milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa bei milioni 26 Tshs

    Nyumba ipo Kashai, Kashenye, Bukoba, ina vyumba vitatu vya kulala pamoja na sebule, ina umeme na maji, pia ina eneo kubwa la kujenga nyumba zaidi ya mbili, bei ni milioni 26, bei inazungumzika. Kwa mawasiliano 0752759293
  2. JamiiForums Tanzania Jengo la TANESCO Chato, kubwa kuliko la Wilaya Temeke lenye wateja milioni na nusu

    Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye mji wa wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza. Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea. Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani...
  3. JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wajameni eeh, Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania. Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake). =======
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha

    Serikali ya Tanzania imesema watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha. Hayo yamesemwa leo Septemba mosi, 2021 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba katika mkutano wake na wanahabari akibainisha kuwa lengo ni...
  5. JamiiForums Tanzania Car4Sale Jipatie Gari hii Manual Gear kwa milioni 3.5 tu

    Gari manual ni chache sanaa. wahi hii usiikose. Haina tatizo lolote na inatumika mpaka sasa. Cc 1600 engine 7A full ac. call 0683011003.. Dar es salaam
  6. JamiiForums Tanzania Mwananchi: Hamza alikuwa na msongo wa mawazo kwa kupoteza milioni 400

    Naona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa ugaidi. Polisi wangejitokeza basi kutupa muelekeo wa tukio, naamini sababu ya Hamza kufanya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania DC Suleiman Mwenda: Iramba tumepokea Milioni 500 za vituo vya afya viwili

    "Wilaya ya Iramba mkoa wa Singida kupitia tozo za miamala ya simu ambazo Watanzania tunachangia kwenda kwenye maendeleo yetu tayari tumepokea shilingi Milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa vituo viwili vya afya katika kata ya Kisiriri na Tyegelo. Tutasimamia fedha hizi ili zilete tija tarajiwa...
  8. JamiiForums Tanzania REKODI: Jezi mpya za Yanga zaidi ya Milioni 1 zanunuliwa ndani ya masaa 6 tangu zilipozinduliwa

    Habari za hivi punde ni kwamba jezi mpya zaidi ya Milioni 1 za klabu ya Yanga zimenunuliwa ndani ya masaa 6 tu tangu kuzinduliwa kwake. Eng. Hersi amethibitisha rekodi hii iliyowekwa na timu ya wananchi na kushangazwa na mapokeo makubwa ya jezi hizo mpya. Jezi hizo zinauzwa Tshs. 28,000/= kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Makato ya kutuma Shilingi milioni moja ni nauli ya kutoka Morogoro Mjini mpaka Mwanza

    Hebu tuwe serious na maisha nyie Wana ccm hivi mnaona sahihi haya MAKATO ya MIAMALA? Imagine nikitaka kufanya transaction ya milioni moja ni 40,000/= hii ni nauli ya Msamvu mpaka Nyegezi stand au stand ya Nato.
  10. JamiiForums Tanzania Milioni 400 kujenga majengo matano ya kituo cha afya cha Mtoa - Iramba

    MILIONI 400 KUJENGA MAJENGO MATANO YA KITUO CHA AFYA CHA MTOA - IRAMBA. Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea kufanya ziara ya kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi ambapo akiwa kata ya Mtoa amesikiliza kero za wananchi na kufuatilia ujenzi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Lionel Messi akubali kujiunga na PSG kwa mkataba wa miaka miwili, kulipwa £ milioni 25 kwa mwaka

    Messi (34) amekubali kujiunga na PSG baada ya kuondoka katika Klabu ya FC Barcelona aliyoichezea kwa miaka 21 Inaelezwa atasaini mkataba wa miaka 2 wa thamani ya kulipwa Paundi Milioni 25 (baada ya kodi) kwa mwaka. --- ✍Lionel Messi amefikia makubaliano na PSG kujiunga nao akiwa mchezaji huru...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Pata kiwanja kwa kuanzia milioni mbili

    Pata kiwanja 10 kwa 10 kwa shilingi milioni mbili tu eneo la mbezi mzalendo. Usafiri wa bajaji toka mbezi stend ni 1000 tu. Eneo ni kubwa hivyo unakatiwa kutokana na ukubwa unaotaka na hela uliyokuwa nayo. Kwa mawasiliano zaidi piga 0716694624
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kweli Watanzania tupo milioni 60?

    Hii idadi ya milioni 60 imetoka wapi? Kuna sensa iliyofanyika na kuonyesha tupo kiasi hicho na ambayo labda mimi ilinipita?
  14. JamiiForums Tanzania Wanaokataa chanjo ya COVID-19 sio Tanzania tu, Marekani watu Milioni 100 wamegoma kuchanjwa

    Leo mshauri mkuu wa afya wa Serikali ya Marekani Dr. Antony Fauci amesema hawafikirii kwenda lockdown nyingine lakini Marekani ijiandae kwa mambo mabaya zaidi kwa sababu ya watu Milioni 100 ambao hawataki chanjo. Fauci anasema itumike kila mbinu ya kuwashawishi, kuwaomba ili wabadili mawazo...
  15. JamiiForums Tanzania Laini za simu zaidi ya 18,000 zafungiwa kwa uhalifu

    Dodoma. Serikali ya Tanzania imefungia laini za simu 18,622 baada ya kubainika kufanya matukio ya uhalifu nchini. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndungulile leo Jumatano Julai 28 2021 wakati akifungua mkutano wa mapato na matumizi wa wizara na...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh! Tanzania yenye watu milioni 60, ina wataalam 3.3%.......kazi bado sana tu

    Hii ni kwa mujibu wa taarifa za taasisi ya elimu ya juu, kwamba Tanzania yote huko wataalam ni asilimia 3.3% ya mamilioni ya raia wake......shughuli bado sana kuelekea kwenye uchumi wa viwanda unaohitaji ndani kuwe na wataalam wa kutosha kupokea ujuzi wa wageni. ==============================...
  17. JamiiForums Tanzania Hans Pope: Manara hataki kusaini mkataba ambao atalipwa milioni 4

    Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
  18. JamiiForums Tanzania Mtatiro arejesha milioni 85 kwa Wananchi

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro, amerejesha jumla ya Sh milioni 85,463,848 ambazo Wananchi mbalimbali waliporwa na watu au taasisi mbalimbali kinyume cha sheria, hivyo ofisi yake ikafanya oparesheni za kuokoa fedha hizo. Mtanzania
  19. JamiiForums Tanzania Tsh Milioni 15 inaweza kujenga nyumba kama hii?

    Wakuu poleni na majukumu Naomba kuhuliza kwa budget ya milioni 15 naweza kujenga nyumba kama hii?? ukitoa gharama ya kiwanja
  20. JamiiForums Tanzania Waziri abaini upigaji milioni 520 za NHIF mkoani Kilimanjaro

    UKAGUZI maalum unaoendelea kufanyika katika miamala ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) umebaini kuwepo kwa ubadhirifu wa zaidi ya milion 520 mkoani Kilimanjaro. Ubadhirifu huo unaohusisha watumishi sita wakiwamo kutoka na hospitali za rufaa ya Kanda KCMC na Hospitali ya Rufaa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…