RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22, imebaini katika Mamlaka 19 za Seri kali za Mitaa, , wanafunzi 23,009 wamekatisha masomo yao shule za sekondari kutokana na ujauzito, huku Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ikiongoza.
Katika shule za msingi...
MIMBA KUTOKA; HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA KUPATA MTOTO SALAMA.
Anaandika Robert Heriel
Yule Shahidi
Binti yangu endapo utakutwa na mkosi wa Aina Hii, naamn ndio Tatizo la mimba kutoka basi Mimi Baba yako sikukusahau katika hili. Tena Kijana wangu ikiwa Mkeo utakayemuoa, unayempenda, atakuwa na...
Habari JF, mke wangu mimba yake ilitoka ikiwa na mwezi mmoja. Lakini tangu itoke ni mwezi sasa na bado anatema mate mengi sana. Je inaweza ikawa ni dalili ya nini?
Ni mimba au inaweza ikawa tatizo lengine?
Nianze kwa kukupa ‘intro’ ya stori kabla sijakushushia mkeka kamili, ipo hivi hapa mtaani kwetu kuna mtoto wa kike wa Shule ya Msingi Barracks, Dar es Salaam, amefanyiwa ukatili kwa kubakwa na watu watatu katika nyakati tatu tofauti.
Hapa ninavyoandika mistari hii huyo binti haendi shule tena...
Mahakama Nchini #GuineaBissau imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini kuwa Madaktari hao walihusika na matendo hayo dhidi ya M'Mah Sylla, aliyebakwa akiwa Hospitali na kuhamishiwa kutibiwa Nchini Tunisia mwaka 2021.
Waliohukumiwa ni Daniel na Patrice Lamah ambao wamepea kifungo cha miaka 15 jela na...
Kiinitete hakina haki. Haki hazitolewi na ambacho hakijaja bado bali kwa yule ambaye ameshafika. Mtoto hawezi kupata haki yoyote mpaka azaliwe. Yule anayeishi (Mwanamke) anamtangulia yule ambaye bado hajazaliwa kwenye haki kwani huyo mwanamke akiamua kujiua wote mmekosa.
Utoaji mimba ni haki...
Unaifahamu Surrogacy?
Surrogacy, au uchukuzi wa mimba, ni njia ya kusaidia wanandoa ambao hawawezi kupata mtoto kwa njia ya kawaida. Njia hii inahusisha mama mbadala ambaye huzaa mtoto kwa niaba ya mwanamke na mwanaume fulani (wanandoa hao).
Kuna aina mbili za surrogacy: "traditional...
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea sijui nakosea wapi. Nina mchumba wangu tumemaliza mwaka sasa nikimpanda ila hashiki mimba na anaingia period kama kawaida.
Nawaza labda naeza kwenda kujaribu kwa mwanamke mwingine kisha inase na sipo tayari kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya huyu.
Kama...
Mi naona hii ni mbwaimbwai....mwaga mboga nimwage ugali....anaumizwa mwanamke anaumizwa mwanaume....Yaan hapo kati Yao Kuna Kuna kakarma kametulia.Huna hatia unatelekezewa mimba ....huna hatia unabambikiwa mimba.
Aisee,Kaz iendelee
Kuna mwanamke hapa naona kama ameanza kutematema mate na nimekutana nae wiki hiihii na ofkoz ndio alikuwa kwenye tarehe za kutiwa mimba sasa hapa nisaidieni kinadada.
Kiasi cha Sh4.5 bilioni kimetumika kufanya uwekezaji wa ujenzi, miundombinu na vifaa tiba vilivyotumika kuanzisha Kituo cha Huduma Pandikizi (IVF) cha Hubert Kairuki.
Kituo hicho cha kutoa huduma hiyo kipo Bunju A jijini Dar es Salaam kikiwa na uwezo wa kufanya upandikizaji kwa watu 1,000 kwa...
'Pseudocyesis' ni muonekano wa dalili zote za ujauzito anazopata mwanamke wakati kiuhalisia hana ujauzito. Mwanamke anaweza kuwa na dalili zote za ujauzito kama kutapika mara kwa mara, shida ya kulala na hata kukosa hedhi lakini vipimo vikaonesha kutokuwepo kwa ujauzito.
Hali hii husababishwa...
Waziri Ummy Mwalimu amesema tatizo la ugumba bado ni kubwa nchini, " mpaka sasa hakuna takwimu rasmi za kitaifa ila utafiti mdogo ambao unaonesha 30% ya watu wana tatizo la ugumba, Duniani inakadiriwa kuwa kila mahusiano ya wenza wanne, mmoja kati yao anakua na tatizo la kupata watoto."
Aidha...
Mabinti wengi wanatoa mimba kwa sababu mbalimbali za msingi, lakini sio za msingi sana ukilinganisha na thamani ya uhai wa mtu unayeenda kumuua.
Kibaya ambacho wanakikwepa mabinti na wanawake ni kutokuwa na mtoto kwa wakati huo, lakini Ukitoa mimba hakukufanyi usiwe mama, unaendelea kuwa mama...
Hellow
Mimi mpaka leo sijuwagi kwanini washikaji wanakataa mimba za mademu zao ilihali wao ndio wahusika
Ujue kuna vitu unatakiwa ujiepushe navyo kwenye lile tendo mfano hutaki kuzaa na huyo mwanamke basi mwaga njee au vaa kondom au kama huwezi ukitoka hapo mpe p2 japo sio nzuri sana.
Sasa...
Jeshi la Polisi la Jimbo la Rivers Nigeria limemkamata mvulana mwenye umri wa miaka 17 aliyetambulika kwa jina la Noble Uzuchi na Chigozie Ogbonna (29) kwa madai ya kuwapa ujauzito wanawake 10 kwa ajili ya biashara haramu ya kuuza watoto.
Waliokamatwa wengine ni washukiwa wawili wa kike, Favour...
Ukisikia mtu anapatwa na msongo wa mawazo ndiyo hapa Sasa. Nimesota Sana kumpata mtu sahihi (wife material).
Hivi karibuni nimekata shauri kumchumbia mdada fulani baada ya kuwa na vigezo karibu vyote ninavyohitaji, na kuamua kupeleka barua ya posa.
Baada ya siku 3 tu napata sms ya danga...
Ni takribani miezi miwili sasa tangu nikutane na binti flani kamaliza kidato cha sita mwaka jana ila kwakuwa hakuwa na ada imebidi awe anakwenda kuuza duka la ndugu yake asubuhi na kurudi saa 12 jioni kila siku kasoro jumapili.
Duka lilipo sio mbali sana na ofisi yangu, nilipomwona huyo mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.