mikataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Je, unaijua mikataba ya Haki za Binadamu ya Kimataifa ambayo Tanzania imesaini?

    MKATABA WA HAKI ZA BINADAMU NA HAKI ZA WATU WA UMOJA WA AFRIKA (MKATABA WA AFRIKA) Kifungu cha 9 cha Mkataba wa Afrika kinalinda haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni: 1. Kila mtu atakuwa na haki ya kupokea taarifa. 2. Kila mtu atakuwa na haki ya kujieleza na kusambaza mawazo yake kwa...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge waliohamia CCM kwa kujiuza au kwa hiyari yao njia panda , Mikataba ya ununuzi mwisho octoba 2020

    Kwa mujibu wa mikataba waliyoandikiana ni kwamba uchaguzi ujao hawatabebwa , bali wanapaswa kupigania roho zao wenyewe kwa kupitia kura za maoni ambazo ndio utaratibu wa halali . Hofu iliyopo ni kwamba watapitishwa na nani kwenye chama ambacho hawana mizizi hata ya size ndogo kama Caroti ama...
  3. winnerian

    JamiiForums Tanzania Mikataba minne ya ujenzi wa barabara ya kuanzia Kabingo kwenda mpakani mwa Kigoma na Burundi (Km260) imesainiwa

    Imesainiwa mikataba minne na kwa ufupi tu fedha zote zinatokana na waafrica ikiwemo Watanzania maana ni za Bank ya Maendelo ya Africa lakini cha kusikitisha na kushangaza wote waliopewa zabuni hizi ni wakandarasi kutoka china, katika wakandarasi wote wanne wote ni wachina. Naomba kama mzalendo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mikataba kwenye ajira binafsi

    Hawa waajiri hasa waajiri wa kigeni (foreigners) hawapendi kabisa ishu ya mikataba, wanapenda kuajiri kisela sela sana, yaani mnaelewana kwa mdomo tu kwamba mtalipana kiasi fulani cha pesa kwa muda fulani basi. Sasa changamoto inakuja kwenye malipo ni kasheshe, wananyanyasa sana wafanya kazi...
  5. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania WCB na mikataba ya ajabu: Ndio maana muziki wa Tanzania hauendelei

    Ukiambiwa Harmonize alikuwa amesainiwa kwa miaka 15 masikio yatapokea hiyo sauti lakini akili itakataa kuamini au kuelewa hicho ilichopokea toka masikioni. Yani mkataba wa kazi wenye muda wa MUONGO NA NUSU? Tungekuwa ulaya tungeuita ni "CONTRACT FROM HELL". Tuseme alisainiwa ana miaka 20, ina...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kama kweli wewe ni mzalendo, kwanini hupeleki mikataba Bungeni?

    Inashangaza sana Raisi hataki ku-deal na kiiini cha matatizo yote ya nchi hii matatizo ambayo chanzo chake kikubwa ni mikataba mibovu na badala yake kila siku utamsikia kaibua hili na kesho kaibua lile na yanakoishia yote haya wengine hata wala hatuelewi. Raisi angekuwa na dhamira ya kweli ya...
Back
Top Bottom