mimi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwakweli Mimi hapa lazima nikusumbue tu

    "Nimeshakutumia Whatsapp na usinisumbue" Kwakweli Mimi hapa lazima nikusumbue tu, eti Otikiiii 😂 😂 🤣
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nimehitimu Kidato cha Sita, nina lengo la kusomea sheria. Vigezo vyake vinakuwaje?

    Mm mwanafunzi niyemaliza kidato cha sita ninalengo la kusomea sheria vigezo vyake vinakuwaje kulingana na ufahulu
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Unajua mimi ni nani?

    "Kuwa Makini kijana nitakupotezaa"
  4. Nahman

    JamiiForums Tanzania Furaha ilioje, leo mimi ni baba wa mapacha!

    Natumaini ni wazima ndugu zangu Asante mungu kwa zawadi hi kubwa ya kihistoria kwenye maisha yangu Kwa hakika mungu akubaliki wewe mwanamke uliebeba viumbe hivi tumboni kwako. Hadi sasa natafakari zawadi ya kukupa nakosa. Ulinipigia na kuniambia, Nahman unaendeleaje na kazi. Hongera tumepata...
  5. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mimi sio single tena

    Nadhani heading mmeiyelewa . Asanteni na usiku mwema. So nimewahiwa na mtu ninayempenda. Mafree manson naombeni mniache,namuache kutumia watu(group la makafara ) niacheni tafadhali. Mniache kwa damu ya yesu kristo.
  6. Surya

    JamiiForums Tanzania Upendo una viwango, nimegundua mzazi wangu ananipenda kwa kiasi kidogo sana

    Hivi kama mzazi anaweza kukubali mwanae afanye kazi ya ukaaba ili nyumbani wapate chakula na kulipa madeni hapo kuna mzazi kweli ? Mazazi ukiwa huna kitu mfukoni, ni anakutukana na kukukashifu kila wakati na kukutumikisha kama mtumwa, siku ukizipata anajileta kama mzazi sasa na yeye anaanza...
  7. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Ni Mimi tu au wote tunaona Pacome bado hajapona na ana struggle sana kucheza

    Kwa mechi kama tatu tangu arudi uwanjani baada ya kelele kuwa nyingi bado naona Pacome hajawafiti kucheza game tough na game ya final FA anahitajika sana nadhani game ijayo atapumzika. NB: Hawa wachezaji walindwe au wajilinde na vishangazi aina ya mobeto vile havijui chochote kuhusu mpira...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva wa tax mtandao yaan Bolt au Uber

    Mimi ni dereva wa tax mtandao naishi kinondoni naitaji gari ya mkataba ninauzoefu wa udereva miaka saba Kwa mawasiliano 0677938003 0658755355
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Adhalilishwa kwenye ziara ya Makonda, aambiwa "Usiongee na mimi hivyo, nina mke mzuri"

    Hivi ndivyo watendaji wanavyodhalilishwa kwenye ziara za hawa wanaoitwa Wateule wa Rais Bila shaka huu ndio utatuaji mpya wa kero
  10. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya watoa huduma hasa wanawake customer service zao sio nzuri

    Hivi ni mimi tu sipendi kuhudumiwa na wanawake ofisi za umma au na wenzangu mpo kama mimi? Binafsi nikikutana na mwanamke ofisi ya umma au hata baadhi ya ofisi binafsi hasa wanaotoa customer service huwa huwa navunjika moyo sana. Watoa huduma wengi hasa wakike Tanzania wana customer service...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Tukipeana namba na mdada halafu akatumia neno "dear" katika kuchat na mimi siku 3 za mwanzo, huwa nam-delete fasta

    Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha. Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bayport na Banc ABC wanapata wapi namba zetu za simu na kutumbua na meseji zao?

    Mimi ni mtumishi wa serikali. Kuna malalamiko yaliwahi pia kuandikwa hapa siku za nyuma lakini lile tatizo nadhani limezidi maradufu. Kampuni za mikopo mfano Bayport, Manoto Bank, ABC na zingine zimekuwa zikituma meseji za huduma zao wakati sijawahi kujiunga wala kujaza fomu zao. Kwa mfano hao...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania HESLB: Fedha za kujikimu (Chakula na Malazi), Wanafunzi kuanza kupokea kuanzia Jumatatu, Mei 20, 2024

    UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA FEDHA ZA KUJIKIMU KWA ROBO YA NNE Ijumaa, Mei 17, 2024 Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu na umma kuwa tunakamilisha malipo ya fedha za kujikimu (Chakula na Malazi) kwa robo ya nne (Quarter IV) na wanafunzi watarajie kupokea fedha...
  14. Maleven

    JamiiForums Tanzania Ni mimi pekee ndiyo nina maamuzi ya kijinga?

    Kuna jambo lina cost kma elf 60, kila siku nalipa tar kua sina hela. Leo kuna binti kakubali kwenda out na mimi nimetoa laki 2. Safari imeishia kati binti kapata dharura, nimerudi nyumbani na ile hela ambayo ingeenda kutumika huko, ila bado naona ugumu kuitumia kwa lile jambo la 60. Why kwake...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Ni mimi peke yangu? Nilikuwa na marafiki wa nguvu lakini kadri navyozidi kuwa mtu mzima nauona urafiki sio kitu cha kukipa sana uzito

    Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Airtel internet ina tatizo gani? Siku nzima sipati internet kwenye simu yangu. Je, ni mimi tu ama na wengine pia?

    Habari wadau. Leo Airtel internet imenigomea kabisa. Je, ni simu yangu ndio ina shida ama wengi imewakuta hiyo hali ? Cha kushangaza simu hiyo hiyo nikiweka data line ya voda. Mtandao unafanya kazi vizuri
  17. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Kama hakuna atakayezungumza ukweli kuhuru Iran mimi nitazungumza

    Huu uzi umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine. Eti nini? Eti hali mbaya ya nini? LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN imeshushwa kwa space laser. Naomba unionyeshe hiyo "hali mbaya ya hewa" Hii chopa imeshushwa na sio ajali. I think...
  18. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Katika hili mimi nimeona madhara kwa afya ya binadam tu. Kwani kuna lingine?

    Mahala ambapo takataka zimemwagwa na hazijazolewa muda mrefu hupelekea harufu mbaya hata mlipuko wa magonjwa. Je kwenye eneo hilo kama kuna nguzo ya umeme nayo inaathirika? Tazama picha hapo chini.
  19. A

    JamiiForums Tanzania TANROADS na Mamlaka za Majiji wanavyo mzalilisha Makamu wa Rais kwa uharibifu wa mazingira

    Siku hizi kumezuka Tabia za malorry makubwa kwa magari kuegeshwa pembezoni mwa barabara au kwenye njia za waendao kwa miguu, hivyo kujaribu mazingira, kwani sehemu hizo sio hazikujengwa kuhimili uzito huo na kwa madhumuni hayo na pia zina kiuka haki za watumiaji wengine wa sehemu hizo, iwe...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi, Mimi ni IT expert with five years experience at work

    Mimi ni IT expert Nina experience ya hii field miaka mitano sasa Nina uzoefu wa nyanja mbali mbali Kama Networking, IT SUPPORT ,Security system, System developer kama kuna ajira yoyote kuhusu IT naweza do iyo kazi private company, or any other institution
Back
Top Bottom