Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
10,439
12,596
Viwango Vya Mshahara Wa Walimu 2021/2022 | Teachers Salary Scale Range
New Government Salary Scales: Approved

  • TGTS B1 = 419,000/- and TGTS C1 = 530,000/-​
  • TGTS D1 = 716,000/- and TGTS E1 = 940,000/-​
  • TGTS F1 = 1,235,000/- and TGTS G1 = 1,600,000/-​
  • TGTS H1 = 2,091,000/- and TGTS I = 2,810,000/-​
B1 = Basic 419,000
  • Cwt = 8,390.​
  • Pension = 20,950.​
  • Income = 46,090.​
  • Insur = 12,570​
  • Take home = 331,000​
C1 = Basic 530,000
  • Cwt = 10,600.​
  • Pension = 26,500.​
  • Income = 58,300.​
  • Insurance = 15,900​
  • Take home = 418,700​
D1= Basic 716,000
  • Cwt = 14,320.​
  • Pension = 35,800.​
  • Income = 78,760.​
  • Insurance = 21,400​
  • Take home = 565,640​
E1 = Basic 940,000
  • Cwt = 18,800.​
  • Pension = 47,000.​
  • Income = 103,400.​
  • Insurance = 28,200​
  • Take home = 742,600​
F1 = Basic 1,235,000
  • Cwt = 24,700.​
  • Pension = 61,750.​
  • Income = 135,850.​
  • Insurance = 37,050​
  • Take home = 975,650.
Kazi ni kwako ndugu mwalimu
 
Nilikuwa Napenda sana kuwa mwl. Tena niwe nafundisha vitoto vidogovidogo vile!

Ualimu ni wito walimu walishapiga sana kelele kuhusu maslahi yao,lakini hakuna anayejali! Enzi za JK walikuwa wanaanzisha mpaka migomo, lakini hola!

Pigeni tu kazi walimu wetu, taifa linawategemea japo wanajifanyaga wanawachukulia poa, wakati mwingine wanawapeleka vishule vya huko ndani ndani ambako hata wao hawawezi kuishi,basi hata wawafikirie kuwapeni posho ya mazingira magumu hakuna

Pigeni kazi tu na kwa kuwa mna muda mwingi wa ziada, jiongezeni mtafute namna ya kufanya ili kujiongezea vipato kulingana na mazingira mnayoishi!
 
Weka mishahara ya kada zingine kama afya na kilimo ili tulinganishe vizuri
Hapo mwalimu anazidiwa kidogo na kada za Afya na Engineering.

Lakini taaluma nyingine zote kama Acccountancy, sociology, Mchumi, Maafisa Maendeleo, Kilimo, HR, Afisa Utumishi, WEO/VEO, sheria wote kwa walimu wanasubiri.

Mishahara ya walimu siyo midogo.

Walimu wanachojua ni kujiliza liza kama mbweha tu.
 
Hapo mwalimu anazidiwa kidogo na kada za Afya na Engineering.

Lakini taaluma nyingine zote kama Acccountancy, Maafisa Maendeleo, Kilimo, HR, Afisa Utumishi, WEO/VEO, sheria wote kwawalimu wanasubiri.

Mishahara ya walimu siyo midogo.

Walimu wanachojua ni kujiliza liza kama tu mbweha.
Tuthibitishie tuone kama alivyo fanya mtoa mada
 
Back
Top Bottom