binafsi naona mtu anayekimbilia matusi kwa...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mnaolalamika mwezi mzima maji hayatoki msizue taharuki mitandaoni, tuendelee kulinda amani, amani ni bora kuliko maji

    Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi, hakuna uwajibikaji Utawasikia wapumbavu "Halafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake. Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea" Sasa...
Back
Top Bottom