mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa kike kidato Cha 6, kanifata kanambia Ana MIMBA Ina wiki 3(ushauri hapo)

    Habari wanajukwaa! Mwalimu mmoja anaefundisha Jangwani girls, amenifata kuniomba nimshauri kitu! Kuna mwanafunzi kamfata leo ,kanambia Ana tatizo ,kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge, Ila mwl.kagoma na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya...
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake mliowahi kubeba mimba, hivi ni kweli mimba zina kisirani au mnajiendekeza tu?

    Mambo vp wadau Kiukweli kila nikitafakari mambo anayoyafanya wife nashindwa kuamini kama ni kisirani cha mimba ama ni kama kawaida yenu wanawake mnapenda kujiendekeza. Wife amekuwa mtu wa kulalamika kwa mambo madogo madogo na kulia lia tu kwa vitu vya kawaida. Kwa kweli kama mwanaume sio...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, jini mahaba, wachawi na popobawa wanaweza kubikiri na kumpa mtu mimba?

    Tukiachana na tereza wa kule Kigoma ambao ni wanaume ambao walikuwa wakitembea uchi usiku huku mwili mzima wakiwa wamejimiminia mafuta ya mawese kisha kwenda kwenye majumba ya watu, kuvunja milango na kisha kuwaingilia wanawake kimwili, ambapo mwanamke akishtuka hutoka mbio na hawakamatiki...
  4. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Maoni, mitazamo kuhusu sheria ya utoaji mimba kwa wanaopata ujauzito bila ridhaa yao

    Wiki iliyopita katika makala ya Sheria ya katazo la Utoaji Mimba Tanzania dhidi ya uhalisia wa maisha halisi ya mtaani nilielezea kuhusu uhalisia ulivyo kwa sasa wa matukio mengi ya unyanyasaji wa kingono yanayotokea kwenye jamii zetu. Makala iligusia jinsi Wasichana wadogo wanavyobebeshwa...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Katazo la Utoaji Mimba Tanzania na uhalisia wa maisha mtaani

    Miaka inavyosogea ndivyo mabadiliko ya digitali yanazidi kushika kasi, mabadiliko hayo yanaenda sambamba na mabadiliko ya vyakula, vinywaji na dawa zinazotumiwa na binadamu. Hivyo ndivyo ambavyo magonjwa yanayohusu afya ya uzazi yamekuwa yakiongezeka, hii ni kwa jinsia zote Wanaume na Wanawake...
  6. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Dawa ya kutoa mimba ya miezi mitatu

    Wakuu, sheria inasema anayetoa au kutolewa mimba wote hao wanaweza kukabiliwa na kifungo cha mpaka miaka 7+ jela. Mimi kwenye harakati za kupitapita nilipita sehemu isiyopitika, nikakutana na kitoto cha watu nikajilia vyangu. Kitoto kilianza kuumwa umwa tukajua jambo la kawaida, sasa leo...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Aliyejaribu kumhonga baba mtu baada ya kumpa mimba binti yake, akana kosa hilo mahakamani

    Mchimbaji wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Erick Peter (39) amefikishwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi Simanjiro na kusomewa shitaka la kumpa mimba mwanafunzi wa shule ya sekondari Tanzanite. Peter amesomewa shitaka hilo na mwendesha mashitaka...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kiteto: Ampa mimba mwanaye kwa kuwa alikuwa hataki aolewe na Wakamba

    Jela miaka 30 kwa kumpa mimba mwanae Mahakama ya Hakimu Mkazi Kiteto, imemhukumu kifungo cha miaka 30, Yerenia Chidaka, mkazi wa Kijiji cha Dongo wilayani humo, baada ya kumtia mimba mtoto wake wa miaka 16. Mtuhumiwa amekiri kosa hilo hii Septemba 7, 2022, mbele ya Hakimu Mkazi Mosi Sasy, na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utoaji mimba usio salama ni chunusi anayeendelea kunywa damu za mabinti zetu

    Kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO visa vya utoaji mimba takribani milioni 25 hutokea kila mwaka kote duniani, huku nusu ya visa hivyo ambavyo hukadiriwa kama milioni 12 pekee hutolewa kwa njia salama na nusu yake hutolewa kwa njia isiyo salama. Utoaji huo wa mimba usio salama kote...
  10. IgKim

    JamiiForums Tanzania Damu wakati wa mimba

    Naomba wataalamu watuambie ni vyakula gani mwanamke anaweza kula akaongeza damu haraka wakati wa ujauzito au ni dawa gani zinazoweza kumfaa kuongeza kiwango cha damu naomba jibu wataalamu.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nina Mpango wa kuitoa hii mimba! siko tayari kabisa kulea mtoto asiye wangu

    Nimejaa hasira asubuhi asubuhi yani wakuu, Naombeni ushauri japo naweza kuchukua maamuzi mengine. Huyu mwanamke nimefahamiana nae Toka mwezi wa 4 mwaka huu na alikua anaishi.mbali sana na mimi. Baada ya.mda kwenda tumekutana mwezi wa 8 tarehe moja, tukapima afya tukawa tuko vyema tu. siku...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa watoto wa kike ambao wanapewa mimba na kuzalia kwao ndo wanakuza umasikini katika familia

    Tafsiri ya umasikini ni laana. Yaani nimeangalia Familiya za kibongo watoto wa kike ndo wanaleta umasikini yaani mtu anazalia kwao bila hata Aibu Yaani wazazi wamekulea Kwa shida bado unashindwa kuolewa unaishia kuzalia kwenu huku baba wa mtoto hachangii chochote Unazaa mtoto then hujui nani...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maisha huanza baada ya siku 1,000 za kwanza za mtoto yeyote aliyezaliwa

    Maisha huanza baada ya siku 1,000 za kwanza za mtoto yeyote aliyezaliwa kutoka mimba hadi umri wa miaka miwili. Hakuna nyara katika kufanya hivyo kwa wazazi, lakini athari zake ni za thamani. Tena, kwa sababu wewe si mzazi huyo au ulilelewa kizembe katika utoto wako, haimaanishi kwamba...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Njia mbalimbali za asili za kudhibiti/ kukinga/ kuzuia mimba

    📢📢Wananzengo mpo📢📢 Uzazi wa mpango wa asili ✨Kukwepesha Msome mtu wako, anapokaribia kufika kileleni... Msadie amwage nje ... Utamjua kwa joto lake la mwili, kukakamaa na yeye kufunga macho au kurembua kama anakata roho😂😂😂 ✨Mbegu za mpapai Tafuta mapapai kama sita... Toa mbegu zake...
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wanawake mnataka wanaume wenye pesa Sasa inakuaje mnapata Mimba badala ya pesa?

    In short wanawake mnatia Huruma Sana. Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa . Njia ya Mtu Kupata pesa ni kufanya Kazi hayo Mambo mengine mnajidanganya. Kwasababu tangia Mtu adange lakini Unakuta Mambo Ni 0-0 Wanawake fanyeni Kazi huku...
  16. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa MIMBA ni hatari kuliko DHAMBI

    Ulimwengu wetu uko kasi sana, ukiangalia tulikotoka na tunakoelekea utashuhudia mwenyewe. Kwa sasa kuna matangazo mengi sana ya jinsi ya kutumia uzazi wa mpango na matangazo elimu kwa vijana juu ya njia za kujikinga na kupata mimba. Kwanini elimu hii isitolewe kwa wanandoa? Unamfundisha mtoto...
  17. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwaka huu pekee nimewadunga mimba wanawake watatu, sipati usingizi

    Mwezi wa March mwaka huu Somoe alinipigia simu kuwa Valentine day imejibu,maana tulioelekeana moto akiwa kwenye danger days, Nikamwambia wow! Haina shida nitalea. Mwezi wa sita ndani ya wiki mbili Herieth na Tina nao wakasema hawazioni siku zao Uwezo wangu ni mdogo sana kulea hizo mimba tatu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala mkali Baraza la Seneti Marekani: Je, ni nani ana uwezo wa kupata mimba? Hiyo ndiyo kazi wanayolipia walipa kodi wa Marekani

    Hivi karibuni kulikuwa na mjadala mkali sana kwenye baraza la seneti. Kwenye baraza walitaka kuainisha ni watu gani hasa wana uwezo wa kupata mimba ili wanapopanga bajeti ihusianayo na masuala ya uja-uzito wajue hili suala linawahusu watu wangapi? Republican wakasema wale tu ambao walizaliwa...
  19. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Amempa mimba mwanafunzi, akamnunulia dawa za kutoa-hakuzitumia. Sasa anaomba ushauri!

    Ni kijana ambaye nilikutana naye mahali fulani wakati nahitaji huduma fulani. Nilipofika nilimkuta anaongea na simu, kwa kuwa nilikuwa sina haraka nikamwambia amalize kuongea atanihudumia wakati huo mi nimepumzika kidogo kwenye benchi. Sikuwa najisikia vizuri sana kutokana na vurugu mbalimbali...
  20. sepema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vunja chaga, mwaga jasho la damu ila mimba inapatikana siku ambayo hamkupanga

    Wakuu salaam, Niliwahi kubishana na rafiki zangu kadhaa kuhusu siku ya mwanamke kushika mimba.Rafiki zangu hawa ni wakike kwa wakiume. Wao walikuwa wanadai kuwa mwanamke hupata mimba kwa urahisi zaidi katika kipindi ambacho yeye na mwenza wake hawakupanga. Kwa upande wangu nilikuwa nawaeleza...
Back
Top Bottom