#COVID19 Wanaokataa chanjo ya COVID-19 sio Tanzania tu, Marekani watu Milioni 100 wamegoma kuchanjwa

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
2,866
2,000
Leo mshauri mkuu wa afya wa Serikali ya Marekani Dr. Antony Fauci amesema hawafikirii kwenda lockdown nyingine lakini Marekani ijiandae kwa mambo mabaya zaidi kwa sababu ya watu Milioni 100 ambao hawataki chanjo.

Fauci anasema itumike kila mbinu ya kuwashawishi, kuwaomba ili wabadili mawazo wachanjwe vinginevyo hili tatizo la covid 19 halitaisha.

Marekani hadi sasa imechanja watu milioni 150 kwa ukamilifu huku wengine milioni 40 hawajapata chanjo yote lakini kuna wengine zaidi ya milioni 100 hawataki kuchanjwa.
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
121,684
2,000

U.S. COVID Deaths Are Rising Again. Experts Call It A 'Pandemic Of The Unvaccinated'​


July 16, 20215:03 PM ET
Becky Sullivan
BECKY SULLIVAN
TwitterInstagram


The death rate from COVID-19 in the U.S. is rising steadily for the first time in months as the nation grapples with a renewed burst of cases in what's become "a pandemic of the unvaccinated," the head of the Centers for Disease Control and Prevention said Friday.

The seven-day average of new cases has increased by nearly 70% to almost 30,000 per day; hospitalizations are up 36%. And deaths from the virus have risen steadily in recent days, reversing a months-long downward trend that began in mid-January.

"There is a clear message that is coming through: This is becoming a pandemic of the unvaccinated," Dr. Rochelle Walensky, the CDC's director, said at a Friday briefing of the White House COVID-19 Response Team. "Our biggest concern is we are going to continue to see preventable cases, hospitalizations and sadly deaths among the unvaccinated."

COVID Cases In Parts Of Missouri And Arkansas Surge To Levels Not Seen Since Winter

THE CORONAVIRUS CRISIS

COVID Cases In Parts Of Missouri And Arkansas Surge To Levels Not Seen Since Winter

The upward trend in national statistics is being driven almost entirely by outbreaks in places with low vaccination rates, such as the Ozarks, Florida and parts of the Mountain West. Some counties, especially in Missouri and Arkansas, are recording more cases now than they did during the winter.

"Unvaccinated Americans account for virtually all recent COVID-19 hospitalizations and deaths," said Jeff Zients, the White House COVID-19 response coordinator. "Each COVID-19 death is tragic, and those happening now are even more tragic because they are preventable."

Article continues after sponsor message


More than 99% of recent deaths were among the unvaccinated, infectious disease expert Dr. Anthony Fauci said earlier this month on NBC's Meet the Press, while Walensky noted on Friday that unvaccinated people accounted for over 97% of hospitalizations.


About 56% of the U.S. population has received at least one dose of the vaccine, but in many counties — especially in rural America — that number is under 20% despite the widespread availability of the vaccine.

Rural Communities Fall Further Behind In COVID-19 Vaccination Rates

SHOTS - HEALTH NEWS

Rural Communities Fall Further Behind In COVID-19 Vaccination Rates

Officials said that low rate has created environments where the virus can spread relatively unimpeded, and they urged unvaccinated Americans to seek a shot as soon as possible.

"Every person matters. Every shot matters. Every shot is progress," Zients said. "It's another life protected, another community that's safer. It's another step toward putting this pandemic behind us."

Though the number of daily vaccinations nationwide continues to decline, the states currently hardest hit by the virus — Arkansas, Florida, Louisiana, Missouri and Nevada — all had higher rates of people seeking the vaccine than the national average, Zients said.

Gen Z Is Feeling 'Meh' About The Vaccine. The White House Is Calling In The Pop Stars

SHOTS - HEALTH NEWS

Gen Z Is Feeling 'Meh' About The Vaccine. The White House Is Calling In The Pop Stars

The White House has ramped up efforts in recent weeks to convince more young people to get vaccinated. On Wednesday, pop star Olivia Rodrigo visited the White House to record public service announcements, and Fauci has begun doing interviews on TikTok.

Administration officials view misinformation as a major obstacle to reaching vaccination goals. Conspiracy theories and lies about coronavirus vaccines have proliferated among right-wing media and on social media sites such as Facebook, where posts with bad information about vaccine safety spread faster than administrators can remove them.

Article continues after sponsor message


"Health misinformation has cost us lives," said Dr. Vivek Murthy, the surgeon general, at Friday's briefing.
 

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
2,866
2,000
39 lakini alikua obese, hiyo ni factor moja kubwa iliyomletea shida.

You can be young lakini kama una other pre existing medical conditions kama obesity, cancer, bp, or any other serious medical conditions, you are in a great danger.
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
121,684
2,000
Hahahahaha lakini factor ya kwamba angeweza kupata chanjo miezi mingi iliyopita hivyo kuepusha kifo chake hukuiona!? 😳😳😳 umeyasikia maneno ya mchumba wake!?
39 lakini alikua obese, hiyo ni factor moja kubwa iliyomletea shida.

You can be young lakini kama una other pre existing medical conditions kama obesity, cancer, bp, or any other serious medical conditions, you are in a great danger.
 

Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
11,990
2,000
Hahahahaha lakini factor ya kwamba angeweza kupata chanjo miezi mingi iliyopita hivyo kuepusha kifo chake hukuiona!? 😳😳😳 umeyasikia maneno ya mchumba wake!?
Hawa watu watafanya kazi ya kubadili badili magoli, hadi siku wasikie wapendwa wao wamekufa kwa corona, ndipo wataingia akili!
 

Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
11,990
2,000
Leo mshauri mkuu wa afya wa Serikali ya Marekani Dr. Antony Fauci amesema hawafikirii kwenda lockdown nyingine lakini Marekani ijiandae kwa mambo mabaya zaidi kwa sababu ya watu Milioni 100 ambao hawataki chanjo...
Hii haiwezi kuwa stori kwa nchi ambayo baadhi ya wananchi wake tangu zamani walikuwa wanapingana na maelekezo ya watalaamu!!

Hawa ni wale wale ambao walikuwa wanaandamana kupinga lockdown

Ni wale wale waliokuwa wanapinga barakoa...

Na wala sitashangaa nikisikia % ya hao ni Wafuasi wa Donald Trump!!

Na uzuri ni kwamba, ni hii arrogance yao ndiyo imewatafuna kweli kweli kupitia corona manake hadi wanakuja kushtuka kwamba kumbe hii kitu ni serious, ilishakuwa too late!!

All in all, kwa mwenye busara hawezi kuangalia wapi na wangapi wanapinga bali ataangalia ikiwa kuna manufaa yoyote kama alivyoweka BAK hiyo habari ya WP, habari hata mimi for days now nimekuwa nikiiweka hapa kutoka credible sources kama vile CDC!!

Lakini itoshe tu kusema kwamba...

Hata huyo Mungu unayemuamini wewe, kuna billions of people duniani hawamwamini!!

If you believe in Jesus, again kuna billions of people who don't believe in Jesus!!!

If you believe in Muhammad, pia kuna billions of people who don't believe in Muhammad!!

JK alisema: Akili za Kuambiwa, Changanya na Zako!!!
 

Mvumbo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
2,448
2,000
Imebidi warubuniwe na mapesa.
20210731_155359.jpg
 

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
2,866
2,000
Hahahahaha lakini factor ya kwamba angeweza kupata chanjo miezi mingi iliyopita hivyo kuepusha kifo chake hukuiona!? 😳😳😳 umeyasikia maneno ya mchumba wake!?
Mkuu chanjo haiondoi uwezekano wa wewe kufa kwa covid maana ni wengi tu wamechanjwa na bado covid ikawaua.

Wanachokisema wataalam ni kwamba ukichanjwa unapunguza risk ya kuugua sana ama kufa na sio kwamba unaondoa kabisa hiyo hatari.

Chanjo ni sawa na risk management, you can not avoid or escape risks but you can minimise the risk to a leval you can easily manage.

Kwa kiswahili ni sawa na kusema utajikwaa lakini hautaanguka na hata ukianguka hautaumia lakini inategemea nimeangukia wapi.
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
121,684
2,000
Hakuna nilipoandika hivyo lakini data za wanaokufa na Covid 99% ni wasio na chanjo. Akili mkichwa Mkuu huhitaji kuwa na PhD.
Mkuu chanjo haiondoi uwezekano wa wewe kufa kwa covid maana ni wengi tu wamechanjwa na bado covid ikawaua.

Wanachokisema wataalam ni kwamba ukichanjwa unapunguza risk ya kuugua sana ama kufa na sio kwamba unaondoa kabisa hiyo hatari...
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
121,684
2,000
Hebu tumia akili yako japo KIDUCHU!!! Nini kilichomuua huyo jamaa? Unadhani angekufa kwa kipindu pindu huyo mchumba wake angesema hivyo? Acha ubishi wa kitoto.
Soma vizuri ulichokiandika kuhusu maelezo ya mchumba wake. Ni hapo tu.
 

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
9,938
2,000
Leo mshauri mkuu wa afya wa Serikali ya Marekani Dr. Antony Fauci amesema hawafikirii kwenda lockdown nyingine lakini Marekani ijiandae kwa mambo mabaya zaidi kwa sababu ya watu Milioni 100 ambao hawataki chanjo...
Naamini figure ni zaidi ya hiyo,this is a very conservative estimate,it is believed.Watu wengi hawataki baada ya kuona mateso watu waliochanjwa wanayopata.
 

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
2,866
2,000
Hebu tumia akili yako japo KIDUCHU!!! Nini kilichomuua huyo jamaa? Unadhani angekufa kwa kipindu pindu huyo mchumba wake angesema hivyo? Acha ubishi wa kitoto.
Unatoka nje ya mada, usipanic. Hakuna haya ya kushambuliana hapa, nimekujibu ulichokiandika, basi.

Ahsante.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom