Ni kweli No Reform No Election inatakiwa kutekelezwa na Mamlaka LAKINI siyo kwa mwaka huu wa Uchaguzi.
CHADEMA ijipange baada ya uchaguzi wa mwaka huu kwa No Reform No Election mpaka mabadiliko yapatikane kuaanzia Katiba hadi Tume Huru ya Uchaguzi.
Uchaguzi wa mwaka huu kama inavyoonekana CHADEMA watapata Wabunge wengi kitu ambacho siyo haba na hawa watapaza sauti zao Bungeni mpaka kieleweke.
Mhe. Lissu tunakupenda na kukuamini kwa ujasiri wako, mapenzoi yako kwa Chama, uadilifu wako na hivyo nakushauri CHADEMA iingie kwenye uchaguzi ujao na ninaamini Chama kitapata Wabunge wengi.