Katika mambo ambayo yanashangaza sana ni uwepo wa matofali yenye ubora mdogo sana huku mtaani ni aibu kubwa sana kwa nchi mamlaka ziko wapi
Mimi nilisoma umbwe miaka flani hivi ile shule imeanza mwaka 1948 ila huwezi amini wakati nasoma ule ukuta wake huwezi gongelea msumari kirahis ilikuwa kwa...
Eti mmekaa sehemu mnapumzika mko hata wawili na jamaa mnalambalamba bia ila ukisema ugusie hata stori za mustakabali wa taifa hasa siasa jamaa anakukataa kabisa kwamba ni mwiko kusema chochote eti tutachukuliwa kipindi hiko tukae kimya aisee hii nchi inasikitisha Sana yaani uelewa uko chini ya...
Licha ya Sheria ya Mazingira, 2004 kukataza upigaji wa kelele unaosababisha kero kwa Wananchi, bado suala hilo limekuwa kero katika maeneo mbalimbali nchini.
Sheria hiyo kifungu cha 3 inatafsiri kuwa kelele ni kila uchafu zi usababishwao na sauti ambayo kwa asili inakataliwa au ile iwezayo...
Nimemsikia Esther Bulaya, aliyehamia CCM. Nimesikiliza maneno yake ya nyuma na yale ya sasa kupitia video inayozunguka.
Ninachokiona ni kwamba Wanasiasa wa TZ ni sawa na Changudoa wetu. Hawana aibu, hawataki kazi nyingine na hata tukiwashawishi kwa namna gani, wanaamini kazi yao ni siasa, Hata...
Nipo tayari niishi karibu na makanisa ya waroma, wauteri, wasabato, n.k. lakini sio ya walokole.
Nakumbuka dalali alinipeleka siku ambayo kumetulia sana, nilipaelewa mahali hapo nikalipia kodi miezi 6 na dalali nikampa hela yake, maisha yakaanza.
Kanisa lilipofunguliwa hakuna rangi ambayo...
Ndugu zangu Watanzania,
Unaweza kuniita majina yote mabaya ,unaweza nitukana kwa matusi yoyote yale utakayo,unaweza niita lichawa au likupe ,unaweza nitemea hata mate,unaweza kunichukia kuliko hata shetani .
Lakini pamoja na hayo yoote napenda kuwaambieni ukweli mchungu kabisa ambao pengine...
Barabara nyingi za pembezoni jijini Dar es Salaam zipo katika hali mbaya sana kufikia Juni 2025, zimetoboka kupita kiasi.
Tunatoa wito kwa TARURA kuchukua hatua za haraka kuziba matundu hayo.
Kwa sasa, jiji linakabiliwa na msongamano mkubwa wa magari kutokana na ujenzi wa miundombinu ya...
Kama ndugu zenu wanazidi kutekwa na watekaji mnawajua watekeni na wao ili tabia hii ikome.
Hatupaswi kuomba ruhusa kwenye masuala ya kujitetea na usalama wetu kama watekaji mnawajua na wanazidi kuwaangamizieni wapendwa wenu na msaada wa kisheria hampati wala nini watekeni na hao watekaji ili...
Huku mitaani kuna viongozi wa CCM wanatembea na mafungu ya vitambulisho vipya vya wapiga kura, vitambulisho hivi ni vinavyotengenezwa kinyume na utaratibu na siyo kutengenezewa, hapa mamlaka husika na vitambulisho zinahusika.
Watu wanaopenda kuongea na simu njiani kwa sauti ya juu. Kwanini usitafute sehemu ukaongea kwa sauti ya chini ukamalizana na ndo ukaendelea na safari? Mimi nimejiridhisha watu hawa wengi ni matapeli na mara nyingi huonyesha baadhi ya tabia au sifa zifuatazo (ingawa sio wote, na haimaanishi kuwa...
Polisi kiuhalisia kazi ya kubwa ni "ku - mantain law and legal orders" ambayo imewekwa ktk lugha rahisi ya "kulinda usalama wa raia na mali zao..."
Katika ku - maintain law and orders, moja ya jukumu lao la kwanza kabisa ni kuzuia uhalifu usitokee kwa kudhibiti visababishi....
Ikitokea kuna...
#HABARI Gari yenye namba za usajili T 566 CXL mali ya Philimon Mng'ong'o, Katibu Mwenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya Mbeya mjini mkoa wa Mbeya imechomwa moto majira ya saa 10:00 usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana.
Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Mbeya mjini amesema majira ya saa...
Na hii sizungumzii kwa hear say kwamba nilisikia, NO ! nimeishi mitaa yenye mapusha wa kijiti.
Miaka nenda rudi hadi nimehama hio mitaa na kurudi kusalimia nimewakuta wapo vile vile tu hakuna maendeleo kilichobadilika umri umeenda au wengine wapo jela.
System ya mapusha wa bangi hapa bongo...
Kwa mtazamo wangu, hiki ndio kitakwenda kutokea ili kutisha wananchi wasiandamane kwa lengo la kuzuia/kukwamisha uchaguzi.
Hii ndio itakuwa Pan B yao iwapo mipango mingine yote ya kuhujumu kampeni ya. NO REFORMS, NO ELECTION.
Uwezekano mwingine ni kupiga marufuku mikutano yoyote ya kisiasa kwa...
Sijui ni mafundisho ya dini au ni namna tu ya kujibwwteka nakerwa sana na huu utaratibu wa vijana wa umri mdogo wanaopita mitaani wanapiga vigoma na kuomba hela na ni bahati mbaya watoa hela nao hutoa vimiamia tu.
Kwa hiyo unakuta mle kwenye sinia ama ungo kuna vimiamia vingi kweli.
Kwa mtazamo...
Katika jamii nyingi, miundombinu bora ya maji taka ni msingi wa afya na ustawi wa wakazi.
Na ni haki kwa kila raia kuishi kwenye mazingira safi na salama.
Hata hivyo hali ni tofauti hapa Buguruni.
Mvua kidogo ikinyesha maji machafu hutapakaa kila mahali, yakibeba uchafu na harufu mbaya...
Mitaa yetu ina giza nene totoro na vibaka wengi sana, na wakati mwingine hakuna umeme kabisa.
Ni jambo jema sana biashara kariakoo masaa 24, itasaidia kuchechemua uchumi wa watu, familia, jiji na taifa kwa ujumla. Usalama Kariakoo umeimarishwa kwa kufunga taa, kamera na kuwa na walinzi wa watu...
Ndoa ya Aziz k na hamisa mobeto ni alama na mfano wa kuigwa kwa sababu 1. Hakuna mwanaume mwenye utimamu wa akili na mwili anaweza badili Imani yake ya dini , mahusiano yake na MUNGU kwa sababu ya mwanamke, lakini Aziz k amefanya
2. Hakuna mwanaume ambaye ana akili zake sawa anaweza chukua...
Na wakiwa Ibadani Makanisani ndiyo hupenda kukusanya Sadaka na kufanya kila aina ya Shughuli za Ibadani hata kama zingine haziwahusu.
Hupenda pia kuwa wa Kwanza kupokea Sakramenti ya Bwana na Nyimbo mbalimbali zikiwa zinaimbwa hupenda Kuimba kwa Sauti za Juu kuliko Sisi Waumini wengine (hadi...
Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu.
Musk, ambaye aliteuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), ametoa kauli hiyo baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.