mimi

  1. Knock life

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni kama mimi unawasiliana na watu wakubwa kama hivi ?.

  2. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Binafsi nikiona mtu Personality yake imemezwa na ushabiki wa Simba na Yanga huwaga napata mashaka na IQ yake

    Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu yake ya aidha simba au yanga bali utakuta ni udaku Akitoka kwenye kijiwe hicho cha kahawa akasogea...
  3. tamu 3

    JamiiForums Tanzania NILIME MIMI SHAMBANI

    NILIME MIMI SHAMBANI 1............. Nilime mimi shambani, jua kali linawaka, Majasho yanitokeni, mwili wote umechoka, Kutwa ninalinda nyani, wanasumbua hakika, Nilime mimi shambani, bei wanapanga wao. 2............ Ng'ombe wa bwana Shabani, wala mazao shambani, Yanipasa kulindeni, mawio na...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025

    Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika. Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku 🏟️ New Suez Stadium Kaa karibu kwa Live updates Vikosi vya timu zote (Team news) Mechi imeanza 4' Mashambulizi kwa...
  5. Hussie

    JamiiForums Tanzania Hellow! Mimi ni new member hapa

    Nawapenda
  6. Atukuzwee

    JamiiForums Tanzania Mrejesho ungekua wewe ni mimi ungeweza? nimeambatanisha na picha kama ushahidi

    Kuna watu ni wagumu saana kuelewa wanadai kwamba kisa changu nilicholeta ni cha uwongo mrejesho na ushilahidi huu hapa
  7. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kinyamkera

    Habari ndugu zangu hapa jukwaani pia Eid Mubarak. Natumai umzima wa Afya uku unakula Eid yako vizur kabisa Naam leo nawaleteya kinyamkela nataka ujue kinyamkela ni kitu cha namna gani Kinyamkela ni nini mzimu wa kizaramo wengine wanasema. Kinyamkera ni mzimu ambao hutumiwa kwa shuguli kama...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hivi waungwana hii Stendi ya Nzega Mjini ndio ya Sh Bilioni 4 kweli? Au mimi sijui kuthaminisha vitu!

    Ndugu zangu, huu mjadala ulikuwa chinichini ila sasa naona kumbe hata huko X watu wanajadili kama vile mimi na wanangu tulivyokuwa tukijadili, kwahiyo ndio ukweli kwamba Shilingi Bilioni 4.327 zimemwaga kwa miundombinu hii? Pia soma ~ Waziri Mkuu Majaliwa azindua Stendi ya Sh Bilioni 4.3...
  9. Fene

    JamiiForums Tanzania Aisee Watanzania tunatukana, hivi ni kawaida au?

    Inakuwaje WanaJF Kutokea January ya mwaka huu nikasema ngoja niingie life la kijiweni duh! Aisee Watu wanatukana vibaya to the maximum yani mpaka mimi najishtukia hawa washkaji wananiona wa kuja kweli yani. Maana ni mtu nimepoa tu responds zangu kawaida tu Yani matusi hadi fujo, story...
  10. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania SITAPELIKI asanten hizo msg zinatosha sasa na mimi nawaahidi sitatapeliwa. Asanten sana mumetosha sasa

    Amani iwe kwenu wakuu Huyu kiumbe aliyepewa tenda ya kusambazaa msg za SITAPELIKI kanishinda tabia Kwa siku ana weza tuma msg hata kumi kwenye lain moja bado lain nyingine Leo nimekuja mbele ya kadamnasi kuomba atosheke sasa na mimi naahidi kuwa sitatapelika kamwe Asante sana Kwaresma...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mimi sitambui tume huru kama tume itakayoenda kufanya haki au kama tume iliyopo kihalali hivyo kushiriki uchaguzi ni usaliti wa taifa

    Unajua watanzania Katika uhalisia watanzania tuliomba tume huru tukapewa jina la tume pekee na kuitwa "huru" wakati jina haliwezi kuifanya tume iwe huru, hii ni kama wenye mamlaka wamekwepa uwajibikaji, demokrasia na haki ili kusalia zaidi madarakani kwasababu jina haliwezi kuleta demokrasia...
  12. Carasco Putin

    JamiiForums Tanzania Mimi yanga damu ila ukwel mchungu

    (1)SIMBA INAKWENDA MISRI (2)TAIFA STARS INAKWENDA 🇲🇦 MOROCCO Yanga anaenda Singida.
  13. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Wezi watakuja kuishika serikali na nahisi :Sio mimi ni socrate

    Nimeisoma hii hadi damu imenichemka. February 15, 399 BC alifariki na sasa watoto wao wanataka washike madaraka⁷
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mimi, nisingeruhusu Prof. Janabi agombee WHO kanda ya Africa

    Nionavyo mimi kule WHO kanda ya africa ni mahali sio pazuri kupeleka mtu kwa Tanzania tumeshapoteza watu wawili mysterious na sote tumewazika bila kujiuliza why haya yanatokea... Wakati kwa Tz tuna fanya siasa kwenye hii nafasi basi tukumbuke hii nafasi ni nafasi ya hatari na kama mnataka mpata...
  15. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Navukaje hapa? Huyu mke mtarajiwa hana muda na mimi kabisa

    Kwa ufupi ni kwamba huyu binti tumejuana miaka kumi na moja imepita, Mimi nilikua advance yeye alikua madarasa ya chini, offcourse tumepitia vingi sana kuzinguana hapa na pale, kuna kipindi hapo kati nikaanza mitikasi ya kutafuta mke nioe, maana niliona huyu Mwanamke kama uchumba migogoro ni...
  16. Doto12

    JamiiForums Tanzania Mtu ameniblock na mimi nika mbock

    Yaani eti alinipa namba naipiga ameni block hii inamaana gani. Namimi nikaiblock. Sasa sijui nini nitatokea
  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mimi nilimaliza chuo na miaka 33 kipata ajira na miaka 34 nikaoa na miaka 35

    Katika maisha kuna changamoto nyingi Sana Ila kubwa kuliko yote ni pale nilipooa na miaka 35 na ajira yangu ya kwanza niliipata na miaka 34. Nb nilimaliza chuo 2007 and I became jobless na mwaka 2012 nilisoma diploma ya ualimu pale university of Zanzibar na kumaliza 2014 na 2015 nikapata ajira...
  18. Askarimaji

    JamiiForums Tanzania Siku niliyoamini kweli mimi mjomba ni sawa na mama😊

    Mimi umri wangu ni miaka 40 na zaidi kidogo, naish Dar es salaam na nimezaliwa hapa hapa Dar japo mie sio mzalamo, Siku moja miaka 10 iliyopita nilipokea taarifa kuwa dada yangu wa mwisho kuzaliwa kwenye tumbo letu ni mjamzito na mimi kaka mkubwa kwenye familia nafichwa, sababu dada alikuwa...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Je , tutapata fidia ya gharama tulizotumia? Mfano mimi nimeendesha gari toka Igunga mpaka Lupaso stadium.

    Gharama kubwa sana nimetumia. Nimeendesha zaidi ya km 1000 alafu Dabi linaahirishwa kihumi. Nani atafidia gharama zangu?
  20. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Nadaiwa na kampuni wameacha kufanya kazi na mimi na sina mchongo wa kupata hela ya kuwalip kwa sasa je endapo nitapelekwa mahakamani sheria inasemaje

    Kama mada inavyojieleza, nilikua nafanya kazi na kampuni flani sasa kuna hela kidogo nliitumia kwa kutegemea nitailipa kadri ninavyoendelea kufanya kazi Sasa ghafla jamaa wakaniachisha kazi wakati bado sijamaliza lile deni na sikuwa nalipwa mshahara ni commision tu ambayo ndo nlikua naitumia...
Back
Top Bottom