milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Milioni 13 za Mbunge wa Ulanga/Mahenge Neema kwa Wachimbaji Wadogo

    MILIONI 13 ZA MBUNGE ULANGA NEEMA KWA WACHIMBAJI WADOGO Mbunge wa jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ametoa kiasi cha shilingi milioni kumi na tatu (13,000,000) kwaajili ya malipo ya leseni za wachimbaji wadogo wanaofanya kazi zao za uchimbaji wa madini katika kata ya Lukande wilayani humo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Soma hii upate mawili matatu: Jinsi graduate nilivyojikwamua na kuingiza milioni 10 nje ya ajira

    ...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Makonda fuatilia dhuluma mradi wa fidia Jangwani watu wanalipwa 170,000 badala ya milioni 4 aliyosema Waziri

    Mradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Yanga yagongwa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kuingiza Timu kwa mlango wa nyuma

    Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ya Bodi ya Ligi Kuu Soka Tanzania imevitoza faini Vilabu vya Simba na Yanga kwa kufanya makosa kadhaa katika mchezo dhidi yao uliyochezwa Novemba 5 2023 na Yanga kushinda 5-1. Kamati hiyo imeipiga Yanga faini ya Tsh. milioni 5 kwa kosa la kuingia uwanjani kwa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wanaopewa fidia ili wahame bonde la Msimbazi, itawatosha kununua kiwanja na kujenga?

    Wanaopewa fidia ya milioni 6 ili wahame bonde la Msimbazi- Dar itawatosha kununua kiwanja na kujenga? Maana milioni 6 naona Kama ni ndogo, kwanini wasingepewa nyumba (apartment za pale Magomeni)? NOTE: FIDIA NI HURUMA YA RAIS TU Kinadharia hata wasingepewa kwa mujibu ya watoa hela. Vipi...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waliotorosha madini ya Bilioni 300 wahukumiwa kulipa fidia ya milioni 923.8

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imewaamuru wafanyabiashara wanane waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, kuilipa Serikali fidia ya Sh923.8 milioni huku ikiamuru kutaifishwa pia kwa mali zao na Sh103.9 milioni. Hii ni baada ya mahakama kuwatia hatiani kwa makosa matatu ya kuongoza...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Gharama ya vita ya Israel ni US dollar 260 milioni kila siku

    Vita dhidi ya Hamas inaigharimu Israel dolla za kimarekani 260 milioni kila siku (sawa na 260,000000 x 2500 = 650,000,000,000 TZ sh). Hii imeelezwa na Idara ya fedha ya nchi hiyo. Hiki ni kiwango kikubwa kuliko walivyotarajia hapo awali. Wakati huo huo pato la nchi limepungua, kutokana na...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama kuamua Babu Tale Afungwe au alipe Tsh. Milioni 250 Nov 17, 2023

    Hatima ya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shabani Taletale, maarufu kama Babu Tale, sasa itajulikana Ijumaa, Novemba 17, mwaka huu wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dare es Salaam itakapotoa uamuzi wa shauri la maombi ya kumpeleka jela kutumikia kifungo. Babu Tale ambaye ni mmoja wa...
  9. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kenya leo wanapanda miti Milioni 100. Haya ni mambo Tanzania tunapaswa kuiga

    Tuna changamoto kubwa sana ya ukame miaka ya hivi karibuni hasa mikoa ya kanda ya kati. Pia, tuna changamoto kubwa sana ya ukataji miti. Upandaji miti ni suluhisho la kuitunza Tanzania ya kesho. Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ituongoze kwenye huu mpango uwe wa kitaifa. Wenzetu wameiweka siku...
  10. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mtaji wa milioni 200 nataka kufanya biashara ya kuuza magari

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Dkt. Dugange: Milioni 900 Kukarabati Hospitali ya Wilaya ya Mbozi

    NAIBU Waziri anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais-TAMISEMI , Mhe Dkt. Festo Dugange amesema Serikali katika mwaka wa fedha wa 2023/24 imetenga kiasi cha Sh Milioni 900 kwa ajili ya ukarabati wa Hospitali Kongwe ya Mbozi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Neema zinazidi kunikimbilia, leo nimepata zaidi ya Tsh. 15m baada ya kuuza mpunga wangu

    Hakika riziki haupigi hodi kabisa, inakuja mbio mbio kabisa ila hii inakuja ukiwa na jitihada haiji tu eti upo zenu maskani kwenye kijiwe cha bangi unategemea utapa riziki? Hilo sahau kabisa aisee,nyie endeleeni tu kuvuta bangi na kupiga majungu, chuki na kuwasema vibaya waliofanikiwa Nikuambie...
  13. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya real estate, madini na kilimo kinavyozidi kunitajirisha japo mie ni darasa la saba na nipo chini ya miaka 30

    Japo nimeishia darasa la saba na umri wangu chini ya miaka 30 na sikuweza au nilikataa kuendelea na elimu baada ya kuona ya kwamba elimu ya Tanzania ni ya hovyo nikaamua kuingia street kupambana na maisha. Nilitoka nyumbani kwetu Mtwara nikajichimbia mkoa wa Kahama kwenye uchimbaji madini miaka...
  14. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Haya mambo yanawezekana, kama mimi nina zaidi ya 100 milioni kwenye akauti wewe unashindwa nini? Tena nina miaka 27

    Vijana pesa zipo aisee ila hizo pesa ili uzipate unatakiwa kufanya kazi ila kama ukiwa mchele mchele na mpenda starehe utashikishwa ukuta kwa uvivu wakuu ila ukifanya kazi kwa bidii pesa utazipata wakuu. Firiki mimi kwa sasa nina miaka 27 tu ila kwenye akauti nina zaidi ya milioni 100 wewe...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Jiji la Arusha Yatenga Milioni 380 Kukarabati Maeneo Yaliyoharibiwa na Mvua

    Halmashauri ya Jiji la Arusha imetenga kiasi cha Sh milioni 380 ili kurudisha miundombinu ambayo imeanza kuharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Arusha. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jij la Arusha, Juma Hamsini alisema hayo juzi wakati akizungumza katika mkutano wa madiwani...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Whozu afungiwa miezi 6, Mbosso na Billnass wafungiwa miezi 3. Wote wapigwa faini Tsh. Mil. 3. Wimbo wa 'Ameyatimba' umewaponza

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtaka Msanii Whozu kushusha mara moja video ya wimbo wake wa ‘Ameyatimba’ kwenye digital platform zote, pia limemtoza faini ya Tsh. milioni 3 na limemfungia kujishughulisha na kazi za sanaa kwa muda wa miezi 6 kuanzia leo November 04, 2023 kutokana na wimbo...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar: Askari walioiba Tsh. Milioni 90 kwa kutumia Silaha wafutwa kazi, washtakiwa upya kama Raia huru

    Upande wa Jamhuri umelazimika kubadili hati ya mashtaka dhidi ya waliokuwa Maafisa wa Jeshi la Polisi kwa kuondoa namba za Utambulisho wao ambazo ni F 7149 D/ Coplo Ramadhani (42), G. 7513 D/ Coplo Majid Abdallah na WP 6582 D/ Coplo Stela Mashaka ambapo sasa wameshtakiwa kwa majina yao halisi...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Ndugu wa Rais Mnangagwa akutwa na hatia ya kutorosha Dhahabu ya Tsh. Milioni 749

    Mfanyabiashara Henrietta Rushwaya, ambaye ni Mpwa wa Rais Emmerson Mnangagwa amekutwa na hatia ya kujaribu kusafirisha Dhahabu yenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 749 kinyume na Sheria Henrietta, ambaye ni Rais wa Shirikisho la Wachimba Madini, alikamatwa Uwanja wa Ndege akisafirisha Vipande...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Dkt. Dugange: Milioni 100 kukamilisha Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Magalalu

    Bungeni, Dodoma: Milioni 100 kukamilisha Ujenzi Zahanati ya Kijiji cha Magalalu Serikali itatumia fedha za makusanyo ya ndani kiasi cha shillingi millioni 100 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Masagalu kilichopo katika Halmashauri ya Kilindi. Hayo yamesemwa na Naibu...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askari wanaodaiwa kuiba Tsh. Milioni 90 wakosa dhamana

    Askari watatu wa Jeshi la Polisi nchini akiwemo mwanamke, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na shtaka moja la unyang'anyi wa kutumia silaha na kujipatia Sh90 milioni, mali ya Grace Matage. Askari hao ni mwenye namba F 7149 D/ Coplo Ramadhani(42) maarufu kama...
Back
Top Bottom