milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Nina milioni tano, naweza pata kiwanja upande huu wa Dar es Salaam?

    Mfukoni (actually ni kwenye account ya TigoPesa) nina milioni tano taslimu. Natafuta kiwanja upande wa kuanzia Ubungo kwenda Goba, Salasala, Tegeta, Madale, hadi Bunju. Lakin pia Ubungo kwenda Kimara pande zote, Mbezi huko msakuzi, hadi Kibamba, Kiluvya. Kifupi tu nalenga maeneo ambayo ni...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nimesikiliza hotuba za nyuma kuhusu akiba ya Serikali , zinasoma Bilioni siyo Milioni; Gavana wa BOT na watu wako mnasikilizaga hizi hotuba?

    Kosa la uandishi lililopelekea kosa la matamshi lililotokea kwenye hotuba za Mhe Rais kuhusu akiba ya Taifa limekuwa likifanyika Katika hotuba za nyuma. Hotuba yake ya Juni alisema Tena USD Bilioni 4000+ na siyo Usd Milion 4000+, Juzi Bilioni 6000+ na siyo Milioni. Ukisoma vyombo vya habari...
  3. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya Bidhaa nje ya nchi (export)yameshuka kwa dola milioni mia sita sawa na trilioni moja.

    Kulingana na data za world Bank. Ukilinganisha na mwaka 2020 muda kama huu mauzo ya bidhaa nje ya nchi yameshuka kwa dola milioni miasita sawa na trilioni moja za kitanzania. Hii ukiachana na uhalisia kwamba chanjo imepatikana na biashara zimeanza kurejea katika hali yake. Nini chanzo cha...
  4. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania CCM Mara: Bulembo aliiuza Shule ya wazazi Isango saa 2 usiku kwa milioni 70

    Wakati mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi ukiendelea, alisimama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mrida Marocha aliyemtaja Abdallah Bulembo kuwa yeye na kundi lake walishiriki kuiuza Sekondari ya Isango. Alisema walifanya hivyo saa mbili usiku kwa bei ya Sh70 milioni. Marocha alisema shule...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askari aliyekataa Rushwa na Milioni 10, ashushwa cheo, ni baada ya kukataa kwenda kozi

    Salaam Wakuu, Askari Meshack Samson aliyekataa Rushwa ya Mil 10, ameshushwa cho baada ya kukataa kwenda Kozi baada ya kupandishwa cheo.
  6. evangelical

    JamiiForums Tanzania WAZEE WA KWAMSISI HANDENI WACHOMOA BETRI GARI YA MRADI YAPOTEA NJIANI BAADA YA KULIPWA MILIONI MOJA KATI YA 15 WALIZOTAKA WALIPWE

    Kuna taarifa za kupotea gari ya maradi wa ujenzi wa barabara ya afrika mashariki inayopita kata ya kwa msisi handeni tanga. mkandarasi wa barabara iyo alikuwa anapeleka gari kwa ajili ya kazi hiyo sasa gari moja halijafika kwa msisi handeni kutokea bandari ya dsm Ujenzi huo unandelea baada ya...
  7. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Corolla limited kwa milioni 2 tu

    Corolla Limited Gari nzuri Safari Popote Bei 1.6m 0713096076 dar es salaam
  8. Mzee Wa Republican

    JamiiForums Tanzania Lengo la kuwa na saving ya milioni 20 ifikapo mwaka 2022 mwezi Oktoba

    Salaam sana wakuu, Tunamshukuru Muumba wa mbingu na nchi kwa kutufikisha disemba hii 2021 ambapo tunapata nafasi mtawalia ya kutafakari kwa kina malengo tuliyojiwekea kwa mwaka 2021 huku tukijipanga kwa ajili ya mwaka mpya 2022. Binafsi nina lengo la kufanya savings ifike milioni 20 ifikapo...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Twiga wetu wa Barrick azidi kurefusha shingo yake, atanuka, anenepa na kuzidi kutanua! Anunua mgodi wa jirani kwa $ Milioni 6, kuinvest $ Milioni 9

    Wanabodi, Wale wasoma kizungu, nendeni moja kwa moja jikoni, Barrick’s Bulyanhulu Acquires Highly Prospective Licences in Tanzania Kampuni ya Twiga Minerals Corporation (“Twiga”), ambayo ni joint venture kati ya Barrick na serikali Tanzania, kupitia mgodi wake wa Bulyanhulu Gold Mine Limited...
  10. I

    JamiiForums Tanzania John Heche: CHADEMA ina wanachama milioni nane

    Mbunge wa zamani wa Chadema jimbo la Tarime amesema hivi sasa chama hicho kimepata mafanikio makubwa kutokana na kampeni ya Chadema digito inayoendelea. Amesema hayo leo tarehe 4 Disemba 2021 kupitia kipindi cha Medani ya Siasa cha Star TV kinachoendeshwa na Odemba. Amesema kupitia kampeni hiyo...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dola milioni 115.7 zatolewa kwa ajili ya kutoa chanjo za Malaria Afrika

    Muungano wa chanjo ulimwenguni wa Gavi Alhamisi umesema kwamba bodi yake imeidhinisha dola milioni 155.7, kuelekea zoezi la utoaji wa chajo za kwanza za malaria kwa watoto kwenye mataifa yalioko chini ya jangwa la Sahara barani Afrika. Mwenyekiti wake Jose Manuel Barroso ameeleza kufurahishwa...
  12. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Shahidi kesi ya Sabaya aieleza mahakama alivyotoa Sh90 milioni

    Mfanyabiashara Francis Mrosso (44) anayedaiwa kuombwa rushwa ya Sh 90 milioni na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, ameanza kutoa ushahidi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, akidai kuwa alitishiwa asipotoa fedha hizo atafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

    Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake. Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja. Anaishi nyumba ya kupanga. Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza...
  14. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

    Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti? Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko Sawa kweli? Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe...
  15. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Hijet Carry (ndugu yake na suzuki carry) kwa milioni 3.5

    Inauzwa, haina shida yoyote Bei 3.5mil Ipo Dar. 0713096076
  16. ommytk

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 5 nataka ninunue IST niifanye Uber

    Hali kwasasa changamoto kidogo sasa nina kihela changu kama milioni 5 hivi sijui ninunue ist nifanye uber niendeshe mwenyewe sijui itanilipa
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Jinamizi la kupandisha bei vifurushi linaitafuna sanaa yetu, views milioni zinatafutwa kwa tochi

    Kuongeza gharama kwenye vifurushi kumeturudisha sana nyuma kwenye sekta ya sanaa. Views milioni zamani ilikuwa ni ishu ya kawaida mno, kwa sasa watu wanawasha data kwa machale achilia mbali kuzama youube kwa manati. Tukumbuke kwamba youtube views ilikuwa moja kati ya silaha kubwa mno kufanya...
  18. demigod

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FIFA Imeiamuru Simba SC Kumlipa fidia ya Milioni 110 Mchezaji wa Congo Doxa Gikanji

    Mchezaji huyo alisajiliwa dirisha dogo January 2021 lakini kutokana na SImba SC kushindwa kukamilisha Usajili wake katika ngazi ya CAF...Makolo FC wakaamua kunvunjia mkataba mchezaji huyo baada ya kuona asingeweza kuwasaidia kwenye michuano ya CAF. Huvyo Doxa akabaki akiwa hana timu wakati huo...
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania Andaa bajeti ya duka la milioni moja kwenye mtaa wa walalahoi unaotazamana na kilabu cha pombe kilichoko mjini

    Imagine unaishi mjini halafu unataka kuanzisha duka ambalo Lina frem tayari Ila duka Hilo linatazamana na kilabu cha pombe za kienyeji japo cha kisasa Ila wewe una mtaji wa milioni moja hebu sema utanunua vitu gani? Ambavyo unadhani piga ua hapo lazima vinunuliwe Ila pia kuna kijiwe kikubwa cha...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Askari Waliotuhumiwa kupora milioni Mia Moja ni mashahidi kesi ya Mbowe

    Mwezi w tatu mwaka huu Kuna clip isambaa ya Profesa mmoja huko Arusha kuvamiwa nyumbani kwake na kubambikiwa meno ya tembo na Askari Polisi Kisha kuelekezwa atoe Milioni Mia Moja wasimfungulie mashtaka. Baada ya clip ile kusambaa na watu kupiga kelele Takukuru na Polisi waliibuka na kudai...
Back
Top Bottom