Sijui nifanyaje mimi...

mqaxy

JF-Expert Member
Jul 10, 2018
339
556
Habari za sasa wakuu, mpaka naandika uzi huu nipo njia panda sijui nielekee wapi? Sijui nifanyaje mimi!?

Ni muda sasa tangu mpenzi wangu aanze kulalamika anasumbuliwa na jamaa mmoja hivi (ambayo ni kilema)

Sasa anasema anamuonea huruma kwahiyo anataka amkubalie. Dah! Sasa mimi sielewi nifanyaje mana nimeshikwa na roho ya huruma ila kwa upande mwingine naona siwezi kukubaliana na hilo swala.

USHAURI WENU WAKUU
NAWASILISHA
mqaxy
 
Back
Top Bottom