mita

Stimulator of interferon genes (STING), also known as transmembrane protein 173 (TMEM173) and MPYS/MITA/ERIS is a protein that in humans is encoded by the STING1 gene.STING plays an important role in innate immunity. STING induces type I interferon production when cells are infected with intracellular pathogens, such as viruses, mycobacteria and intracellular parasites. Type I interferon, mediated by STING, protects infected cells and nearby cells from local infection by binding to the same cell that secretes it (autocrine signaling) and nearby cells (paracrine signaling.)
STING works as both a direct cytosolic DNA sensor (CDS) and an adaptor protein in Type I interferon signaling through different molecular mechanisms. It has been shown to activate downstream transcription factors STAT6 and IRF3 through TBK1, which are responsible for antiviral response and innate immune response against intracellular pathogen.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Taharuki: Ang'oa mita ya maji nyumbani kwake na kuipeleka idara ya maji (Suwasa-Singida) kwa madai maji hayatoki wiki ya pili

    Mwanaume mmoja huko SINGIDA MJINI achafukwa kwa ukosefu wa maji mitaa ya MISUNA na kuamua kuingo'a mita ya maji na kuirudisha kwa wahusika..Angalizo; Enzi za jiwe haya hatukuyaona..ova
  2. K

    Miezi mitano sasa Lokassa ya Mbongo bado hajazikwa!

    Denis Kasia a.k.a Lokasa ya Mbongo, mpiga gitaa la maarufu nchini DRC asie na mpinzani, leo ni miezi mitano tangu amefariki na bado hajazikwa. Inasemekana kuna mgogoro azikwe wapi. R.I.P mchawi wa gitaa la Rhythm.
  3. Video: Aweka Rekodi mpya ya Riadha, Afisa asimamishwa kazi

    Somalia imemsimamisha kazi afisa wa ngazi ya juu wa riadha baada ya mmoja wa wanariadha wake kuweka rekodi mpya ya mbio za mita 100 - ambayo ni ya polepole zaidi kuwahi kutokea katika mashindano ya kimataifa. Mwanariadha huyo Nasra Ali Abukar, alikimbia na alivuka mstari wa kumaliza kwa sekunde...
  4. R

    SoC03 Teknolojia ya mita kwenye mitungi ya gesi

    MATUMIZI YA MITA KWENYE MITUNGI YA GESI Utangulizi Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye hifadhi kubwa ya gesi asilia. Ripoti mbalimbali zinaonyesha kwamba Tanzania inakadiriwa kuwa na gesi asilia yenye ujazo wa mita trilioni 230, ingawa imethibitishwa hadi sasa ni futi trilioni 57.54. Kutokana...
  5. K

    Pump ipi bora ya kumwagilia shamba ekari 50 umbali wa mita 800 kutoka ziwani?

    Wadau ninashamba la ekari 50 ukanda wa ziwa victoria Nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji WA mahindi na mpungu wakati wa masika na kiangazi. Shamba Kikimit 700 800 kutoka ziwani. Je, wazoefu nitumie aina gani ya pump naomba na ushauri na specifications Kwa pump za solar dizek na petrol.
  6. Utekelezaji wa ukusanyaji wa kodi ya majengo kupitia mita za luku

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA )kwa Kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) tunapenda toa ufafanuzi kuhusiana na Utekelezaji wa ukusanyaji wa kodi ya majengo kwa kutumia njia ya ununuzi wa umeme kwa wamiliki wa majengo ya Ghorofa kama kiambatanisho hapa
  7. Maji Bwawa la JNHPP Yafikia Ujazo wa Mita Bilioni 6

    MAJI BWAWA LA NYERERE (JNHPP) YAFIKIA MITA ZA UJAZO BILIONI 6 Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema wanaridhishwa na kasi ya ujazaji maji Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere Hydro Power (JNHPP) ambapo kwa sasa ujazo wa maji umefika mita za ujazo Bilioni 6. “Zimebaki mita kumi...
  8. Kigoma: Ujenzi wa Daraja la Malagarasi unaendelea, Mhandisi asema lina urefu wa Mita 76

    Meneja wa TANROADS Kigoma, Mhandisi Narcis Choma amezungumzia Sehemu ya Tatu ya mradi wa barabara inayoendelea na ujenzi wake Mkoani hapo amegusia pia kuhusu ujenzi wa Daraja la Malagarasi. Ameeleza kuwa mradi huo unaohusisha barabara ya Mvugwe – Nduta yenye urefu wa Kilometa 59.3, gharama yake...
  9. TANESCO mita zenu mpya zina shida gani? Zinakata umeme wakati upo

    Kuna hizi mita za TANESCO wanazofungia wateja sasa hivi, kila siku usiku lazima zikate umeme lakini kwa wale wenye mita za zamani umeme upo. Tatizo nini? Au ndio mita za michongo?
  10. DAWASA- kufanya hujuma kuibia wananchi "meter" za maji kisha kuja kutoza gharama za ufungaji wa mita hiyohiyo iloibiwa ni dhuluma

    Moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba JF isiutoe uzi huu kwani mada hii nafikiri ni muhimu sana kwa mstakabali wa wateja wa DAWASA ambao huko mitaani wamekosa wa kuwasemea. Natambua kuna uzi humu kwa ajili ya DAWASA lakini nimeufuatilia na nimejiridhisha kwamba hauna response nzuri kutoka...
  11. Ujazwaji maji Bwawa la Julius Nyerere wafikia mita 108

    Ujazo wa maji katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere (JNHPP) linalotarajiwa kujaa ndani ya miezi 18 hadi Januari 9, 2022 ulifika mita 108.31 kutoka usawa wa bahari. Ujazaji maji katika bwawa hilo linalotarajiwa kuzalisha megawati 2,115 za umeme likiwa na uwezo wa kuhifadhi lita bilioni...
  12. Tanzania kuanza kutumia Mita za Nauli kwenye Taxi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA) imepanga kufunga mita za kielektroniki kwenye Teksi ambazo zitawawezesha wateja kulipa nauli kulingana na umbali waliosafiri. Vifaa hivyo vipya vya kiteknolojia vinatarajiwa kufungwa kwenye magari hayo kabla ya Juni 2023, hatua...
  13. K

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha Miembe 7 mita 600 toka morogoro road

    Nauza kiwanja kiko miembe sana kibaha , karibu na morogoro road , umbali ni kama nusu kilometa Yaani mita 600 hivi toka main road. kiwanja kikubwa mita 55 Kwa 26 . Bei ni 13m Nina shida ya haraka. Karibuni namba yangu 0674223223 mimi ni mmiliki mwenyewe. Karibuni
  14. Wafanyakazi Wasoma Mita wa Dawasco na Mgawo huu wa Maji DSM msipokuwa na Majibu ya Kinidhamu mtaishia ICU Muhimbili

    Mteja... Ndugu Mfanyakazi wa Dawasco mbona Kwetu sasa Maji hayatoki Wiki Mbili? Mfanyakazi Dawsco.... Kwa Matajiri na Wakubwa Masaki sasa wana Mwezi wa Pili umesikia au kuona Wanalamika? Mteja..... Ndugu Mfanyakazi wa Dawasco imekuwaje leo Kawe Maji mmeyafungulia Saa 1 Asubuhi na kuyakata...
  15. 96.8% ya wakazi wa Dar wanapata maji safi yaliyoko ndani ya mita 500 kutoka walipo

    Sio mimi, hiyo ni ripoti ya NBS ya 2020/21 imeonesha wakazi wa Dar wanapata maji safi na salama ndani ya mita 500 tu. Usiniulize kuhusu mabowser au wauza maji wanaozurura na matorori, nazungumzia kilichooneshwa.
  16. M

    Huu sasa ni uharamia: Kumbe bomba la gesi Nord 1 lilifumuliwa, kipande cha mita 40 kikatoka!

    Sasa nimeelewa kwa nini nchi za magharibi hazikutaka kabisa kuihusisha Urusi kwenye kuchunguza kilichotokea kwenye mabomba ya gesi toka urusi. Tuliambiwa gesi ilivuja kumbe siyo kuvuja bali ILIMWAGIKA!! Kuvuja maana yake kuna tundu kwenye bomba. Kumbe si tundu bali bombomba lilifumuliwa na...
  17. K

    Msaada: Kuibiwa kwa mita za LUKU na kadi zake

    Nimeibiwa mita za LUKU na kadi zake na nina uhakika zinatumika somewhere. Nitafanyaje kupata namba na mahali zinakotumika kwa sasa?
  18. Furahia upishi wako na gesi janja (M-GAS) yenye mita janja wala huhitaji kununua mtungi wa gesi tena

    M-Gas ni kampuni inayoungwa mkono kimataifa. Tuna bohari zetu, mitungi ya gesi na magari ili kukuhakikishia kuwa unapata gesi (LPG)bora ya kupikia na huduma bora zaidi wakati wote. M-Gas inatumia teknolojia janja kubadilisha maisha kwa kukuuzia gesi safi ya kupikia kwa Mtanzania saa 24, siku 7...
  19. ZIARA : Shaka Kufanya ziara Kwenye daraja Jipya la Wami lenye urefu wa mita 510 lililogharimu TZS 76BL,Je nani kuliwa kichwa?

    Nawasalimu kwa jina la JTM, Ziara za Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka Hamdu Shaka zimekuwa zikiacha vilio kwa wazembe na wapigaji katika maeneo ya miradi mbalimbali hapa chini, Je, tutarajie pia kesho kunamtu ataliwa kichwa na Katibu huyu wa NEC itikadi &Uenezi wa CCM...
  20. Kuanzia Septemba 2022 TANESCO itaanza kuwaunganishia umeme wateja wapya kwa kutumia Mita Janja

    Mita janja kuanza kuunganishiwa wateja Septemba SERIKALI imesema kuanzia mwezi Septemba itaanza kuwaunganishia umeme wateja wapya kwa kutumia Mita Janja ili mkusaidia kununua umeme akiwa safarini bila kulazimika kuingiza kwenye mita yake. Waziri wa Nishati, Januari Makamba. Waziri wa Nishati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…