mitaani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Kamanda wa Hamas aliyetangazwa kuuliwa ajitokeza mitaani kushangilia ushindi

    Miongoni mwa makamanda muhimu Israel iliotangaza kuwaua ni pamoja na Mohammed Deif na mwenzake Hussein Fayyad aliyetajwa kama mtaalamu wa kutengeneza makombora ya Hamas . Huku majaaliwa ya Mohammed Deif yakiwa bado hayajathibitika, mwenzake Hussein Fayyad ameendelea kuonekana kwenye mitaa ya...
  2. DogoWaNjombe

    DOKEZO Kampeni ya 'Mchukue Mtoto Mrejeshe kwa Wazazi Wake' imefeli Mwanza? Bado wapo wengi mitaani

    Nikiwa mmoja wa Wakazi wa hapa Mwanza naishauri Serikali Serikali hasa kuanzia ngazi ya Mkoa kulitazama kwa kina hili suala la Watoto wanaoonekana Mitaani. Kumekuwa na kusitasita jinsi ya kushughulikia changamoto ya watoto wa mitaani ambao asilimia kubwa wamekuwa wakifanya kazi ya kuombaomba...
  3. chiembe

    Marafiki zangu wengi waliokuwa wakifanya shughuli za maonyesho ya mazingaombwe mashuleni na mitaani, sasa wamefungua makanisa

    Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua. Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo...
  4. Kazanazo

    Kwanini serikali isiwachukue hawa vichaa wanaozagaa mitaani na kuwaweka kwenye makempu kwa ajili ya kuwahudumia na kuwatibia

    Ndugu wa hao vichaa ni walipa kodi na wao pia kabla ya kuwa vichaa walikuwa walipa kodi hivyo serikali inapaswa kuchukua jukumu hili la kuwahudumia katika mazingira wezeshi Baadhi ya ndugu wanahangaika na kuwapeleka walemavu wao hospital lakini wengine wanashindwa kulingana na ugumu wa maisha...
  5. D

    Kuna Wahindi wanazunguka mitaani na kutapeli fedha kwa njia ya ushirikina.

    Kuna kikundi Cha wahindi wanatembelea maeneo ya wafanyabiashara wa Pesa za mitandao (mobile money) na kuwaibia kwa njia ya viinimacho (chuma ulete). Wako kikundi la watu zaidi ya watatu kwenye gari ndogo. Wamefanya matukio Goba na Tegeta. Chukua tahadhari.
  6. Waufukweni

    KERO Mtaa wa Kisonge na Mtaa wa Bin Abeid (Zanzibar) maji taka yanasambaa mitaani na barabara ni mbovu

    Sisi Wakazi wa Mtaa wa Kisonge na Mtaa wa Bin Abeid hapa Mkoa wa Mjini Magharibi tuna changamoto ya mifumo ya Maji taka kutowekwa katika mazingira mazuri na kwa ufupi ni kuwa Miundombinu imeharibika lakini Viongozi wetu hawachukui hatua. Kuna mabomba na chemba za majitaka zinavujisha maji...
  7. B

    KERO Responded Mto Ngerengere – Morogoro uchimbwe ili kuondoa taka zilizojaa, wakati wa mvua maji yanaingia mitaani

    Mimi ni Mkazi wa Mtaa wa Mazimbu Darajani, Kata ya Mazimbu, Manispaa ya Morogoro, jamani mtaani kwetu huku kumekuwa na changamoto ya mto kujaa na kufurika maji hasa kipindi cha mvua hali inayosababisha maisha ya watu kuwa hatarini. Wanaokuwa hatarini zaidi ni Wanafunzi wa Shule za Msingi...
  8. Sigonella Island

    Urusi yasambaza Nuclear Shetlers mitaani kukinga Raia dhidi ya mionzi

    Russia imeanza kuzalisha na kusambaza Nuclear shetlers mitaani kwa ajili kukinga raia dhidi ya mionzi hatari...... Rais Vladimir Putin ameagiza vikosi vya Nyuklia kujibu shambulio lolote toka Nchi za NATO na Ukraine kwa Nuclear Update: Russia begins production of mobile nuclear shelters! These...
  9. L

    Kuporomoka kwa ghorofa na kusababisha Vifo na majeruhi kwawaumiza na kuwabubujisha Machozi ya huzuni wana CCM Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya. Tukio...
  10. N

    Huu utapeli ni mpya au upo? Wauza Vyombo vya Mnada wawaliza kina mama Kimara, kuweni makini

    Aina ya risiti zao Leo asubuhi kina mama wa Mtaa wa Kilungule B Kata ya Kimara, Wilaya ya Ubungo wameamka na vilio baada ya kutapeliwa na watu waliokuja kufanya mnada wa vyombo mbalimbali kama masufuria na vifaa vingi vikiwa vya kieletroniki kama simu, laptop, sabufa, pasi na vitu vingine...
  11. M

    Jamaa wa Matangazo walivyonizingua na mwanamke wangu barabarani

    Jamani kwema? Nisiwachoshe. Wiki ilopita nilikuwa kitaa na Binti mmoja ni Binti ambaye kiukweli nimekuwa nampigia hesabu za kumtongoza toka kitambo. Sasa nikaanza zile hatua za mwanzo zikiwemo kumuweka karibu namm Ili nimuingize kwenye line nijiweke nijipunzishe maisha yaendelee. Sasa wiki...
  12. Mtoa Taarifa

    Kuna Homa za Mafua Makali zinasambaa kwa Kasi Mitaani, Mamlaka mbona hazitoi taarifa kuhusu hili?

    Kumekuwa na ongezeko la homa kali za mafua zinazowakumba wananchi wengi katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Wananchi wanaonekana kuwa na wasiwasi juu ya kasi ya kusambaa kwa ugonjwa huu, lakini wanahoji ukimya wa mamlaka husika kuhusu hatua zinazochukuliwa kukabiliana na hali hii. Je...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Haya mabango ya Kisiasa yaliyosambaa Mitaani kabla ya Kampeni, je Wapinzani nao wakitaka kuweka wataruhusiwa?

    Kuna suala linalonitatiza na kuleta kero kwa wananchi kama mimi, nalo ni wimbi la mabango yanayoendelea kuwekwa kila kona yakimsifu Rais, kiongozi wa chama tawala, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mafanikio ya serikali yake. Mabango haya yameenea kwa kasi, na ni ya chama tawala pekee, bila kuonesha...
  14. Waufukweni

    Bei ya Petroli, Dizeli Oktoba sasa kitonga, sababu za kushuka zatajwa

    Bei ya petroli na dizeli ya rejareja kwa Oktoba 2024 imeshuka nchini, ikilinganishwa na Septemba, huku sababu kadhaa zikitajwa, ikiwamo kushuka kwa gharama za soko la Uarabuni. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha bei za mafuta kuanzia leo...
  15. S

    Nina siku tatu Mbeya, katika kuzunguka mitaani tayari nimeshuhudia kina mama watano wakiporwa handbag na waendesha pikipiki!

    Kitu kimoja nimeona Mbeya tofauti na mikoa mingine ni wingi wa Bajaji hizi na bodaboda. Ni nyingi hadi zinakera. Naambiwa kwamba wingi wake umeletwa na Tulia Foundation ya spika wa Bunge ambaye amekuwa akiwawezsha vijana hapa mkoani, yote haya yakiwa ni katika kuungwa mkono dhidi ya Sugu! Sawa...
  16. Nehemia Kilave

    Tukiachana na Masuala ya kutekana , hali ya kiusalama mitaani sio nzuri, Serikali iingilie kati .

    Matukio ya uhalifu ni mengi sana ,mengine yanaripotiwa na vyombo vya habari , mengine tunakutana nayo kwenye mitandao ya kijamii lakini kuna mengine hayaonekani popote . Tunakoelekea watu wataogopa kufanya biashara na shughuli zao Watu wanaofanya shughuli zao usiku wataogopa kuendelea nazo...
  17. M

    DAR ES SALAAM: POLISI WAMWAGWA MITAANI

    Wakuu, Leo katika pitapita zangu maeneo ya Morroco nimekutana na gari za polisi za kutosha wakiwa wamevalia special kupambana na waandamanaji samba samba na hilo pia gari za maji ya kuwasha zlikua znapita pita maeneo hayo
  18. Mshana Jr

    Hackers wametapakaa mitaani: Makinika na simu zako na kitambulisho chako cha NIDA

    Hali ni mbaya sana mtaani .. ma IT wameshamaliza kozi zao.. Ajira hakuna .. Sasa wamegeukia utapeli na wizi kwa njia ya mitandao Makinika na vitambulisho vyako mbalimbali hasa NIDA Kadi za bank Passwords nk Makinika na wasajili laini mitaani na ikiwezekana TCRA wazifunge hizi freelance za...
  19. L

    Hotuba Ya Rais Samia Yapongezwa kila Kona Mitaani, Yawakosha na kuungwa Mkono na Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Hotuba nzito na ya kihistoria na yenye kugusa hisia za mamilioni ya watanzania imeendelea kuteka hisia , mijadala na kupongezwa na watanzania wengi sana mitaani.imeendelea kusifiwa na kuungwa mkono na watanzania wote. Ni hotuba ambayo imeonyesha msimamo wa Rais wetu na...
  20. pombe kali

    Umahiri wa "nyundo" kurikia karadinga wawa gumzo mitaani

    Koma sava wanajukwa, siku ya alhamisi wakati watuhumiwa wa kesi ya binti wa yombo wakitoka mahakamani vyombo mbalimbali vya habari vilionyesha namna watuhimiwa wanavyorudishwa mahabusu. Mtuhumiwa maarufu kwenye shauri hilio "nyundo" pamoja na kuwa na pingu mkono wake wa kulia Ambayo alifungwa na...
Back
Top Bottom