mimi

  1. JamiiForums Tanzania Mimi siyo mlemavu na hii kauli sitaki kabisa kuisikia

    Kuna kauli nimekua naisikia toka nikiwa mtoto mdogo sana na nadhani inatumika maeneo mengi sana hapa duniani kama sio dunia mzima. Je, ni kwa sababu gani binadamu niliekamilika kiakili kimwili pia mkaniita mlemavu halafu mkaandaa hadi vitengo vinavyojidai eti vinalinda haki zetu ili tuishi na...
  2. JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2018 natafuta kazi yoyote ya halali

    Hello wana JF, Mimi ni kijana nimemaliza form four 2018, natafuta kazi nina ujuzi wa kutumia computer, pia nafanya kazi yoyote YA HALALI , pia nafanya kazi yoyote inayohsu mambo ya computer. Msaada wenu wana JF niko Dar Gongo la Mboto
  3. JamiiForums Tanzania Hivi kule Beijing wanawake waliafikiana hivi ndipo mimi nianze kuwaheshimu au ni matatizo yao tu ya asili na uumbaji?

    Kwahiyo kule Beijing Wanawake waliafikiana yafuatayo....? 1. Wawasiliti kila mara Wachumba na Waume zao? 2. Wawanyime Mapenzi ya Kitandani Wapenzi na Waume zao? 3. Wazunguke Tanzania nzima kwa Waganga wa Kienyeji Kuwaroga Wapenzi na Waume zao? 4. Wawe tayari Kuzungukana Wao kwa Wao na Kuibiana...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi hii ni kwangu mimi tu ama ni kwetu sote?

    Huwa inanitokea na ni kawaida yangu kila ninapofanya vizuri au kufanikiwa katika jambo fulani, basi natafuta namna yeyote ile ya KUJIPONGEZA. Vile vile nikiwa nimeharibu au kukosea kwenye jambo lolote ambalo nahisi sikustahili kuharibu, basi huwa natafuta namna yeyote ya KUJIPOZA. Mfano...
  5. JamiiForums Tanzania Juma Lokole: Ningepata bahati ya kuwa na Diamond ningejijenga kwanza mimi na kusaidia ndugu zangu

    Juma Lokole "wanawake wanachezea nafasi wanayoipata kwa Diamond..Ingekuwa mimi Ningejijenga Kwanza Mimi na Kusaidia Ndugu zangu" wa Mitandao ya Kijamii JUMALOKOLE Anasema Kuwa Diamond hachezei wanawake bali wanajichezea wenyewe... Wanakimbilia kupata Mimba wakijua ndio Mondi Atawapenda Milele ...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Diva: Hakuna mtangazaji mwenye ushawishi kushinda mimi

    Mwanadada mwenye mvuto wa aina yake wenye kuwababaisha watu maarufu wengi ikiwemo hata vigogo wa mjengoni pale Dodoma. Diva Malinzi amefunguka kupitia insta story ya Instagram yake kwamba yeye ndie very expensive mtangazaji na mwenye ushawishi mkubwa kuliko mtangazaji yoyote hapa nchini.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Maagizo ya Magufuli kwa Halmashauri ya Kigamboni; "Jengeni ofisi ya CCM". Hivi ni mimi nisiyemuelewa Rais au kuna wengine pia?

    Kuna wakati najaribu kumwelewa Raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya Kigamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Mkapa awasilisha salamu za Rais Magufuli kumuaga Mzee Moi, asema alikuwa 'mentor' wake

    Rais mstaafu mzee Mkapa amesoma salamu za rambirambi kutoka kwa Rais Magufuli katika msiba wa Mzee Moi. Mzee Mkapa amesema yeye binafsi amefanya kazi na Mzee Moi kwa miaka 7, akiwa na Rais na mzee Kikwete aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Mkapa amesema Rais Magufuli amewatuma wao wawili kama...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi mimi superbug sifa yangu kuu humu JAMIIFORUM ni ipi?

    Bila kunificha hebu niambieni Mimi superbug Nina sifa gani kuu ? Au mnanikubali kwa lipi? Au hamnikubali kwa lipi? Mimi ni Kati ya member maarufu Sana jf Sasa hebu niambieni nyie mnanionaje onaje Yani?
  10. JamiiForums Tanzania Kauli yenye akili ya Simbachawene: Mh Rais mimi sina nyota hata moja hivyo jukumu la kuvisimamia vyombo vya dola ni lako Amiri Jeshi mkuu

    Naomba niweke wazi hapa nahitaji kueleweshwa juu ya hili suala. Katika hotuba yake Waziri wa mambo ya ndani alidokeza juu ya utawala ndani ya wizara ya Mambo ya ndani, akadai hana nyota na wala yeye si Amiri jeshi mkuu. (Hili nakubali asilimia mia). Hivyo ameonyesha wazi kuwa hatakuwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kubadilishana kituo cha kazi

    Mimi Mwalimu wa Shule ya Msingi Wilaya ya Momba Mkoa wa Songwe. Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje Momba mimi niende Mkoa wa Lindi, Manispaaa, kwa taarifa njoo PM
  12. T

    JamiiForums Tanzania Safiri na mimi Arusha to Dar 8th Jan,2020

    Nitakua safarini kutoka Arusha kwenda Dar Es Salaam kesho jumatano tarehe 8/1/2020 mwenyewe kwa usafiri/gari binafsi. Nahitaji kampani ya kusafiri nayo (kampani utachangia mchango wa mafuta) katika safari hiyo. Kampani ikijua kuendesha au kuwa na uzoefu wa kusafiri mara kwa mara itapendeza zaidi.
  13. JamiiForums Tanzania Intellectuals wengi hurudi kufundisha, na siyo kucheza peek a boo (kombolela) na mimi nipo!

    Peek a boo kwa wasiofahamu ni mchezo wa watoto wa kujificha ni kama komborela fulani, sasa kwa kawaida komborela hucheza watoto na ukiona mtu mzima ambaye na msomi” anacheza peek a boo, kwamba jamani msinisahau na mimi nipo pia muhimu nijadilini, basi ujue kuna tatizo mahali, kwa kawaida...
  14. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Njooni mnikamate mimi mnihoji, mnaogopa nini? Wacheni kuwaonea Watanzania wengine kwa ajili yangu

    Mh Zitto, tunakupongeza na kukutia moyo kwa kuwa this much daring dhidi ya watesi wa raia wasio na hatia yoyote. Mungu atatenda at some point I'm sure!
  15. JamiiForums Tanzania Nashida ya Kuzamia

    Habarini wana JF, mimi ni mhanga wa ajira kwa muda tuu ila nimetafakari na kuona halihalisi ya maisha yanavyozidi kuwa juu nimeona nitafute kazi nje ya nchi, nje ya Africa kazi yoyote ya halali hata kudeki vyoo, kwa anayejua au mwenye ndugu pls aniunganishe, asanteni mtakaoguswa. Maisha magumu...
  16. JamiiForums Tanzania Hodi Mimi ni mgeni nataka mnipokee kwa amani

    hodi
  17. JamiiForums Tanzania Nataka kuwa Tax and Payroll Consultant. What are the qualifications?

    Mimi ni dada, nataka kufungua kampuni ya Tax and Payroll Consultant. What are the qualifications?
  18. JamiiForums Tanzania Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

    Wadau. Leo Novemba 12,2019 Mzee Wetu na Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Tatu Benjamin Mkapa Anatimiza Miaka 81 ya Kuzaliwa. Tukio Hilo linaambatana na sherehe Mubashara muda Huu wa Uzinduzi wa Kitabu Chake Cha "My Life, My Purpose" Hongera Sana Mzee Wetu. ---- Benjamin William Mkapa is a...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi na kusema kupitia kalamu yangu ya JamiiForums

    "One of the big problems of this country is that, the smart and the intelligent people in this country have only forums to express their views and ideas; whereas, the less intelligent, have not only forums to express their views and ideas, but also have non-written powers and mandate to misuse...
  20. JamiiForums Tanzania Amenifungia nguo na kuweka kwenye begi eti nimpishe kwake japo kodi nalipa mimi

    Mkuu Naomba unisaidie kuomba ushauri huko Ni week sasa nimempisha lakin anaomba msamaha nirudi Ishu yenyewe iko hivi, mwaka huu nilimpata Dada mmoja nesi tukapendana nilikuta amepanga nyumba, nami kwakuwa nilikuwa kwenye shughuli za kikazi maeneo yale nilikuwa nimefikia nyumba ya wagen kabla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…