mishahara

  1. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanataka kodi za wanyonge ili wakajilipe Posho na Mishahara minono

    Nchi imekuwa ya kusadikika kweli, kila siku wanabuni mbinu mpya ya kuwakamua wasiojiweza, wenye uwezo mdogo wa kuendesha maisha yao ili matumbo yao yaneemeke. Baada ya kubuni mbinu za kuwainua wananchi ili wapate walipa kodi wengi wao ndio wanazidi kuwakamua na kuwatia umaskini Wawakilishi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikatwe PAYE

    Huu ni uzalendo. Uzalendo hauishii kwenye laini za simu tu. Naomba Spika afikishe huu ujumbe kwa Wabunge wake. La sivyo tutaandamana kushinikiza nao wakatwe kodi kwenye mishahara yao.
  3. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Nitamuita Shujaa wa Taifa Mbunge yeyote atakayependekeza kodi kwa Wabunge

    Kwa kweli wananchi wa Tanzania hasa wafanyakazi wa serikali wamesota sana kwa miaka 6 iliyopita. Kuiishi miaka yote hiyo bila kuongezewa mshahara wakati ghalama za maisha zikiendelea kupanda kwa kweli siyo mchezo. Hapa lazima tuwapongeze hawa wafanyakazi. ingekuwa nchi za wenzetu has kama za...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sina chuki nao, ila mishahara ya wabunge ni 'too much'

    Huo ndio ukweli mishahara ya au mshahara wa mbunge na mapochopocho wanayokwapua au kulipwa ni mishahara hatarishi kwa Taifa letu ambalo linajikongoja. Ajira ya ubunge sasa imekuwa ni ya kufa na kupona. Hivi kazi hii kweli mmeifuatilia na kipimo cha mtu anachokwapua, wengi huwa wanachomekea tu...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji ni aibu kubwa kwa CCM.

    CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji, ni aibu kubwa sana kwa CCM Kwani haiwalipi watendaji wake hata Senti Tano ikiwa ni sehemu ya mshahara. Hii ni aibu kubwa , mwenyekiti wa CCM Taifa ili kukiboresha chama Anza na hilo. Chama kuendeshwa kwa njia hiyo ninkuzalisha Wala Rushwa na...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji wake wote kuanzia ngazi ya chini Kabisa

    Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe alipokuwa anahitimisha mpango wa Operesheni Haki Mkoani Morogoro. Mbowe ambaye sasa anaitwa Mtemi Isike, baada ya kusimikwa huko Tabora , amesema kwamba Chama chake sasa kinataka viongozi wake wafanye kazi moja tu ambayo ni...
  7. Man Mvua

    JamiiForums Tanzania Suala la Mishahara kwa watumishi wa Umma liangaliwe upya, tena kwa macho manne

    Amani iwe juu yenu. Jambo la mishahara ni kitu muhimu sana kwa mtu ndio maisha yake na ndio uhai wake. Kuna mtumishi namba moja aliyepita alipata kusema "Asiyefanya kazi na asile na maana yake afe" hivyo kila mtu hufanya kazi ili aishi yeye na familia yake. Unyeti wa mshahara ndio umefanya...
  8. mdau mpya

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mishahara vyuo vikuu Tanzania

    Kwanza nawasalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania. Nina ndugu yangu yuko nje ya nchi alikuwa akifanya kazi sasa ameomba kazi hapa Tanzania kwenye moja ya vyuo vikuu maana ni PhD holder. Na pia Alipata kazi South Africa japo yeye anapendelea kurudi nyumbani. Sasa anapenda kujua mishahara ya vyuo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ni aibu Chadema kutolipa Wafanyakazi mishahara kwa miezi 6 kwa kisingizio cha kukosa Ruzuku!

    Nimeshangaa chama kikubwa kama Chadema kinashindwaje kulipa mishahara ya watumishi wake!! Yaani pamoja na miradi yote waliyonayo Chadema pamoja na Ada za wanachama bado hamuwezi kulipa mishahara? Ruzuku haitolewi maalumu kwa ajili ya mishahara bali kusaidia ujenzi wa chama na hasa kueneza...
  10. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wamkumbuka Rais Magufuli kuwa na hofu juu ya mishahara kucheleweshwa

    Imeelezwa kwa watumishi wa umma toka maeneo mbali mbali wameanza kumkumbuka Hayati Magufuli kuhusu mishahara yao kucheleweshwa na utawala wa sasa. Wanadai kuwa enzo za hayati Magufuli walikua wakipokea mishahara yao kuanzia tarehe 2, 22 au 23 ikichelewa sana. Lakini kwa mfano mwezi huu hadi leo...
  11. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

    Si kawaida mshahara kupitiliza tarehe, ilikuwa tar 23 ikiangukia weekend mnapewa siku ya kazi ya mwisho wa weekend, mfano tar 23 itakuwa Juma pili mshahara ulikuwa unatoka tar 21 ya Ijumaa. Huenda mpaka ijumaa mfuko ulikuwa haujatuna. Tumpe muda tuone.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Je, yapaswa mishahara ya viongozi wetu wa kisiasa kujulikana kwa umma?

    Kuanzia Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Spika, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya n.k na hasa wale wanaopata uongozi kwa kura zetu - je si ni haki yetu rais kujua mishahara yao?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Je, Mawaziri nao hulipwa mishahara na posho za ubunge au wao wana mishahara tofauti?

    Hebu tujadili hili Je, ukiwa Waziri unakuwa unalipwa mishahara na marupurupu ya ubunge na kisha unaongezewa na ya Uwaziri au inakuwaje hapo?
  14. Mpandisha mishahara

    JamiiForums Tanzania Mishahara ilipwe kwa mkupuo wa miezi mitatu mitatu

    Habari wanajamvi, binafsi niliwaza na kuwazua ni jinsi gani mishahara inaweza kuwa na uzito kwa mfanyakazi. Majibu niliyopata ni kwamba ifike hatua serikali ipitishe sheria ya kulipa mishahara kwa awamu moja ndani ya miezi mitatu mitatu, Kwa mfano unalipwa take home ya milioni 1. January ml 1...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tumeachwa kuomba ongezekao la mishahara tunasahau katiba yetu imepitwa na wakati.

  16. D

    JamiiForums Tanzania Urasimu mpya unaletwa kupitia kauli ya uli 'Mfumo Unasumbua'

    Habari, Mungu nakutumaini wewe tu. Hivi nani anasimamia mifumo ya fedha za Serikali kimtandao? 1. Wapo wanaocheleweshewa malipo wakiuliza majibu ni mtandao unasumbua au network ipo down. 2. Wapo wanao subiri check namba kwa muda mrefu. 3. Wapo wanao subiri mafao ya kustaafu 4. Wapo...
  17. technically

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wastaafu? Ni upendeleo?

    Rais analizwa na maisha ya Rais mstaafu Rais anamnunulia BENZI la dollar 400,000 Rais mstaafu.? Wakati huo mwanae akiwa Rais wa Zanzibar. Rais anahailisha mechi inayofatiliwa na watu zaidi ya million 200+ Afria kwa sababu ya kitabu cha maisha yake. Maana yake unajali MTU kuliko watu. Rais...
  18. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu; Nitaongeza mishahara kabla sijaondoka madarakani-Rais Magufuli

    KUMBUKUMBU;NITAONGEZA MISHAHARA KABLA SIJAONDOKA MADARAKANI-RAIS MAGUFULI. Matumaini ya wafanyakazi ya kusikia habari njema za kuongezewa mishahara yaliota mbawa baada ya Rais Dk John Magufuli kusema atatekeleza ahadi hiyo kabla ya kumaliza muda wake wa uongozi, hata hivyo, hakuweka bayana ni...
  19. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Tanzania iliyopanda hadi uchumi wa kati kwa mwaka wa tano yashindwa kupandisha mishahara

    Haihitaji kutumia Nguvu Sana kujua kua nchi haina hela Kama mwanaSiasa uchwara yule alivyokua akijinsibu. Uchumi Ni namba,na namba huwa hazidanganyi. Kwa kupenda sifa kule kama angekua Ana hela asingeweza kukaa miaka mitano bila kuongeza mishahara ili asifiwe. Lakini yeye akaamua fungu lote la...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wamewaombea Wafanyakazi nyongeza ya mishahara siku ya Mei mosi, lakini maombi hayakufika juu

    Leo niliona viongozi wa vyama vya wafanyakazi katika maandalizi yao waliweka viongozi wengi wa dini kuzidi hafla zozote zilizowai fanyika hili hawa viongozi wafikishe maombi kwa Mungu ya maslai bora, mishahara juu kazi iendelee lakini imekuwa tofauti sijui vipi. sijajua kama tatizo liko wapi.
Back
Top Bottom