mishahara

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mishahara ya wafanyakazi wa CCM imepanda kwa 84% kwa watumishi wa chini na 25% kwa wale wa juu. TOT nao mishahara juu

    Mwenyekiti wa CCM mh Samia Suluhu Hassan ambaye pia ndio Rais wa JMT amesema mishahara ya watumishi wa CCM imeongezeka kwa kuanzia 25% kwa watumishi wa ngazi za juu hadi 84% kwa watumishi wa ngazi za chini. Hali kadhalika wasanii wa TOT sasa wameajiriwa rasmi na CCM, amesema Mh mwenyekiti...
  2. The Wolf

    JamiiForums Tanzania Kuepusha dhuluma kwenye mishahara na ukwepaji kodi, TRA itoe Final Salary Slip kwa wafanyakazi

    Wafanyakazi wananyonywa sana, makato ni mengi, lakini taasisi ziwe za serikali ama binafsi kupeleka michango hiyo sehemu husika imekuwa ni issue sana. Inafikia mfanyakazi anastaafu, ameumia kazini ama ameacha ajira anakosa stahiki yake kwa sababu hamna michango ambayo imepelekwa sehemu husika...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Watu wanasoma sana ili walipwe mishahara mikubwa

    Watu wanasoma sana ili walipwe mishahara mikubwa. Wewe unasemaje katika hili. Reference: Mshahara wa darasa la saba Mshahara wa form four Mshahara wa certificate Mshahara wa diploma Mshahara wa degree Mshahara wa masters Mshahara wa PhD.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

    Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam. ====== Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo...
  5. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Hayati Magufuli alikopa ili kulipa Mishahara? Dkt. Mpango afafanue Mikopo ya Trilioni 29 kwa miaka 5 ilifanya nini

    Kwa mujibu wa Takwimu zinazotolewa Sasa na makada, Mawaziri waliopita na watu tofauti Magufuli ndio Raisi aliyekopa fedha nyingi kuliko Rais yoyote Tanzania ingawa kaongoza muda mfupi. Je, fedha zake alifanyia Nini? Takwimu hazidanganyi. Inasemekana alikopa trilion 29 kwa fedha hizo zilitosha...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Leo yametimia yaliyosemwa na Hayati Magufuli mhimili mmoja umejichimbia zaidi na ndio unaolipa mishahara mihimili mingine.

    Kuna mwanahabari alielezwa hili jambo kuwa japokuwa kuna mihimili mitatu ya dola yaani Bunge, Mahakama na serikali kuu. Mhimili mkoja umejisimika zaidi. Maana umejichimbia zaidi na kusimika mizizi. Leo bila ya kumug'unya maneno tumesikia kwa masikio yetu na macho yetu. Mkuu wa mhimili wa Bunge...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makusanyo ya nchi ni trilioni 1.2 kwa mwezi, mishahara tu bilioni 600,Baki bilioni 600,stiglers,SGR trilioni 30, bila kukopa ni ngumu kumaliza miradi!

    Wale wanaosema tusikope, waje mezani na hesabu, nchi inakusanya Kila mwezi trilioni 1.2. Mishahara inakula bilioni 600, inabaki bilioni 600, hii ilipie umeme, maji, karatasi, mafuta ya magari,posho na mengineyo, inabaki ngapi? Haya, kama SGR inaweza kula trilioni karibu 20, maana yake serikali...
  8. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kulipa mishahara kwa mafungu ikomeshwe

    Usawa huu mko ofisi Moja, kada Moja , Ngazi ya mshahara moja, Mwenzako anapata mshahara leo , Wewe uje kupata kesho sio tabia nzuri hata kidogo.. Enzi zile za pontio pilato pamoja na ubabe wake lakini mshahara ulikuwa unatoka siku Moja, Labda ilitofautiana dakika kadhaa lakini ndani ya masaa...
  9. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ukweli wa mishahara ya BRELA

    .... Uzi ifutwe .... Moderator please delete
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi pamoja na mishahara mizuri bado wanapewa nyumba na magari?

    Kwanini mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi ma-RPC nk., nk... Pamoja na mishahara yao minono bado wanapewa nyumba, magari, walinzi, wanalipiwa umeme, maji, matumizi ya simu nk ili hali watu wengine wafanyakazi wengine wa serikali na taasisi zake wanabeba misalaba yao wenyewe? Why...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia zuia mazao kwenda nje ya nchi, njaa inalinyemelea Taifa

    Mh. Ukiachilia mbali mfumuko wa bei wa ajabu kuwahi kutokea,,,nakuomba zuia mazao kwenda nje ya nchi ulinisuru Taifa na njaa,,mvua zimegoma kunyesha mahindi na mpunga vimeanza kupandishwa bei kiholela.Mh.nakuomba simama na wananchi angalau kwa hili njaa itakuletea mgogoro mkubwa katika utawala...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu mishahara TRC

    Habari wana jamvi wa jf, Jana nilipost uzi nikiomba kujua ngazi za mishahara kwa shirika la reli la tz TRC kwa TRCS3 na TRCS4 kwasababu nina mdogo wangu kachaguliwa commercial assistance office lakini nilijibiwa makuzi tuu yaani hiyo ifike million 1.3 na 1.4 wakati iyo ni kwa level ya diploma...
  13. Mshirazi

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014 UPDATE:
  14. blogger

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

    Viwango Vya Mshahara Wa Walimu 2021/2022 | Teachers Salary Scale Range New Government Salary Scales: Approved TGTS B1 = 419,000/- and TGTS C1 = 530,000/- TGTS D1 = 716,000/- and TGTS E1 = 940,000/- TGTS F1 = 1,235,000/- and TGTS G1 = 1,600,000/- TGTS H1 = 2,091,000/- and TGTS I = 2,810,000/-...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi Ungana nami katika uzi...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mapungufu katika ulipaji wa Mishahara na Mikopo

    CAG ameonesha mapungufu yafuatayo katika ulipaji wa mishahara kwa watumishi katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa (MSM); a) MSM 36 kushindwa kulipa madai mbalimbali ya watumishi yenye thamani ya TZS. 27.84 bilioni b) MSM 46 kushindwa kuwasilisha makato ya kisheria ya mishahara yenye thamani ya...
  17. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM ajilipua bungeni, ataka mishahara ya watumishi iongezwe mara dufu!

    Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Sabiby, amemtaka Waziri wa fedha atafute pesa popote atakapozipata ili aongeze mishahara ya watumishi wa umma mara dufu, kama alivyoahidi Rais, Mh Samia Suluhu Hassan. Ametamka hayo bungeni leo wakati akichangia mapango wa maendeleo wa 2022-2025 bila kupepesa macho...
  18. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Siasa za mishahara minono kwenye taasisi za Serikali zinavyoharibu ndoto za vijana wengi wa Kitanzania

    Wanabodi, vijana badala ya kufikiria maarifa ili waweze kuendeleza wapatacho wao wanawaza mishahara minono kwenye taasisi za kiserikali ambazo Kiuhalisia mishahara hiyo minono haipo kwa vijana wanaoanza kazi. Maneno ya wanasiasa majukwaani kutamka mishahara ya wakurugenzi(Directors) wa...
  19. wakikosi

    JamiiForums Tanzania Wakati tangu 23/10/2021 mishahara ya umma imelipwa, lakini kwa Mkuranga bado

    Mkuranga kuna nini pale, maana hadi leo Jumatatu watumishi wa umma hawajalipwa, lakini nasikia maeneo mengine Tanzania watu walishalipwa na sasa wanakula jasho lao tu. Mkuranga kuna nini pale?
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni: Sitaongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sanaa

    Rais Yoweri Museveni wa #Uganda ametangaza kuongeza mishahara kwa walimu wa masomo ya sayansi kwa madai kuwa ndio wanaochangia maendeleo ya jamii Hatua hiyo imetajwa kwenda kinyume na Makubaliano ya 2018 ambayo yanataka mishahara kupanda kwa usawa kwa walimu wote Rais Museveni amesema...
Back
Top Bottom