Ni muhimu sana kwa wasanii kuhakikisha mnajidhatiti kwa kuwa na uwakilishi madhubuti wa kisheria katika usimamizi wa masuala yenu ya sanaa.
Ikiwa mwaka bado ni mchanga na ikiwa tunaendelea kushiriki katika wiki ya sheria, nimelazimika kutumia kalamu na taaluma yangu kutoa rai hii kwa wasanii...
Dhana ya Mkataba wa Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato –wazo la nchi la utafutaji wa mafuta na gesi na mgawanyo wa mapato na makampuni kama sehemu ya biashara- lilianzishwa kwenye miaka ya 1950. Kwanza kabisa. Wazo hili lilianzishwa Indonesia mwaka 1966. Mikataba ya Utafutaji wa mafuta na...
Manara ana makampuni anavyofanya nayo kazi, ambayo ni makampuni yanayoheshimika sana.
Sioni kwa nini aendelee kuwa balozi wa makampuni hayo kwa tabia na maneno machafu aliyotamka kwa Mkewe.
Natoa rai mikataba yake itenguliwe
Naombeni washabiki wa Yanga tuwe na subira. Kupitia kesi ya Feitoto tutajua tu ukweli Kama Yanga inalipa keshi au inawakopa wachezaji. Kwanini saidoo akiondoka na Dikson ambundo kidogo afungiwe.
Wachezaji Wana Siri nzito Sana.
Ifike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe.
Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea...
Kumekuwa na utamaduni wa kulaumu wapinzani mali za serikali zikishikwa kwasababu ya uzembe wa serikali na ukatishaji wa mikataba.
Sasa tusije kusikia Mwigulu akija hapa badala ya kuelezea suluhisho na jinsi ya kuepuka hizi hasara aanze kulalamikia wapinzani ambao walikuwa wanawashauri bungeni...
Ndugu zangu habari, sijui ni kwa nini lakini naomba niwape huu uzi kwa ufupi.
Ni muda mfupi nimetoka kuongea na mmoja ya walimu wakongwe wa Nyegina Secondary, amenipa taarifa iliyobadili hisia zangu ghafla.
Iko hiviii, walimu 5 wameachishwa kazi. Sababu ni kwamba hawa walimu hawajui...
Kipchumba Murkomen kafanya kweli huko Kenya.
Sasa watu wanajiuliza, ule upigaji mkubwa uliokuwa ukisemwa kuhusu unyongaji wa mikataba ya kichina upo wapi?
Bandari ya Mombasa iliyodaiwa kuwekwa rehani haionekani popote.
Na kama kuna chembechembe zozote za upigaji, ni dhahiri kabisa kwamba ni...
Moja ya tatizo linalokumba taifa letu ni kuchelewa kwa miradi ya gesi na mafuta. Majadiliano yamekua yakichukua muda mrefu sana.
Labda pengine changamoto imekua kwenye kuelewana na kuridhiana vile vifungu vilivyowekwa kwenye mikataba hiyo.
Watu wengi wameweza kusema kuchelewa kwa miradi ya...
Serikali ya Tanzania imeshindwa kutoa jibu la moja kwa moja kuhusu mikataba ya madini kuingizwa bungeni ili ijadiliwe kabla ya kuingia makubaliano na wawekezaji.
Ni hoja ya muda mrefu ya wabunge wakitaka mikataba hiyo iwe inaruhusiwa kupelekwa kwa wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi kwa...
Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM.
Leo nami nimeona nitie neno kwenye hili suala linaloendelea mitandaoni na nje ya mitandao kuhusu mikataba ya wanamuziki kwenye label ya WCB.
Hii itasaidia watu wengine wasio na akili nyingi kama mimi kuelewa hili jambo. Maneno ya upotoshaji yamekuwa...
Hivi karibuni timu zetu kubwa hapa nchini zimeingia mikataba mipya na wadhamini wao
Simba sc na MBET
Yanga sc na SPORTPESA
Hapa katikati kuliibuka fununu za simba kuachana na Sportpesa okabaki yanga na yanga alipo saini mkataba mpya watu walisema ni mkataba mnono saana wa billion 12 kwa miaka...
UTANGULIZI
Kama tujuavyo sekta binafsi imekuwa na mchango katika ukuzaji wa uchumi wa nchi yetu, lakini mbali na hilo ni mdau mkubwa sana wa utoaji wa ajira nchini hususani kwa kipindi hiki ambacho nchi yetu imekumbwa na kadhia kubwa ya ukosefu wa ajira kwa wahitimu na vijana kwa ujumla. Hivyo...
Andiko langu litakuwa katika sehemu kuu tatu. Sehemu ya kwanza itakuwa ni utangulizi hapa nitaelezea maana ya mikataba na faida ya mikataba, sehemu ya pili nitaelezea mikataba iliyoleta migogoro au sintofahamu katika mambo mbali mbali nchini. Sehemu ya tatu itakuwa ya mwisho hapo nitatoa ushauri...
Mikataba 10 ya ujenzi wa viwanda vikubwa 500 vya kuchakata nafaka, kuuza na kununua mazao, ufugaji samaki, usafirishaji bidhaa kimataifa utakaokamilika mwaka 2025.
Mikataba 9 ya uwekezaji wa eneo maalum la viwanda la Sino Tan Park ambavyo ni Kwara vilivyopo Kibaha mkoani Pwani.
Viwanda hivyo...
03 Julai 2022
Unguja, Zanzibar.
Rais wa SMZ awamu ya nane Mh. Dr. Hussein Ali Mwinyi ameweka historia kwa kuweka hadharani mikataba iliyokuwa ya siri kwa zaidi ya miaka 30.
Imekuwa kawaida kwa serikali zetu kudai mikataba ni siri kubwa baina ya mwekezaji kwa upande mmoja na serikali iliyopo...
Huwezi ukaingia mkataba mkubwa kama huu wa kuchakata gesi Lindi kimya kimya kama unaenda kuuza machungwa. Trilioni 70 ni uhai wa taifa letu.
Tunatakiwa kuambiwa ukweli juu ya huu mkataba. Ufafanuzi wa kinagaubaga na kujadiliwa na Bunge.
Hiyo mikataba iliyosainiwa Oman ni mashaka matupu. Maana...
Nimeangalia wakandarasi waliopata zabuni za miradi ya maji, kwa kweli binafsi yangu sijamuona Mtanzania ngozi nyeusi aliye pata zabuni. Wote niliowaona mie, ni ngozi nyeupe (mabeberu), sasa nacho jiuliza ngozi nyeusi sisi tatizo ni nini?
Sote tunafahamu njia kuu ya Serikali kuongeza fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.