Tukipeana namba na mdada halafu akatumia neno "dear" katika kuchat na mimi siku 3 za mwanzo, huwa nam-delete fasta

Dj walete
Screenshot_20240522_193247_WhatsApp.jpg
 
Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mm mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha.

Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
Dear ni nini kwako? Mawazo yako yamekaa kinyege nyege tu.

Dear kwa tafsiri nyepesi ni Mpendwa.

Mpendwa katika Kristo
Mpendwa katika Bwana.

Au wewe ukisikia mpendwa basi unaelewa ni mpendwa katika kwichi?

Hata hivyo, kama hulipendi basi mshirikishe mhusika.

Ndugu, mimi sipendi unavyoniita 'Dear'. Badala yake ni-address kama 'Ndugu'.
 
Back
Top Bottom