milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Dereva lori la mafuta ahukumiwa jela miaka minne na faini milioni 16

    Mahakama ya Mkazi Wilaya ya Iringa imemfunga jela miaka minne pamoja na kulipa fidia ya shilingi 16,050,000 dereva wa lori la mafuta la Kampuni ya Panone And Co. Ltd, Faid Mussa Manis baada ya kupatikana na hatia katika kesi jinai namba 2019 iliyokuwa ikimkabili yeye na wenzake 6...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Polisi yawakamata watu 11 kwa kuwatapeli masista wa Kanisa la Katoliki Sh milioni 100

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum la Dar es Salaam limewakamata matapeli sugu wa viwanja kwa tuhuma za kujipatia Tsh. milioni 100 kwa njia ya udanganyifu, wakijifanya wanamiliki na kuuza viwanja vya makazi ambavyo siyo vyao. Matukio waliyoyafanya yametokea kati ya mwezi Januari na Februari 2022...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Iringa: Tsh Milioni 100 za wodi ya wazazi zapokewa kwa shangwe kijijini, zapunguza vifo vya kina mama

    Uongozi wa Kijiji cha Igoda, Kata ya Luhunga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa umepongeza jitihada kubwa zinazofanywa na Kampuni ya Foxes Treck kupitia Taasisi ya Foxes Community and Wildlife Conservation (FCWC) kwa kujitolea zaidi ya Tsh milioni 100 kujenga wodi ya wazazi na zahanati...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tsh 500 milioni anazozungumzia Saashisha mbunge wa Hai , kuna jimbo limepewa au ziko wapi?

    Huko Narumu ni kule kwenye Kata aliyopeleka 1.5Bilioni za barabara. Leo anasema anapeleka kwenye kata hiyo hiyo 500 milioni? Huyu mbunge ni mbinafsi na muongo na kuna kila dalili uchaguzi ujao atapata kura za Narumu tu. === Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe amewataka wananchi wa Wilaya hiyo...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Indonesia kuipa Tanzania dawa za Uviko-19 za milioni 345

    Serikali za Tanzania na Indonesia zimekubaliana kushirikiana katika kuboresha huduma za afya kwa faida ya pande zote mbili. Hayo yamebainika Machi 8, 2022 ambapo Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alikutana na Tri Yogo Jatmiko, Balozi wa Jamhuri ya Indonesia nchini Tanzania katika ofisi za Wizara...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Covid-19 vyafikia milioni 6 duniani kote

    Idadi rasmi ya watu waliokufa kutokana na COVID-19 inakaribia kuzidi watu milioni sita, wakati ambapo janga hilo linaloingia mwaka wake wa tatu, likiwa bado halijaisha. Takwimu zilizotolewa na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins, zinaeleza kuwa hadi Jumatatu watu 5,999,158 wamekufa kutokana na virusi...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Familia ya watu 10 kutumia milioni 3 kwa mwaka kwa manunuzi ya vyakula

    Kuna mama alituekeza maisha ya familia yake. Yeye na mume wake wamebarikiwa kupata watoto wanne. Walichukua jukumu la kulea watoto wawili wa ndugu waliofiwa na wazazi wao. Msichana wa kazi na kijana wa shamba. Waliamua kuondoka mjini miaka mitano iliyopita baada ya kununua eneo la ekari tano...
  8. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Wakuu, Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo. Aidha, tunashauri...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mchongo wa Kompyuta za Sh milioni 132 huu hapa, Jokate Mwegelo ametumika

    Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa kushirikiana na asasi ya BRAC-Maendeleo, imetoa kompyuta 120 zenye thamani ya Sh milioni 132 kwa shule tatu za Wilaya ya Temeke kwenye mradi wa “Skills for Their Future”. Kompyuta hizo zilikabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo, kwenye hafla...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wakimbizi wa Ukraine kufikia milioni 1.5

    Mashambulio ya Urusi dhidi ya Ukraine yaingia katika siku ya 11 huku idadi ya wakimbizi ikitarajiwa kufikia karibu watu milioni 1.5. Mataifa hayo yametupiana lawama kuhusu kukwama kwa makubaliano ya kusitisha mapigano. Idadi ya wakimbizi wa Ukraine inatarajiwa kufikia watu milioni 1.5 huku...
  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rayvanny kaambiwa alipe milioni 500 aondoke WCB

    Mtangazaji mkongwe wa mambo ya showbiz na udaku Tanzania, Maimartha amezungumzia juu ya taarifa za Rayvanny kuoma kuondoka katika lebo ya WCB. Haya ndiyo maneno yake aliyoyasema wakati akihojiwa na BONGO TRENDY TV: “Habari zao ninavyojua ni kuwa Rayvanny aliomba kutoka WCB, akaambiwa atoe...
  12. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania USAID kuipa Tanzania msaada wa Dola za Marekani Milioni 25

    Rais Samia amethibitisha kuwa Tanzania itapata msaada wa dola za marekani milioni 25 kutoka Shirika la Misaada la Marekani. Hiyo ni baada ya Rais Samia kufanya mazungumzo ya mtandao na Mkuu wa shirika hilo Bi. Samantha Power. Je huku ndio kuupiga mwingi?
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Marekani yatoa mafuta mapipa Milioni 30 ili kukabiliana na upandaji bei wa mafuta duniani

    Marekani imesema imetoa mapipa Milioni 30 ya mafuta kutoka kwenye hifadhi yake ya kimkakati ya mafuta huu ukiwa ni sehemu ya mpango wa muungano wa Nchi 30 ambazo zimekubaliana kutoa mapipa Milioni 60 ya mafuta kutoka kwenye hifadhi zake kote ulimwenguni ili kukabiliana na kupanda kwa bei ya...
  14. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Unahitajika Mkopo wa Milioni 60-Wa Kibiashara

    Habari za wakati huu wakurugenzi; Kwa wale ambao wako na Pesa lakini wanatafuta pa kuziwekeza.Unahitajika Mkopo wa Kibiashara.Kiasi cha mkopo unaohitajika ni Milioni 60. Dhamana ya Mkopo ni kama ifuatavyo: Kiasi cha 30% ya Mkopo kitadhaminiwa na Kiwanjja kilichoko Hai Kilimanjaro)Hakina...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Seneta Manchin wa US alalamika Marekani kuendelea kununua mafuta ya Russia zaidi ya lita milioni 79 (barrel nusu milioni) kwa siku

    Seneta wa West Virginia wa Chama Cha Democrat, Joe Manich, amemtaka rais Biden kuongeza uzalishaji wa nishati wa Marekani ili kuiepusha Marekani kuendelea kuitegemea mafuta na gesi ya Russia, akiishutumu Ikulu ya White House kuweka sera za kinafiki. Seneta huyo kasema Marekani yaingiza...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mganga amuua Mteja aliyetaka kuzindika Fedha za Biashara Tsh milioni 9

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kigoma linawashikilia watu wawili akiwemo dereva wa pikipiki na mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kumuua na kisha kumfukia mwanamke aliyekuwa ameenda kuzindika fedha za biashara kiasi cha shilingi milioni 9. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo katika wilaya ya Kasulu na...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia yaanza kufungua milango kwa ajili ya KCB na Equity - yaani watu milioni 110

    Tushindwe wenyewe....yaani Wakenya tuna subira mithili ya chui, tunanyatia nyatia na kusogelea na kupiga mahesabu ya mbali, ila pale tutachomoka huwa hatukosei maana lazima meno yang'ate kwenye shingo. DRC na ukanda wote wa EAC upo kwapani tayari, hawa Wahabeshi ndio walikua mfupa uliomshinda...
  18. John Haramba

    JamiiForums Tanzania TFF: Bei ya VAR ni Sh Bilioni 14.5, kamera ziwe 38, kila mechi timu zinalipia Sh milioni 7

    Rais wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), Wallace Karia amezungumzia matumizi ya VAR wakati wa kufunga semina ya siku tatu ya Waamuzi wa Ligi Kuu ya NBC iliyomalizika jana Februari 17, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Haya hapa ndiyo aliyoyasema Karia: “Unajua gharama za VAR? Sawa...
  19. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Starlet imenyooka. Njoo na milioni 3

    STARLET IMENYOOKA FULL AC MIL 3 PIGA 0713096076 Dar tabata
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UNFPA: Wasichana milioni 12 duniani huolewa kabla ya kufika miaka 18

    Umoja wa Mataifa unaoshughulika na Idadi ya Watu ‘UNFPA’ umesema wasichana milioni 12 duniani huolewa kabla ya kufikisha miaka 18 hali inayowaweka katika manyanyaso na hatari ya magonjwa Vifo vya uzazi vimetajwa kuwa vingi kwa wasichana wa umri kati ya miaka 15 hadi 19 kwa kuwa viungo vyao huwa...
Back
Top Bottom