Naomba kujuzwa kuhusu mishahara TRC

Bizzyboy

Member
Nov 21, 2018
71
57
Habari wana jamvi wa jf,

Jana nilipost uzi nikiomba kujua ngazi za mishahara kwa shirika la reli la tz TRC kwa TRCS3 na TRCS4 kwasababu nina mdogo wangu kachaguliwa commercial assistance office lakini nilijibiwa makuzi tuu yaani hiyo ifike million 1.3 na 1.4 wakati iyo ni kwa level ya diploma.

Kama ni kweli basi kuna haja ya serikali kupitia upya kuna watu wanaelimu kubwa haswa halmashauri ila malipo tunayopewa dah mungu anajua tuu
 
acha tuu mkuu kuna mda unatamani kuacha ukiwaza kitaa kilivyo kigumu dah unaona bora ukaze tuu aiseeee
Mkuu usiache mpaka ukamate mpini tayar laa si hvyo utakuja kusaga meno kwa kulia na jua lilivyo kali hv kishenzi ukiangalia japo 800k ulikuwa ukiingiza ukiacha 100 mtu utaitafuta na huipati
 
Hv juzi kati hao TRC wametoa nafasi kwa kada tofauti nadhani hata deadline yake haijafika bado vipi uliomba?

Mie nliomba ila sidhani hata kama nikiitwa usaijili nitaenda nisije nikachoma nauli yangu bure ukizingatia nafasi zenyewe 8 tu kwa civil engineers huku kumbe zina wenyewe aaah hii nchi ngumu hii.
 
mdogo wangu aisee kapiga moja tuu kimasihara katoboa mm kila nikipiga sitoboi kuna moja nilifika mpaka kwa oral tukawa 20 nafasi 8 nikajipa uwakika kabisa natoboa duu mwisho wa siku yale yale
Mkuu waswahili wanasema mwenye bahati kalale, kila mtu na bahati yake.

Mbona wengine wanakuja kuchukua reference kwangu interview inafanywaje, unamuelekeza yeye anatoboa mimi sitoboi 😂😂
Mambo haya yanakwenda kwa rizki.

Ni sawasawa unaweza ukawa motivational speaker ila ukajikuta una maisha magumu kishenzi sio poa.
 
Kibua unajua sisi ndo tunafany kazi nyingi sanaa na za muhimu kwenye jamii na tunakusanya mapato makubwa ukiacha tra kwa mfano kitengo changu unaona kabisaa mupunga mwingii tuu unaingia lkn wanatubania sijui kwann sem kikubwa uhai tuu
 
Tujipe moyo tu.! Ila kwa hizi 700k za Halmadhauri inavunja moyo sana hasa ukifikiria jinsi ulivyokua unakomaa na kitabu.!
Alafu unakuta mshkaji aliekuwepo taasisi za umma alikuwa akikupiga chabo solving zako na ulikuwa ukimuachia akuangalizie bila ya hiyana, sio poa yaan haya maisha.

Sometimes unakuwa roho mbaya automatically maana washkaj wengine hawana fadhila ata kdogo, kumbe alikuwa na connection kwao aisee, baadae anakutambia na kukujengea dharau
 
Hbari wana jamvi wa jf, jana nilipost uzi nikiomba kujua ngazi za mishahara kwa shirika la reli la tz TRC kwa TRCS3 na TRCS4 kwasababu nina mdogo wangu kachaguliwa commercial assistance office lakini nilijibiwa makuzi tuu yaani hiyo ifike million 1.3 na 1.4 wakati iyo ni kwa level ya diploma kama ni kweli basi kuna haja ya serikali kupitia upya kuna watu wanaelimu kubwa haswa halmashauri ila malipo tunayopewa dah mungu anajua tuu

Hahaha TRCS3 ni 545000 TRCS4 ni 745000


Trcs 3 ndo anaanzia baada ya miaka miwil ndo 745000 mkuu

Walikudanganya Sanaa
 
trcs 3 ni diploma ya acc marketing ba ila trcs 4 ni diploma ya mambo ya engeneering kwa nnavyofahamu mimi
 
Hv juzi kati hao TRC wametoa nafasi kwa kada tofauti nadhani hata deadline yake haijafika bado Vipi uliomba?
Mie nliomba ila sidhani hata kama nikiitwa usaijili nitaenda nisije nikachoma nauli yangu bure ukizingatia nafasi zenyewe 8 tu kwa civil engineers huku kumbe zina wenyewe aaah hii nchi ngumu hii.

Hakuna wenyewe mkuu amin nenda utapata hakuna wenyewe kabisa ni za utumishi izo
 
trcs 3 ni diploma ya acc marketing ba ila trcs 4 ni diploma ya mambo ya engeneering kwa nnavyofahamu mimi

Hapana wote wa diploma wanaanzia trcs 3 ambayo tsh 545000 tu...

Posho ya nyumba 10%

Posho maalum 30000/

Labda upige na OVERTIME

 
Back
Top Bottom