Mrejesho: Mpenzi wangu hana mimba yeyote

Jiko Koa

JF-Expert Member
Jan 7, 2023
228
763
Nashukuru Sana dada na kaka uliyenishauri Jana ingawa 90% ya advance zilikuwa za kunipopoa.

Jana niliomba ushauri baada ya mpezi wangu kuniambia anahisi ana mimba.

Jioni hii nimefanikiwa kumpima MWENUEWE, nimehakikisha amekojolea kwenye kisado akiwa mbele yangu, nikampima na majibu yakaja negative.

Amesema haamini kipimo Cha jioni hivyo turudiane asubuhi.

Kesho asubuhi utaratibu utaratibu ni ule ule wa kuhakikisha amekojoa mbele yangu. Hakuna kumpa gepu.

Pia soma:
- Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali, mpenzi wangu ana mimba
 
Kuna mdada juzi kaja kwangu nikamtindua nikamlipia nauli kaenda dar kafika tu baada ya wiki nikatumiwa kipimo cha mimba mistari miwili akaanza baby nina mimba yako me nikamwambia hongera sana yy akaanza naogopa sijajipanga nataka kuitoa nimtumie laki nikamwambia kwetu hatutoagi mimba hivo hakuna kutoa zaa ntalelea mpaka leo hana hamu na me na mimba hana ilikuwa danganya toto anipige wananwake mtafika mbinguni mmechoka sana

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kipimo Cha Mimba kinaonyesha baada ya wiki mbili. Huyo wa wiki moja Ni wazi alitaka kukuibia
 
Kuna mdada juzi kaja kwangu nikamtindua nikamlipia nauli kaenda dar kafika tu baada ya wiki nikatumiwa kipimo cha mimba mistari miwili akaanza baby nina mimba yako me nikamwambia hongera sana yy akaanza naogopa sijajipanga nataka kuitoa nimtumie laki nikamwambia kwetu hatutoagi mimba hivo hakuna kutoa zaa ntalelea mpaka leo hana hamu na me na mimba hana ilikuwa danganya toto anipige wananwake mtafika mbinguni mmechoka sana

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

Kwa hiyo kama **** uwezekano wa mimba ina maana umetindua kavu? Haki ya nani huu ukimwi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom