Siku hizi bongo naona watu wengi wameingiwa ugonjwa wa kupenda jezi za Zamani na zinatamba sana , viwandani wanazitengeneza kwa material ya kisasa kiasi ambacho zitatoka Bomba sana .
Mfano jezi ya Man U sharp zipo kila kona , Arsenal JVC za njano , Barcelona , Liverpool, Man city nk.
Brazil...
Alhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia
Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia.
Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano yalipangwa leo D9, ni kipi kimefanya maandamano kudoda.
Majukumu haya ya msingi ya JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu na usalama wa raia. Lakini, ni vyema tujitahidi kutafakari kwa undani kuhusu utekelezaji wake katika mazingira ya sasa. Hebu tuangalie kila kipengele kimoja kimoja:
1. Kulinda...
Kama ndugu yako ni askari mwambia tarehe #D9 asiingie mitaani kujaribu kuzuia watanzania wenye hasira kali yasije yaka mkuta.
Waliopo kwenye vituo vya polisi vilivyopo mitaani wachunge sana. watanzania hawatokubali damu iliyomwagika iende bure.
Kama uchaguzi umekwisha ondoa hii mipicha mitaani, please!
Watu walizichoma walizoweza, hawataki kuziona
Si kila kitu lazima ushindane na matakwa ya wananchi
Nimejiuliza sana hili kwa sababu mpaka muda huu naona kila mmoja wetu yupo active na cha kushangaza hatuna kifo hata kimoja.
Kiufupi hili jukwaa ndio jukwaa pekee ambalo halijakumbwa na msiba kama majukwaa mengine kuanzia tik tok mpaka facebook.
Hivi mlitoka au mlikuwa mmejificha majumbani au...
Watu tuliowapa dhamana ya kutulinda, mali zetu, mipaka yetu, usalama wetu kiujumla na kutuletea maendeleo ndio hao hao wamegeuka kufanya mauaji ya halaiki.
Kama haitoshi wamefungia mitandao kama huu wa jamii forums, wameua watoto wasio na hatia, vijana na akina mama waliokuwa wametulia...
Miilli ya Watu imezagaa mitaani, Polisi wanajifanya hawaoni walla hawajui... Hawa wameuawa Mbezi karibu na nyumba ya Mkurugenzi wa Usalama wa taifa Bw. Suleiman Abubakar Mombo. Binadamu mnakuwa na hasira hadi na maiti? Mombo anapita hapo kama haoni maiti kisa tu wanapinga ifisadi wake
Makundi ya mamluki yenye silaha za moto Dar es salaam, Arusha, Tunduma n.k (mfano Janjawed, waganda n.k) yanaendeleza mauaji mitaani na barabarani mitaa ya sinza, ilala n.k. Ni wazi Samia ameamua kuongoza kwa kumwaga Damu za watanganyika.
Angalizo: Akiachwa aendelee hii miaka mitano, anaenda...
Please please ndugu saidieni. Maeneo mbalimbali ya Ilala Boma shule na sehemu zingine za Dar vijana wanakusanywa barabarani na kufungwa mikono kisha wanapigwa risasi.
Pia kuna taarifa vijana walioumia wapo hospitalini wanakusanywa na kwenda kuwaua.
Kuna hatari sana usiku. Yale ya Janjaweed...
Kichwa cha habari kiko wazi. Wako wapi magabacholi mbona hatuwaoni mitaani nao wakiandamana au weshafanya yao kama kawaida yao. Nao, tukimalizana na wanasiasa, tuwatembelee wajue hawajui na warudi kwao. kuanzia Zanzibar hadi India. Au vipi>
Kazi ya JWTZ ni kulinda mipaka ya Tanzania na watanzania dhidi ya maadui wa nje.
Mosi, ni bwege na zwazwa gani ameamuru jeshi liingie mitaani kuingilia kazi ya polisi?
Pili, walishuku kuwa polisi hawana morali, hivyo, wasingetimiza wajibu wao?
Tatu, kuna uoza na uzwazwa zaidi ya huu?
Nne...
Ndugu zangu Watanzania,
Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani...
Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida?
Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
Zaidi ya watu 200,000 wameandamana na mamia wakamatwa nchini Ufaransa Septemba 11, 2025 kufuatia maandamano makubwa ya kitaifa yaliyoanza Septemba 10, 2025 wananchi wakipinga mipango ya kupunguza bajeti na hali tete ya kisiasa nchini humo.
Vuguvugu hilo lililopewa jina “Fungeni Kila Kitu”...
Vijana waliohitimu dip na degree za computer almaarufu "ma IT" wapo wengi sana mtaani bila ramani ya kueleweka.
Nashangaa sana kwasababu kuna mitandao mingi sana ya kupiga dola online, sehemu nyingi dunian IT wa kizazi hiki hawasubiri kazi, wapo ndani wanapiga dola.
Mifumo ipo lakini IT wengi...
Wanaukumbi.
Mvulana mdogo, akiwa amebebeshwa gunia la unga na akiwa na kisu, anatembea mitaani si kutafuta chakula, bali kutetea.
Huu ndio ukweli wa kikatili wa njaa iliyotengenezwa kwa Israeli.
https://x.com/zohranmamdani/status/1954508053077713175?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Katika mambo ambayo yanashangaza sana ni uwepo wa matofali yenye ubora mdogo sana huku mtaani ni aibu kubwa sana kwa nchi mamlaka ziko wapi
Mimi nilisoma umbwe miaka flani hivi ile shule imeanza mwaka 1948 ila huwezi amini wakati nasoma ule ukuta wake huwezi gongelea msumari kirahis ilikuwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.