mikataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Baba wa mikataba Prof. Kabudi yuko wapi mjadala wa mkataba wa kuuza bandari?

    Profesa Kabudi aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa ndiye BABA wa mikataba na mwenyekiti wa timu za kitaifa za majadiliano ya mikataba. Huu mkataba wa bandari umepitaje mikononi mwake ukiwa na mapungufu haya?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Yafahamu majukumu ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusiana na mikataba ya kimataifa

    UANDISHI WA SHERIA Kwa mujibu wa Hati ya Idhini ya Maboresho ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Tangazo la Serikali Na.48 la Mwaka 2018 ,Ofisi hii inatekeleza majukumu yafuatayo Kupitia Divisheni ya Uandishi wa Sheria. Kutoa ushauri kwa Wizara, Idara Zinazojitegemea na Taasisi za...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza baada ya kupitia mikataba ya makubaliano mbalimbali ya DP World

    Haya nimejifunza baada ya kupitia vyombo vya habari na mitandao mbali mbali kuhusu mikataba ya makubaliano ambayo Dp World waliingia sehemu mbali mbali; 1. DP World ni kampuni kubwa duniani hasa kwenye masuala ya uendeshaji Bandari. 2. Makubaliano maeneo ya uwekezaji na matokeo ya uwekezaji ...
  4. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora ni muhimu ili kuzuia mikataba inayonyonya damu

    Nimevutiwa kuandika Makala hii kutokana na mjadala unaoendelea hivi sasa, kuhusu mchakato wa bandari ya Dar-es-Salaam kuingia mkataba wa uendeshaji na kampuni ya DP World ya Dubai. Ni habari ambayo imetawala vyombo vingi vya habari! Kielezo Na. 1: Bandari ya Dar-es-Salaam Chanzo: KWELI -...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Watanzania hawapingi uwekezaji wa Bandari, wanataka Mikataba iwe Mizuri

    "Chama cha Mapinduzi (CCM) kilibadili mwelekeo wa kisera za kiuchumi na kisiasa miaka ya 90's, mojawapo ya mabadiliko ya kisera za kiuchumi na kibiashara ni kuachana na Serikali kuhodhi nyenzo za uchumi kama ilivyokuwa hapo kabla"- Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Mbunge wa Jimbo la Ubungo "Miaka ya...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati yashauri Mikataba DP World itakayosainiwa Itaje Muda wa Utekelezaji

    Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeshauri mikataba ya utekelezaji itakayosainiwa itaje muda maalumu wa utekelezaji wa miradi ambao utazingatia maslahi mapana ya nchi ya Tanzania. Ushauri huo umetolewa leo Jumamosi Juni 10, 2023 bungeni Dodoma na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Selemani Kakoso...
  7. Poa 2

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya umma na rasilimali za nchi zinazoendelea kuuzwa kwa kivuli cha mikataba

    Ni uchungu sana kuona kwamba rasilimali za taifa, mashirika ya umma na hata utu na uhuru wetu unaendea kuchezewa na wachache au yeyote atakayepewa mamlaka ya urais wa nchi hii. Yaani yeye na watu wake kwa kipindi chake. Kila rais anayeingia madarakani hupiga pake na kutulia kimya akijua...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko mkubwa bungeni: Wabunge wengine wanasema huu si mkataba, ni makubaliano ya awali tu, wengine wanasema ni msingi wa mikataba itakayofuata

    Nafuatilia bunge live saa hii. Ninachokiona ni mkanganyiko mkubwa wa hoja juu ya suala la bandari na "mkataba" na kampuni ya Dubai ya DPW. Nimegungua kuwa upo mkanganyiko mkubwa kati ya wabunge, huku wengine wakisema haya ni makubaliano ya awali kuhusu mikataba itakayofuata. Wapo wanaosema...
  9. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Mikataba tunayoingia itamwaga damu za Wajukuu zetu

    Kwa aina hii ya mikataba ambayo haina kichwa waa miguu, baada ya Miaka kama 50 Tanzania tutapata kizazi ambacho kitakua kinajielewa, achana na kizazi hiki cha kunywa visungura, sijui double kiki, yokozuna na vitoko sijui. Watakapotaka kutumia rasilimali zao kuendeleza taifa ndo watakuta Kila...
  10. Mshangai

    JamiiForums Tanzania Wabunge wetu mnataka mpigwe na mayai viza ndio mjue mnatukosea?

    Hili jambo nilishuhudia nchi moja Ulaya na matukio hayo baadhi ya nchi Afrika yamekuwapo. Wananchi wamekuchagua (au wamewekewa) mwakilishi wao kuwasemea Bungeni, lakini badala ya kutimiza wajibu wako kwa waliokutuma unaenda kutumika kupitisha vitu ambavyo unajua kwa uwazi kabisa watu hawataki...
  11. President of China

    JamiiForums Tanzania Maswali ya mdau katika forum ya Katiba ya Watu kuhusu mikataba na mabadiliko ya Katiba katika mchakato wa kisiasa na kisheria

    Swali la kwanza Ni aina gani za mikataba ambayo inaweza kusababisha upungufu wa uhuru wa kitaifa? Majibu tota kwa mdau @G na wadau wengine Swali la kwanza. Kuna aina mbalimbali za mikataba ambazo zinaweza kusababisha upungufu wa uhuru wa kitaifa ni kweli. Hapa kuna baadhi ya mifano: 1...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mikataba 40 ya Dubai! Mmoja ndio tayari, tunangoja inatokuja!

    Inasadikiwa kuna mikataba 40 ilisainiwa huko Dubai, mmoja ndio huoo.... nao ni wa uchungu kushinda Mwalovera na ndio wa kwanza tu kati ya hiyo yote! Itatofuata..... tusishangae kuona kipanda cha aridhi mkoa fulani kupewa hao jamaa kwa njia hizihizi za kubinafisisha! Nyaya zimeshagusana, moto...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Ukitaka kuondoa rushwa na Mikataba mibovu, cha kwanza ni uwazi. PPP ina malengo Makubwa

    Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Public-private partnerships - PPP), David Kafulila amezungumzia mambo kadhaa kuhusu uwekezaji na ubia: Ufafanuzi wa ubia Akifafanua kuhusu ubia ameeleza unatangenezwa katika mkataba wa uendeshaji wa jambo fulani, ambapo...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mikataba ya ujenzi wa barabara unganishi katika Daraja la Sibiti yenye urefu wa Kilometa 24.83

    Serikali kupitia TANROADS imesaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara unganishi katika Daraja la Sibiti yenye urefu wa Kilometa 24.83 kwa kiwango cha lami (mradi unatekelezwa Wilaya ya Mkalama) na mkataba wa ujenzi wa barabara ya Makongolosi – Rungwa – Itigi – Mkiwa sehemu ya Noranga – Doroto...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Utiaji saini Mikataba ya Kupeleka Huduma ya Mawasiliano Vijijini - JKCC, Dodoma, Mei 13, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya utiaji saini Mikataba ya miradi ya kufikisha huduma za mawasiliano ya Simu katika kata 763 nchini katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, tarehe 13 Mei, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushuhudia utiaji saini mikataba ya madini na kampuni 3 za Australia - Aprili 17, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Aprili 17, 2023 anatarajia kuwa mgeni rasmi na kushuhudia utiaji saini wa mikataba kati ya Serikali na kampuni 3 za madini kutoka nchini Australia. Hafla hiyo itafanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma kuanzia...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa hujui hii ndio mikataba ya Utafutaji wa mafuta na gesi na ugawanaji mapato

    Dhana ya Mkataba wa Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato - wazo la nchi la utafutaji wa mafuta na gesi na mgawanyo wa mapato na makampuni kama sehemu ya biashara lilianzishwa kwenye miaka ya 1950. Kwanza kabisa, wazo hili lilianzishwa Indonesia mwaka 1966. Mikataba ya Utafutaji wa mafuta na...
  18. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa usidanganye Umma juu ya mikataba ya ujenzi

    Nimemsikiliza waziri wa Ujenzi, Prof Mbarawa, juu ya mikataba ya Ujenzi juu ya aina ya mikataba ya ujenzi. Alikuwa akiongea na ITV wakati wa ziara ya Kamati ya Miundombinu ya Bunge. Ati kuna Fixed Price Contracts na Contracts zenye variations. Prof Mbarawa si mhandisi wa Ujenzi wala kisomo...
  19. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya wananchi Tuwe tunapitia hiyo mikataba inayosahini serikali

    Madeni wanakopa wao afu madeni tunalipa sisi kulikoni?
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Soko la Sinza walalamika kufanyiwa ubabe wa kulazimishwa kusaini mikataba viongozi wa Halmashauri ya Ubungo

    Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini wamedai kuna uonevu mkubwa wanafanyiwa na uongozi wa Halmashari ya Ubungo kwa kuwalazimisha kusaini mkataba ambayo hawajairidhia. Baadhi ya Wafanyabiashara wamesema viongozi wa Halmashauri hiyo wakiongozana na Askari Polisi, Mgambo na Mwanasheria...
Back
Top Bottom