Inakuwaje WanaJF
Kutokea January ya mwaka huu nikasema ngoja niingie life la kijiweni duh! Aisee
Watu wanatukana vibaya to the maximum yani mpaka mimi najishtukia hawa washkaji wananiona wa kuja kweli yani. Maana ni mtu nimepoa tu responds zangu kawaida tu
Yani matusi hadi fujo, story...
Amani iwe kwenu wakuu
Huyu kiumbe aliyepewa tenda ya kusambazaa msg za SITAPELIKI kanishinda tabia
Kwa siku ana weza tuma msg hata kumi kwenye lain moja bado lain nyingine
Leo nimekuja mbele ya kadamnasi kuomba atosheke sasa na mimi naahidi kuwa sitatapelika kamwe
Asante sana
Kwaresma...
Unajua watanzania Katika uhalisia watanzania tuliomba tume huru tukapewa jina la tume pekee na kuitwa "huru" wakati jina haliwezi kuifanya tume iwe huru, hii ni kama wenye mamlaka wamekwepa uwajibikaji, demokrasia na haki ili kusalia zaidi madarakani kwasababu jina haliwezi kuleta demokrasia...
Nionavyo mimi kule WHO kanda ya africa ni mahali sio pazuri kupeleka mtu kwa Tanzania tumeshapoteza watu wawili mysterious na sote tumewazika bila kujiuliza why haya yanatokea...
Wakati kwa Tz tuna fanya siasa kwenye hii nafasi basi tukumbuke hii nafasi ni nafasi ya hatari na kama mnataka mpata...
Kwa ufupi ni kwamba huyu binti tumejuana miaka kumi na moja imepita, Mimi nilikua advance yeye alikua madarasa ya chini, offcourse tumepitia vingi sana kuzinguana hapa na pale, kuna kipindi hapo kati nikaanza mitikasi ya kutafuta mke nioe, maana niliona huyu Mwanamke kama uchumba migogoro ni...
Katika maisha kuna changamoto nyingi Sana Ila kubwa kuliko yote ni pale nilipooa na miaka 35 na ajira yangu ya kwanza niliipata na miaka 34.
Nb nilimaliza chuo 2007 and I became jobless na mwaka 2012 nilisoma diploma ya ualimu pale university of Zanzibar na kumaliza 2014 na 2015 nikapata ajira...
Mimi umri wangu ni miaka 40 na zaidi kidogo, naish Dar es salaam na nimezaliwa hapa hapa Dar japo mie sio mzalamo,
Siku moja miaka 10 iliyopita nilipokea taarifa kuwa dada yangu wa mwisho kuzaliwa kwenye tumbo letu ni mjamzito na mimi kaka mkubwa kwenye familia nafichwa, sababu dada alikuwa...
Kama mada inavyojieleza, nilikua nafanya kazi na kampuni flani sasa kuna hela kidogo nliitumia kwa kutegemea nitailipa kadri ninavyoendelea kufanya kazi
Sasa ghafla jamaa wakaniachisha kazi wakati bado sijamaliza lile deni na sikuwa nalipwa mshahara ni commision tu ambayo ndo nlikua naitumia...
Jf, kuna watu wametu-inspire, mambo mengi bila hata wao kujua. Kupitia mada hii wataje/mtaje member, aloku-inspire ktk jambo fulani.
LIST YANGU:
1. WALONI-INSPIRE KTK SANAA YA UANDISHI
Robert Heriel Mtibeli, MALCOM LUMUMBA, yoga, Nifah, Da'Vinci.
2.WALONI-INSPIRE KTK UCHESHI
Ushimen, KENZY...
Suala hili limekua likikejeliwa na ccm bila kuja na hoja zenye mashiko.
Hoja zangu ni hizi:-
1. Kwa upande wangu mimi, nikiangalia kwa upande wa vyama vya upinzani nabaini kwamba ni kichaa peke yake ndio anaweza kushiriki uchaguzi wa October, 2025 akiwa anajua kwamba asilimia 85 ya wagombea...
Kila nikiangalia Picha za Matukio mbalimbali ya Haji Manara na Mkewe Zaylisa naona ni kama vile Haji Manara ni Mtumwa Tukuka, analazimisha Kupendwa na Mkewe Zaylisa halafu ananyenyekea kiasi kwamba huenda hata huwa anampigia Magoti Mkewe Zaylisa ili asimuache.
Na hata nikimuangalia Mkewe...
HOTUBA YA VIRUSI VYA UKIMWI (MTOTO PEKEE WA KIUME WA MZEE UKIMWI)
VVU amesimama jukwaani mbele ya wanadamu, anasema;
"Najua mnanijua ila leo nataka mnijue zaidi. Watu wengi huko mitaani wamenipachika majina ya utani wananiita miwaya, taa, ngoma, kisiki, gonjwa kubwa, na majina mengine...
1..Simba haipangi matokeo kwa namna yoyote Ile, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI
2....Simba Haina reserved team kama upande ule, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI
3....Simba ndio timu pekee iliyobaki kwenye mashindano ya Caf, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI
4....Waambie huo upande wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.