Wifi wamekukaribisha na jungu la ugali, sasa wifi mwenyewe mbona unasonga ugali kinongwa nongwa🤣Kuweza ndio 😂
Ndoa ni UtapeliNaomba mchango wako WA Hali na Mali.
nakutania bhn mm nipo ndoani 🤣Nakubali chifu
Popote ulipo mi nipo 😄Unapatikana wapi?
Mahari milioni kumi na bado akifika ndani anakupangia tarehe za kula mzigo kama marejesho ya vikoba 😄😄Msimamo wetu ule ule mahali milioni kumi..😂😂🙌🙌🙌
Alooooh weeeeh 😂😂🙌🙌🙌Katoa 7M .,alilia lia sana😁
,😂😂😂😂 sema mwanetu huko kalia sana akufuka dau ila angalau katoa 7millionMahari milioni kumi na bado akifika ndani anakupangia tarehe za kula mzigo kama marejesho ya vikoba 😄😄