Kwanini kutoa mimba ni kosa?

SimbaMpole123

JF-Expert Member
Apr 23, 2023
5,240
4,376
Watu wengi wakiulizwa kuhusu kutoa mimba wanasema hoo sijui unaua kiumbe Cha Mungu. Sasa Nina maswali.

1. Mtoto anaanza kuwa na mawazo na viungo muhimu na maumivu katika miezi mitatu ya mwisho.

2. Hamna mtu anakumbuka chochote kabla ya kuzaliwa this shows haukuwa unaishi ndo maana hatuhesabu umri tokea tumboni.

3. Kama mnasema sijui Hilo yai linaenda kuwa mtoto na hivyo unaua sijui angekuwa Waziri, Sasa mwanamke ana cycle ya kuua yai kila mwezi so Mungu anaua mtoto kila mwezi Ila hataki wewe uuwe.

4. Na Kama puchu pia ni kuuwa watoto mbona zinatoka zenyewe usipopiga kwa mda mrefu it shows ni natural hizo kutoka.

5. Hizi sperms zenyewe zipo billions Ila moja tu inazalisha inamaanisha Mungu anaua watoto billion kila sekunde.

6. Kwenye Bible Kuna story ya mwanamke ambae mme wake alisema kacheat ikabidi pasta amnyweshe kinywaji ambacho Kama amecheat mimba itaharibika na mtoto akafa na kweli ikawa hivyo. Inamaanisha kwenye Biblia inaruhusiwa kutoa mimba Kama ni nje ya ndoa?

7. Kama issue Ni kuua watoto wasio na hatia, Mungu kaua watoto kibao kwanzia story ya Nuhu, story ya Sodom na gomora, wamisri waliokufa(kila mtoto wa kwanza), sehemu ambazo waisraeli walitumwa kuua kila mtu isipokuwa wanawake bikra. Sasa Kama Mungu Ni muuwaji wa watoto wengi hivi kwa Nini mnasema anataka watoto waishi.

8. Dunia ya zamani mpaka kipindi Cha Yesu Kati ya watu 100 wanaokufa 50 walikuwa watoto Ila now ni watatu ndo watoto. Sasa kama shida ni kutoa mimba mbona kipindi ambacho dini ilikuwa inashikwa watoto walikufa Sana kuliko Sasa hivi.

9. Statistics zinaonyesha nchi ambazo zimekataza kutoa mimba ndo zinaongoza kutoa mimba kuliko zilizoruhusu na ndo Zina hasara kubwa kwenye mambo ya afya ya mama na watoto, ukimwi, vifo, watoto wa mtaani n.k wakati nchi zilizoruhusu Zina afya Bora.

Hitimisho: sio kila kitu mnakibeba Kama kilivyo na kukichukulia kama sheria vitu vingine angalieni.
 
Tu assume time hii wewe ndio unatolewa tumboni kwa Bi Mkubwa wako na Daktari mkali ya hayo mambo.
 
Hahaha watu mbona mnauliza maswali ya kijinga asa ndo Nini.. nisingekuwepo kwani nilitaka kuwepo imetokea by chance ndo nipo Sasa.

Ukisema hivyo unakuwa contradict coz sitajua Kama abortion imefanywa au haijafanywa Kama sperm alivyohajui Kama asingedondoka nje ya yai angekuwaje.

Tuendelee kwa hoja sio kwa personal emotion...eti ungekuwepo.

Haya we bila wazazi wako kufanya mapenzi ungekuwepo...swala la kuwepo au kutokuwepo halitegemei abortion peke yake. So put it out.
 
Back
Top Bottom